Search results

  1. muuza ubuyu

    Hali ya barabara ya Dumila - Handeni - Korogwe, Je ni barabara ya lami au vumbi?

    Habari wakuu, Mwezi wa kumi na moja nina safari ya kwenda Lushoto kwa kutumia usafiri binafsi. Kiufupi mimi ni mgeni katika mkoa wa Tanga na sijui hali ya barabara mkoani humo. Ninaishi kwenye moja ya mikoa ya kanda ya magharibi mwa Tanzania. Barabara ninayotaka kutumia ni ile ya kutoka...
  2. muuza ubuyu

    Sensor za Toyota Harrier 1998

    Habari wakuu, Nilinunua gari langu tangu mwaka 2016 ilipofika mwaka 2017 lilianza tatizo lakuwa linakomea gear namba 3. Nilikaa nalo kwa muda karibia miezi sita ndiyo kuja kupata ufumbuzi ni knock sensor. Nilitafuta used zikawekwa na tangu siku hiyo gari likapona na kurudi uhalisia wake...
  3. muuza ubuyu

    Vitabu & Program za kufundisha Programming/Codes/IT kwa Watoto wa Shule za Msingi

    Habari wadau, nina vijana wangu wa darasa la nne na sita nataka nianze kuwafundisha computer science (kwa level yao) ili waendane na makuzi ya technolojia. Kwa sasa computer nimeshawanunulia ila hivyo nawafundisha simple spreadsheet pamoja na internet. Nilitaka niende mbali zaidi ya hapo japo...
  4. muuza ubuyu

    Wapi Wanakouza Pikipiki aina ya Honda XL 250 au zaidi?

    Nahitaji pikipiki aina ya Honda XL/R au yoyote imara walau yenye CC 250. Sipendi pikipiki ambazo zipo kama za mashidano (kifua kinakaa kwenye tank). Kumvua mtu poa ila engine isiwe imeguswa hata kidogo na mafundi. Budget 4 Mil.
  5. muuza ubuyu

    Ningependa kujua Ada ya Shule hizi za Sekondari

    Wakuu habari. Nina binti yangu hapa yupo darasa la sita miaka 2 ijayo atakuwa anaingia ngazi elimu ya secondary. Kwa sasa nimeanza kujiandaa kuhakikisha anazidi kuwa na uelewa mzuri wa darasani ili aweze kufaulu vizuri mitihani yake ya mwisho na ile ya kujiunga shule bora kwa elimu ya secondary...
  6. muuza ubuyu

    Kodi zitokanazo na kuingiza mashine ya Kusaga Mahindi/ Grain storage Silo

    Habari wakuu. Nina plan ya kuagiza mashine ya kusaga unga (complete system, 10tons/24hrs) kutoka china na nimeambiwa CIF cost to Dar ni usd 23,000. Pia nina plan ya kuagiza system nzima ya grain storage silo yenye capacity ya 500 Tons. Kwa wanaojua ningeomba kujua kodi zinazoambatana na...
  7. muuza ubuyu

    Short course ya GIS and Remote Sensing

    Habari waungwana. Katika harakati zangu za kuboresha utendaji kazi wangu, nahitaji kupata maarifa ya GIS & RS, je ni wapi kwa sasa ninaweza kupata mafunzo ya muda mfupi (2 to 3 weeks) kuhusu GIS? Nahitaji kuitumia katika issue zinazohusiana na kilimo, mazingira, misitu (natural resources)...
  8. muuza ubuyu

    Tatizo la ngozi kuwashwa, nikijikuna naumka/ navimba

    Habari wakuu, kama wiki tatu hivi niliugua tumbo la kuhara lililonisumbua kwa siku 4 hivi nilihangaika sana kutumia dawa (kuna moja ni single dozi baadaye nikatumia dose ya flagyl) mpaka kupona. Pia nilitengeneza oral locally nikatumia na ilinisaidia kukata kuendesha ikabaki tatizo la tumbo...
  9. muuza ubuyu

    Kwa wenye uzoefu na Toyota Belta 1290cc naomba ushauri

    Wakuu, naombeni mwenye uzoefu na hicho kigari. Nimeangalia beforward nikaona kwa mazingira ya sasa ambayo nahitaji kufanya heavy investments, nahitaji kuwa na gari ndogo yenye gharama ndogo za uendeshaji hivyo chaguo langu limeangukia kwenye gari hii tatizo sina uzoefu nayo kuhusu uimara wake...
  10. muuza ubuyu

    Nahitaji Financil Calculator

    Wadau habari, Anayeweza akafahamu pale ninapoweza kupata financial calculator kama hii na bei yake (hapa Mwanza /Dar) . Inahitajika haraka sana. Nashukuru sana kwa msaada wenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. muuza ubuyu

    Na wewe ulikuwa unaudhika kama mimi?

