Search results

  1. lydiah

    Bero za viatu vya mtumba classic vinahitajika

    habari zenu wakuu! Mimi nipo zanzibar nataka kuanzisha biashara ya viatu vya mtumba tena vile classic vya kike ila sijajua wapi ntapata mabero ya viatu . Wenye uzoefu tafadhali tujulishane.
  2. lydiah

    Sisikii hamu ya kula na siumwi chochote, tiba ni nini?

    Yaan tatizo kama langu sometimes najilazimisha naishia kujaza chakula mdomon tuu. Hamu haipo kabistable d nimepata vidonda vya tumbo
  3. lydiah

    Wauzaji wa CD kwa jumla tukutane hapa

    Mawazo yako tuu
  4. lydiah

    Wauzaji wa CD kwa jumla tukutane hapa

    Nataman sana kujua wale wauzaji wanazitoa wap izo cd maana na me nataka kuuza jumlaa
  5. lydiah

    Wauzaji wa CD kwa jumla tukutane hapa

    Habari za majukum u wadau, katika pita pita zangu mitaani nikagundua watu wa ili eneo niliyopo wanahitaj kubwa sana wa cd za bongo movie na zilizotafsiliwa so nataka nifungue library ili iweze kusukuma siku Ila sijui wap pa kuanzia maana nahitaj wasambazaj wa cd kwa jumla maana me nipo...
  6. lydiah

    Printing

    Habari zenu wakuu, ningependa kuwashirikisha huduma ninazotoa ni pamoja na ; Tshirts Uniforms Calendars Business Cards Flyers Brochures wheelcovers Delivery note Invoice book receipt book. na mengine mengi tunatengeneza vitabu vya NCR na kawaida na pia vitabu vyenye wino wa rangi moja n...
  7. lydiah

    Boresha biashara yako na bidhaa nzuri za printing

    Habari zenu wakuu, ningependa kuwashirikisha huduma ninazotoa ni pamoja na ; Tshirts Uniforms Calendars Business Cards Flyers Brochures wheelcovers Delivery note Invoice book receipt book. na mengine mengi tunatengeneza vitabu vya NCR na kawaida na pia vitabu vyenye wino wa rangi moja n...
  8. lydiah

    Printing services

    Habari zenu wakuu, ningependa kuwashirikisha huduma ninazotoa ni pamoja na ; Business Cards Flyers Brochures wheelcovers Delivery note Invoice book receipt book. na mengine mengi tunatengeneza vitabu vya NCR na kawaida na pia vitabu vyenye wino wa rangi moja n hata rangi mbili. kwa maelezo...
  9. lydiah

    Dalali wa nyumba

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya shekhilango na yaan nyuma ya ubungo plaza na ubungo terminal. budget yang ni elfu hamsin na kulipa kwa miez mitatu mitatu.
  10. lydiah

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya shekhilango na yaan nyuma ya ubungo plaza na ubungo terminal. budget yang ni elfu hamsin na kulipa kwa miez mitatu mitatu.
  11. lydiah

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mzima anafata nini milembe?
  12. lydiah

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wap naweza kupata smart TV curved HD?
  13. lydiah

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mchezo mzuri huchezwa na wengi
  14. lydiah

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Chembe tuu nichelewe kikao kwasabu ya mwendokasi
  15. lydiah

    Sinto sahau

    Duh
  16. lydiah

    NATAFUTA WATENGENEZAJI WA VIFUNGASHIO VYA MIFUKO YA PLASTIC

    Absolute printing services tunaprint na kutengeneza vifungashio vya Aina zote 0768597186
  17. lydiah

    Nyumba na vyumba vya kupanga kimara

    Naitaj chuma na sebule maeneo ya rombo/kibo luku ya kujitegemea maji yawepo kiwe fanced
  18. lydiah

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUSAJILI KAMPUNI 1. Jina. Unapotafuta jina jitahidi jina liwe linatamkika kirahisi ili isikusumbue katika marketing lakini kikubwa ni maana ya jina. Kuna maneno mengine ni matusi kwa lugha nyingine, hivyo jitahidi sana kufanya utafiti wa kina wa jina hilo. 2. Mtaji...
  19. lydiah

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    glass mask nayo ipo hooot
  20. lydiah

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Seven day queen ni fireeeee
Back
Top Bottom