Search results

  1. Nyangomboli

    Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Fimbo na Sime ni kwa ajili ya kujilinda na wanyama wakali wakiwa huko mapolini kwao. Sasa Beach uende na Sime na Fimbo kweli?
  2. Nyangomboli

    CHADEMA wakiwa kwenye Maandalizi ya Kufanya maandamano

    CDM ni mpango wa Mungu?? Ndugu fikiria upya. Na hakuna atakae andamana isipokuwa wachaga wenzie na Mbowe.
  3. Nyangomboli

    Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Mapambano yapi?
  4. Nyangomboli

    Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

    Mayala yuko sahihi. Ni matumizi mabaya ya pesa za Umma. Vyama vijitegemee. Kama ni misaada ya nje hata sasa wanapata pamoja na kupata ruzuku.
  5. Nyangomboli

    TRA yaweka rekodi ya karne, yakusanya Trilioni tatu kwa mwezi Desemba Pekee

    Haijatokea ghafla mkuu. JPM aliweka misingi imara sana hasa upanuzi wa bandari na kuongeza kina. Japo pia jirani kuna shida kidogo
  6. Nyangomboli

    Waziri January Makamba anajua kulea na kufundisha uongozi, namuona Balozi Humphrey Polepole ameiva kiuongozi tofauti na zamani

    Polepole ni mtu bora sana kuliko huyo uliyemsema. Polepole anaweza hata kuongoza Nchi na siyo huyo mhuni wako
  7. Nyangomboli

    Ndege ya ATCL Bombardier Q-300 Imekwama Malta Kwa Miaka 4.CEO Asema Spea Hazipatikani!

    Jif Unze kufuatilia kitu tangu mwanzo wake. Ni ndege oekee iliyokuwa imebaki wakati Magufuli anaingia madarakani. Ndege mpya ni q400 hiyo ni q300 Jifunze kufuatilia mambo. Hiyo ni Q300 na mpya ni Q400. Hiyo ni ndege pekee iliyokuwa imebaki kabla JPM hajaamua kufufua shirika kwa kumwaga ndege...
  8. Nyangomboli

    Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Ukristo wao ndiyo umefanya wauwawe hawa vijana. Waarabu wanaudini sana. Siyo waarabu wa Tanzania lakini.
  9. Nyangomboli

    Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Mbowe ni Gaidi na hajawahi kukana mahakamani na akashinda kesi. Alitolewa kwa msamaha wa Rais. Mbona hamumuongelei yeye na kakutana hadi na RAIS? Lissu pia alikuwa na kesi kibao kafutiwa kimya kimya na kakutana hadi na Rais. Why not them? Sabaya kaachiwa na Mahakama yenyewe kwa kuprove hana...
  10. Nyangomboli

    Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Vyombo vya sheria havijamkuta na hatia nyie ni nani hadi muwe juu ya sheria? Hana makosa na mahakama imeprove. Acheni ushamba.
  11. Nyangomboli

    Serikali kuwabana zaidi waagizaji Magari yaliyotumika ili kulinda uzalishaji wa ndani

    Kuliko kununua Mahindra 0 kilometer ni bora ununuwe Vanguard yenye kilometre 500,000. Huo mpango utawagharimu watanzania
  12. Nyangomboli

    Anga la Tanzania ya Samia linazidi Kufunguka. Bado Mikoa 7 tu Kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

    Kongole JPM kwa kuanzisha hii miradi yote na kuitengea pesa zote. JPM hakuwa mtu wa kawaida kwenye hii Nchi. Mungu amuweke pahali pema peponi kwa kweli.
  13. Nyangomboli

    Hayati Magufuli aliichukua CCM ikiwa imechoka akaikarabati na kuipa Umaarufu, ni sahihi kumuenzi!

    Siyo kweli hata kidogo. Magufuli ndiye aliirudisha CCM kwenye ulingo ilishapotea kabisa.
  14. Nyangomboli

    Misri yaiomba Israel iachie nafasi ya misaada kutoka Uarabuni kuwafikia Wapalestina

    Ukifungua mipaka kiholela unapitisha hadi magaidi. Misri analijua hilo. Kumbuka HAMAS waliwahi kuwasaidia wanamgambo wa Misri wakaisumbua Misri sana hapa siku za nyuma. Hawatafanya hayo matani kirahisi.
  15. Nyangomboli

    UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Tena alitakiwa awe kwaya masta kabisa. Anatuzimia umeme sisi? Anadharau mpaka mamlaka. Tena anasema anaacha mgao na kuanzisha ratiba. Ratiba na mgao tofauti yake nini?
  16. Nyangomboli

    Waumini Wamzawadia gari mpya Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Shoo

    Huyo kapewa na wanasiasa hasa waliomchukia JPM maana mzee alimvhukia sana JPM jumlisha na ukabila basi ikawa balaa.
  17. Nyangomboli

    Makamba na Maharage hawapo, sasa tuone kama matatizo ndani ya TANESCO yatafika mwisho

    Wameacha damage kubwa sana na kuirekebisha it will take time. Wale wote walikutana majizi na mababaishaji of the highest grade.
  18. Nyangomboli

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    TANESCO imemshinda mchana kweupe na aliikuta ikiwa imara TTCL iliyoshindikana ataiweza? Jina tu linamshitaki. Huko DSTV mtakuwa mnamsifu bure. Kuna wenyewe na yeye alikuwa remote tu. Hizi za TTCL na TANESCO zinataka kina Kalemani.
Back
Top Bottom