Search results

  1. Mpevu

    Nyumba inauzwa jijini Mwanza

    Ninauza nyumba yangu binafsi, ipo jijini Mwanza eneo la Luchelele si mbali na ziwani. Inavyumba 3, viwili vikiwa ni self, sitting room, kitchen na public toilet. Imejengwa kwa mpangilio wa ramani ya mtaa. Nitabandika picha yake. Kwa aliye interested tuwasiliane kupitia 0715887777 au 0762123133...
  2. Mpevu

    MKOPO wa haraka UNAHITAJIKA

    Salaam, Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa yeyote iwapo tutakubaliana masharti. 1. Kiwango kinachohitajika ni10m. 2. Dhamana ni nyumba, ipo jijini Mwanza. 3. Muda wa urejeshaji uwe ni miezi 3, iwapo tutakubaliana. Kwa yeyote aonaye anayofursa kukopeshana kwa dhamana tajwa hapo juu, basi...
  3. Mpevu

    Ombi la mtaji "mkopo"

    Ninajitokeza kwenu wadau kutafuta mtaji wa biashara, sijaanza biashara ila ninao uzoefu wa kusimamia biashara ambapo najiamini iwapo nitapata mtaji. Nimebahatika kuwa na nyumba ya uwani jijini Dar yenye vyumba 3 na sebule ikiwa na kiwanja pembeni cha kujengea. Ni eneo ambalo bado sijapata hati...
  4. Mpevu

    Nyumba inauzwa Luchelele-Mwanza City

    Wadau wa ardhi, *Nyumba hii inauzwa jijini Mwanza. *Ipo eneo la Luchelele, mbele ya SAUT, *Ni nyumba mpya ipo kwenye finishing, *Inavyumba 3, master 2 na kawaida 1, *Plasta ndani na nje tayari, isipokuwa kwenye veranda kwa nje ndio bado kukamilishwa. *Sinki la choo tayari pamoja na...
  5. Mpevu

    House fot SALE-Mwanza.

    Ndugu wanajamvi, Salaam! Hii ni nyumba iliyopo Pasiansi Chini, barabara kuelekea kiwanda cha bia TBL jijini Mwanza. Inavyoonekana pichani ni nyumba ya uwani, ambapo iliachwa nafasi mbele kwa ujenzi wa nyumba ya mbele, eneo la mbele latosha kujenga nyumba kubwa na kuweka fensi. Nyumba...
  6. Mpevu

    Looking for Toyota Duet or Vitz

    Wakuu natafuta gari ndogo aina ya Duet au Vitz (5 doors), budget 6m. Iwe katika hali nzuri.
  7. Mpevu

    NYUMBA yenye eneo NAUZA

    Napenda kuwatangazia wadau wote kuwa nauza nyumba yangu yenye eneo kubwa kutosheleza ujenzi mwingine upande wa mbele, nyumba ipo Kipunguni mashariki jijini Dar. Ukiwa Kitunda relini, upande wa mashariki ndipo ilipo nyumba hiyo. DHUMUNI LA KUUZA: Ni kutokana na hali ngumu kabisa kimaisha...
  8. Mpevu

    Nyumba NAUZA Nyumba

    Habari wadau, Nauza eneo ambalo tayari linayo nyumba ndogo ya uwani yenye vyumba vitatu. Eneo lililopo ni hatua 40-35, halina miti au mazao yoyote. Lipo ndani ya jiji la Dar maeneo ya uwanja wa ndege. Bei katika hii ni 25mil tu. Nimeamua kuuza eneo hili si kwa minajili mingine, bali...
  9. Mpevu

    Nauza...NYUMBA...jamani

    Ipo chanika, eneo la kinyamwezi-DSM. Imejengwa boma lililokamilika kwa ustadi na halijaezekwa. Ina vyumba 3 vya kulala, sitting room, kitchen, dinning, mini-store na vyoo vya ndani. Ina verandah ya mbele na nyuma. Ina eneo zuri litoshalo fence ya kutosha. Umeme umeshafika eneo hilo. Panapimika...
  10. Mpevu

    Tabora yangu Tabora

    Mji wangu mkongwe wa Tabora, Wewe ndio chimbuko la vuguvugu la uhuru wa Tanganyika, Ndio mji mkubwa wa kwanza hapa Tanganyika enzi za ukoloni, Leo umesahaulika mkoa wangu Tabora, Sijui ni nani amekupoteza Tabora yangu, Umezalisha wasomi na wazalendo wengi Tabora yangu, Hukujipendelea kwa...
  11. Mpevu

