Search results

  1. muuza ubuyu

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Ndugu yangu, hebu tulia sasa tumezeeka achana na vitoto! Mwarabu wa juisi bado unawasiliana naye kwanza? 😃😃👏
  2. muuza ubuyu

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Sipendi kweli likes 😋😋
  3. muuza ubuyu

    Tahasusi za masomo ya A-Level: Kutoka 16 HADI 65, tumpongeze waziri au tumuhoji?

    Kwa kweli mimi nimetazama tahasusi za masomo ya sayansi nikaona hazijakorogwa korogwa nikasema basi asante Mungu.
  4. muuza ubuyu

    MSAADA: Mchanganuo wa gharama za chakula kwa vifaranga 1000 vya kuku wa mayai mpaka kufikia kutaga

    Bei ya kifaranga wa layers kutoka Silverland ni kiasi gani mkuu?
  5. muuza ubuyu

    MSAADA: Mchanganuo wa gharama za chakula kwa vifaranga 1000 vya kuku wa mayai mpaka kufikia kutaga

    Usisahau na mazao (au migomba) hata kidogo tu mkuu, hao kuku wanatoa mbolea nyingi sana.
  6. muuza ubuyu

    Gharama za kusurvey na kuchimba kisima Tabora

    Habari Mkuu Mkuu, ulipata majibu ya hili? Nami natamani kuchimba kisima wakati kwa kiangazi
  7. muuza ubuyu

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Hauwezi kufuga kuku 10,000 tena wa kienyeji Kwa kuwatafutia chalupa kwenye madampo na migahawani. Biashara yoyote huwa haina shortcut Kwa urahisi hivyo. Ukitaka kufuga hivyo lazima ufikiri ni names gani hao mifugo watakula
  8. muuza ubuyu

    Kwako mume wa huyu dada mwenye VOLKSWAGEN POLO

    Baada ya kuwa mtu mzima, hata siku moja siwezi kuamini machozi ya mwanamke kwa haraka haraka!
  9. muuza ubuyu

    Kujichora tattoo imekuwa chanzo cha kuachwa dada yangu, ni kama ana bahati mbaya

    Nilitaka kumwelewa muhusika ila alivyomalizia kwa kusema, "waambie wanaume waache ushamba", basi nimegundua huyo dada kashindikana!
  10. muuza ubuyu

    WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

    Vipi lakini, uliahirisha kumla au ulimla kwanza ndiyo ukaamza kumpatia ushauri? [emoji3][emoji3][emoji12][emoji12]
  11. muuza ubuyu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kati ya maneno ambayo huwa sielewi maana zake halisi na sipendi kuyatumia ni "nirehemu" au "akurehemu" [emoji1][emoji1][emoji1]
  12. muuza ubuyu

    Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Huyu jamaa yetu mbona kama inaki-dis chuo chetu [emoji1][emoji1][emoji1]
  13. muuza ubuyu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bachelor ya economics mpaka Masters ya fasihi? Duh [emoji849]
  14. muuza ubuyu

    Kwa Mara ya kwanza nimepata demu anaekuja Kwa nauli yake

    Kwenye Hisabati nimekuelewa mkuu [emoji1][emoji1]
  15. muuza ubuyu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Pia kuna section moja alisema alikutana na mdada mmoja mzuri sana bahati mbaya hakuchukua namba. Yule dada akaj kurudi pale akamuuluzua Insiderma kwa muhudumu na muhudumu akaja akamwambia Insiderman ambaye aliamua kumuachia namba muhudumu ili aje ampatie huyo dada ( Sikumbuki kama ni kidimbwi...
  16. muuza ubuyu

    Upweke unasababisha natumia pesa kwa kiwango kikubwa sana

    Kwa asilimia kubwa ni kweli, cha msingi tatua tatizo lako la msingi, tafuta chanzo na suluhisho sahihi la huo upweke wako!
  17. muuza ubuyu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Haya maisha bwana, kuna miaka kadhaa nyuma nilikuwa ninaweza kusahau hata Tsh 60,000 kwenye suruali chafu, ila siku hizi sasa, sikumbuki ni siku gani nilisahau hata buku kwenye nguo ya kuvaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom