Search results

  1. K

    Swali

    hao ni wakelewe,ukikao nao utasikia sauti zao,utafikiri ni kwaya
  2. K

    Mashairi ya CCM yamemponza Cheyo?

    Hizi ni enzi za mwisho za siasa za Mzee mapesa,huyo bagenda alishakwisha
  3. K

    Hello

    Mara nying harufu itakuwa ya mdomoni,km ni hvyo,amsaidie jinsi ya kupiga mswaki!utafikiri kicheko ila ndio hvyo!lazima ulimi usuguliwe vizuri,ulimi ukiwa mchafu utapata tatizo la harufu,ikishidkana hapo aende kwa wataalam wa kinywa na meno pole
  4. K

    Binti Anataka Nizae Nae!!!!!

    Nahc wewe ni kiwembe,sina msaada kwako,ila nakushauri uende kwa babu loliondo anaweza kukusaidia
  5. K

    Sehemu ipi wanaume wakishikwa wanapagawa?

    Re: Sehemu ipi wanaume wakishikwa wanapagawa? Wengine wanasemaga ni chuchu ,kifua ,kidevu na wakati mwingne ukiwanyonya uume lol hapo anakuwa hoi bin taabani,vp mataka weye ni mwanaume au mwanamke? YAAAAANI UMENIKOSHA HASA HAPOOOO KWENYE KUNYONYWA!:mullet:
  6. K

    Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

    Hv ni kweli/? ndio maana ht uraisi alisema,bado!!!!!!!!!!!
  7. K

    Hili la wahaya kushirikiana mke mbona ndiyo nasikia kwa mara ya kwanza!!

    Hiiiiiii ni kweli,ilikuwa sehemu ya mila,tatizo mila hii imepungua nguvu kwa sababu ya AKAUKA(uKIMWI). HII ILIONYESHA USHIRIKIANO,KAMA NDUGU
  8. K

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Kilicho muhimu kwake ni kikosi cha jeshi na si waathirika wa mabomu...... OK..... we shall see... Hapana,hapa Huyo Dr.Husein inabd amuige baba yake,lazima ajiuzulu km hataki tupange cha kumfanya hatuwezi kuwa tunapoteza watu namali kwa uzembe watu wachache wa nchii hiii
  9. K

    Ukiongezea haya Valentine yako itanawiri sana

    Nieleze basii zaidi juu ya hili chini Mfanyie ‘massage' ya kimahaba mkiwa chumbani, hapa siwezi kueleza zaidi lakini kama hufahamu namna massage inavyofanyika na unataka kujua, wasiliana na mimi nitakuelekeza zaidi.
  10. K

    Mengi anatarajiwa kufahamu watendaji wake wote kwa majina?

    Kwani Mengi si mswahili tuuu, na sifa kubwa ya mswahili kusahau/kudharau.hatujali I see! sijui kwanini!
  11. K

    Wahaya kutoa tamko kuhusu kuonewa kielimu baada ya uhuru

    Evidence zipo wapi?tukuchangie nauli ya ICC1
  12. K

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Kwani katiba haisemiiiiiii????? Maana mwingine atakaa siku 2 atajiuzulu naye ataitwa mstaaafu kweli?
  13. K

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Labda mpiga kelele ungejieleza kama ww ni mkereketwa au la?maana hii ni matokeo ya udhaifu wa baba wa familia,kinachotokea watoto wanajaribu kuokoa au kaharibu jahazi.Tz sasa haina mwenyewe,kwasababu hata wao UVCCM HAWANA TOFAUTI SAAANA,NA MWAKYE, SITTA kwa siku hz CCM HAINA VIKAO?
  14. K

    Tamasha la wanyambo ni leo

    Je tunaweza kupata mawasiliano na waandaaji?email,web?
  15. K

    Kigali Mbali . . . Kigali Mbaaali Tukumbukane . . .

    Kigari mji mzuri!uko wap??tuonyeshe picha zake:whoo:
  16. K

    Bukoba Raha kweli kweli,Senene kibao,Mgao hakuna!

    Nka mwasima Bk yoka!isii aandiiii kara... kanono,muleba?????? aahandiiiiiii:party:
  17. K

    Jicho la mahaba

    \sijawaelewa wote,nipe mifano
  18. K

    Nimemsaliti mpenzi wangu nifanyeje asahau?

    :target:Fanya kazi hacha ngono,utaikuta tuuuuuuuuuuuuuu,haziishagi,,,,,,,,,,,,,,
  19. K

    Neno La Leo: 'Joe' Magufuli, ' Harry' Mwakyembe Na Real Madrid!

    Kaka Maggid, Makala hiyo nimesoma jana,nimeipenda Kakoko
Back
Top Bottom