Na ili kuelewa dhana hii, hebu tutafakari kidogo swali hili. Kati ya Mzazi na Mtoto, ni yupi wa kwanza kuwepo. Bila shaka, wengi tutasema ni Mzazi.
Mimi nina wazo tofauti. Hakuna mzazi wa kibaolojia(na hata kaa atokee mzazi wa kibaolojia) bila kuzaa kwanza mtoto. Kwa hiyo hiyo, mzazi yupo kwa...
Uwepo (existence) ndio chanzo pekee cha Mungu. Hakuna namna unaweza kutambua au kuelezea uwepo wa Mungu kama haupo (does not exist). God will continue not to exist until you exist.
Ni rahisi sana. Ni settings tu. Nenda kwenye properties ya network unayotumia. Wezesha "metered connection". Yaani set iwe " on". Ni hivyo tu mkuu wangu.
Fanya hivi kwa kila connection mpya ya internet.
Inawezekana kuzuia. Nenda kwenye jina la wireless network unayotumia. Nenda kwenye properties, halafu, nenda kwenye metered connection. Weka "on". Kwisha habari yake.
Jaribu mkuu. Tembelea hapa pia Flash Drive Repair utapata pia tools za kuflash usb flash. Usbdev.ru mbali na kukupa flash tools, inakuelekeza jinsi ya kuzitumia.
Download hii software chipgenius ChipGenius v4.19.0319. Kisha ingia hapa usbdev.ru ujifunze namna ya kureformat hiyo flash yako. Chipgenius inakupa vendor name ya flash yako na taarifa nyingine ambazo zitakusaidia kupata flash tool sahihi. Baadhi ya vendor names ni Alcol, Phison, Chipsbank n.k...
Restore factory settings. Hakikisha data zako za muhimu umezihifadhi kwenye memory card au sehemu nyingine au umefanya backup ya data kwenye simu.
Ninaamini njia hii itatatua tatizo.
Katika harakati za uhuru, Nyerere alikuja baadae kidogo. Yeye zaidi aliunga juhudi za watu wa kanda ya Ziwa. Harakati kali za kudai uhuru zilichagizwa na kuchachamaa kwa kasi zaidi katika eneo la kanda ya ziwa. Soma vizuri historia.
Historia hii ina ukweli haswa pale inaponipa jibu ni kwa nini maeneo ya Moshi Vijijini kuna tarafa inaitwa Hai Mashariki wakati ni wilaya tofauti kabisa.
Aisee. Nimefanya kazi kwa muda hapo Ng'uni Sec. Enzi hizo ninanunua maziwa fresh kwa vikundi vya akina mama sh 500 tu kwa lita. Si siku nyingi hata hivyo! Umeme na majumba mazuri hadi kwenye mpaka wa mlima Kilimanjaro. Halafu hakuna anayeishi.
Hakuna kitu kama roho. Hebu tafakari mfano huu. Gari linatembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Kuna wakati kutokana na hitilafu, linashindwa kufanya kazi milele. Tunaweza kusema limekufa.
Je, gari nalo lina nafsi/roho?
Turudi kwa binadamu. Kwa nini ninasema hakuna kitu roho?
Unaposema...
Kwa vyuo vya ualimu vya serikali (labda na private) kwa sasa wanaajiri watu waliosoma Bed (science, arts). Yaani wahitimu ambao kozi za education ni core.
Hata hivyo, kwa elimu yako, wekeza kwenye kufundisha vyuo vikuu. Tafuta kazi private na public universities. Kubwa zaidi, usisubiri...
Unaweza kutazama hapa Epl na Uefa high definition https://www.eplsite.uk/stream5.html
Hebu niambieni ni mtandao gani unastream hapa vizuri bila kukwama. Ninatumia voda 4g lakini buffering za kutosha hadi inakera.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.