Nafikiri vyombo vya habari havikuona kama hii ni habari kubwa lakini MH Rais alisema hivyo hapo jana.
https://youtube.com/shorts/1lExsXFLRNw?si=1mhryIqx5I5-WziC
Wakuu.
Mwanachama mwenzetu wa JF aitwaye Ta Muganyizi amefariki dunia na amezikwa katika kata ya Kashasha, tarafa ya Kiziba, wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.
Chanzo cha kifo ni ugonjwa wa Figo
Hapa chini ni mojawapo ya michango yake hapa Jf...
Mjadala utaanza kesho saa 12 asubuhi katika club house ya Mindset transformation. Kuwa tayari kuuliza maswali hasa nje ya mambo ya siasa.
Watu maarufu ambao wamekuwa wakitoa elimu ya mabadiliko ya tabia na mienendo ya kimaisha ni pamoja na Dr Dialo,Mch Msigwa na wengineo.
Habari za kazi.
Kuna tafsri nyingi juu ya motivation speakers duniani juu ya yale wasemayo na namna ya kuyatekeleza katika maisha halisi. lakini katika club house hii hakika kwa wiki mbili sasa nashiriki hakika kuna kitu cha tofauti. nimeona nami nishiriki kuwajulisha kwa wanaopenda kushiriki...
Habari za leo wadau.
Kikao cha kueleza fursa za bomba la mafuta kinafanyika hivi sasa katika ukumbi wa halmashauri Missenyi mkoani Kagera chini ya Waziri wa Nishati na Madini .
Kumbuka bomba hili kwa Tanzania linaanzia hapa .
Kikitumika kigezo cha wimbo wa Taifa kuamua nani ni raia na ambaye siyo nafikiri itakuwa shida kubwa kwa nchi. Labda kama watu hawajui maeneo mengi ya mashambani hata majina ya viongozi wa kitaifa hawawajui kabisa sembuse wimbo
Katika mchango wake kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mbunge wa jimbo la Nkenge (CCM) Frolent Kyombo amelalamikia mateso na adha wanayoipata wakazi wa wilaya za Kyerwa, Karagwe, Missenyi na Ngara katika mkoa wa Kagera kufuatia kuwa mpakani na nchi jirani na kuwa baadhi ya watumishi wa idara...
Inawezekana tu. sema watanzania wengi wanafanya biashara kama ya udalali. wengi hawana anuanwi rasmi...vitu kama kampuni au bussines name,TIN au leseni kwa biashara zao. wanapotaka kutoa tenda lazima hivyo vitu vizingatiwe. aidha wengi wetu tunataka mteremko na hizo bidhaa hazitoshelezi na...
Kuhusu Fidia kwa litakapopita bomba iko hivi
Watu walioathirika wanajulikana na kusaidiwa kama ipasavyo
Mikataba salama na kila kaya iliyoathirika, kulipa fidia na kuwa na mipango ya kuwawezesha kujipatia tena kipato na kuzisaidia familia kuhama kwenye eneo hilo (kwa wale wanaochagua fidia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.