    Wakuu salama? Kuna kitu kidogo sana huwa kinaniudhi (hasa zamani). Kwa utamaduni wa kitanzania unapokutana na mtu bila kujali kama unafahamiana naye, salamu huwa ni kitu cha msingi na kiungwana. Kwa kawaida salamu yetu ya kiswahili inaambatana na maswali ya kujuliana hali. Sasa, mimi huwa...
  12. muuza ubuyu

    Nahitaji Hiace Manual

    Wakuu salama, Nahitaji Toyota Hiace kwa ajili ya Biashara. Ofa yangu Tsh. 16,000,000/=. Iwe nzima na ambayo haijatumika muda mrefu wala kuchokonolewa na mafundi uchwala. Manual & diesel. Iwe imetembea chini ya km 200,000. Kutumika na kusajiliwa Tanzania isizidi mwaka 1. Kama ni ya zamani...
  13. muuza ubuyu

    Master of Engineering Management (Project Management)_ UDSM

    Wakuu mambo vipi? Naulizia mwenye uzoefu na course tajwa hapo juu. Ningependa kujua kutoka kwa wazoefu wa degree program hii, admission wanasema wanaweza kusajili hata yule ambaye hakusoma engineering undergraduate degree ili mradi tu awe alisoma degree_applied science. Kuna jamaa yangu...
  14. muuza ubuyu

    Kuweka seats kwenye Hiace

    Habari waungwana, Kuna Hiace nataka kununua ila haijawekewa seats za abiria zaidi ya seats za mbele. Je, gharama ya kuweka hizo seats za abiria kwenye hiace ni gharama kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. muuza ubuyu

    Hiace Dungu Inahitajika

    Wakuu, natumaini mnajiandaa vyema na weekend. Mwisho wa mwezi 10 nahitaji kupata Hiace dungu, manual, diesel, ikiwezekana 4wd na pia walau iwe na max 100,000km na cc isiyopungua 2500. Pia isiwe imetumika hapa bongo. Wenye yard zinazoaminika au unaefahamu ninakoweza kupata naombeni taarifa.
  16. muuza ubuyu

    Nahitaji kufahamu kuhusu MBA ya chuo cha AMUCTA-Tabora

    Habari za majukumu jamani. Napenda kuuliza kuhusu ubora wa MBA itolewayo na chuo cha Archbishop Mihayo University College of Tabora ambayo ni tawi la SAUT. Mimi nimegraduate bachelor yangu kutoka SUA miaka 10 iliyopita na tangu muda huo nimekuwa nikifanya kazi katika remote areas kiasi kwamba...
  17. muuza ubuyu

    Data analysis and visualization short course- CoICT UDSM

    Wakuu habari za kazi. Kuna short course ya data analysis and visualization inatolewa na UDSM kupitia college of ICT, Kijitonyama, Tanzania data Lab. Ningependa kujua kama kuna mtu aliyewahi ku attend course hii katika chuo hicho. Je, value for money unaweza kuiona baada ya ku attend course...
  18. muuza ubuyu

    Wimbo gani unaoupenda sana lakini ndani yake kuna msitati unaokupa ukakasi?

    Umuofia kwenu, Wakuu nadhani hali kama hii hutokea. Unaweza ukakuta wimbo unaupenda sana sema ndani ya mashairi yake kuna msitari mmoja tu huwa unakuweka "off". Binafsi wimbo as Dogo janja-Ngarenaro naupenda sana ila tu akiimba, "unanipa mpaka mambo ya uani", huwa naboreka sitaki niendelee...
  19. muuza ubuyu

    Tatizo la gear kwenye Harrier 3.0L

    Wanabodi, Nina gari langu sasa ambalo linatembea ila lina shida inayonisumbua leo miezi mitatu tangu lianze na kila ninapolitatua halitatuliki. Taa ya check engine huwa inawaka hasa nikiendesha speed walau ya 80 kwa kama km 30. Nikiendesha pia zaidi ya speed ya 70 gear number 4 inagoma ku...
  20. muuza ubuyu

    Tuliowahi kuwa na chawa tukutane hapa

    Mambo vipi watemi? Ebanaee tulio wahi kuwa na chawa tukutane hapa tubadilishane uzoefu. Binafsi nilipokuwa mdogo mpaka darasa la pili nilikuwa na chawa wengi sana kiasi kwamba kichwa kilikuwa cheupe kama mvi kwa sababu ya mayai ya chawa. Basi bibi alikuwa ananiita halafu anazitafuna nywele...
Back
Top Bottom