    Nyumba nauza nyumba

    Wakuu, Nikiwa ni mdau hapa jamvini, napenda kuwatangazia kuwa nauza moja ya nyumba zangu ambayo nimeijenga eneo la Kinyamwezi-Chanika kama ifuatavyo:- 1. Ina 2-bedrooms, 2. Ina 1-master bedroom, 3. Ina dinning, 4. Ina kitchen, 5. Ina stoo ndogo, 6. Ina veranda 2 i.e (ya mbele na uwani), 7. Ina...
  12. Mpevu

    Natafuta toyota-vitz

    Wadau, natafuta gari ndogo aina ya Vitz iliyo ktk hali nzuri, nipo Dar. Budget Mil.6 Contacts: 0715-988888
  13. Mpevu

    Leseni ya biashara

    Wadau, Naomba kuuliza kwa wajasiriamali kufanya usajili wa duka lako ili ulipe kodi zitakiwazo TRA ni kiasi gani chafikia kwa ukamilishaji wa usajili? Namaanisha Leseni, TRA, VAT etc. Ni kwa ajili ya duka tu la bidhaa za kawaida na si jumla. Kwa wazoefu chonde nisaidieni kujua tu ili nijue jinsi...
  14. Mpevu

    Nauza gari ndogo

    Wadau, Ninauza gari yangu ndogo aina 'TOYOTA RAUM', ipo ktk hali nzuri na imetembea hapa miezi 10 sasa. Usajili wake ni BLM, engine yake ni CC 1490, nituliapo nitabandika picha yake. Nipo dar, bei ni 6.5M. Haijawahi kugongwa wala kuwa na major maintenance,ipo ktk hali nzuri kabisa. For serious...
  15. Mpevu

    Naitwa...

    Wanajamvi, Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipatwa na hali ya mshangao kwa raia wenzetu wa Tanzania hususan wale aidha wapo serikalini, ama wameshastaafu au ni watumishi wa umma (wabunge, madiwani, wenyeviti wa siasa wa mikoa kivyama) kwa majina ya 'mheshimiwa'. Leo nimekutana na jaji mmoja...
  16. Mpevu

    The most famous speech as 'tz' premier

    Wadau, Heshima kwenu wote. Napenda niulize na tueleweshane na kufundishana baina ya kizazi cha zamani na cha sasa juu ya mambo ya nchi yetu, ili iwe rahisi kujadiliana na kujuzana. 'Hivi ukiondoa khotuba alizowahi kutoa mwl. Nyerere enzi za uhuru akiwa ni waziri mkuu wa Tanganyika...ambapo...
  17. Mpevu

    CHADEMA- umulikeni mkoa wa Tabora

    HESHIMA KWENU WADAU WOTE, TABORA; SI VIBAYA UKIITA... 'TAA BORA' Ni mkoa ulio nyuma kimaendeleo, Watu wake wamejikatia tamaa kuutegemea utawala, Mkoa umemezwa na CCM, Ni mkoa uliobeba utaifa na harakati zote za Tanganyika, Ni mkoa uliojaaliwa ardhi nzuri yenye rutuba na misitu mizito ya asili...
  18. Mpevu

    Wanyamwezi

    bha'aabhoooo...karibuni, zya nsiko...habari za siku, mwee wapanga...hamjambo?, mwangaloka...habari za asubuhi, wa kukaya...wa nyumbani, kalibhu halugo...karibu nyumbani, kalibhu hakaaya...karibu nyumbani Ikingilima...day-break/alfajiri na mapema Mkweela...shemeji/wifi Yaayo/nina...mama...
  19. Mpevu

    Nilhaam yu wapi?

    Hasikiki huyu mwenzetu takriban wiki sasa, yu wapi au mabomu yamemsibu? Tujuzane!
  20. Mpevu

    Mkuu wa mkoa

    Wadau, NAOMBA NISAIDIWE ILI NIJUE, JE MKOA UNAWEZA KUKAA BILA MKUU WA MKOA KWA KIPINDI GANI HASA ( labda kwa mujibu wa katiba) ??,, NAPATA TAABU KUJUA NI VIPI MAENDELEO KUFIKIWA HARAKA KWA WANANCHI IKIWA RC ANAENDESHA MIKOA 2 AT ONCE TENA KWA ZAIDI YA ROBO MWAKA. 1. Je, hakuna wananchi wenye...
Back
Top Bottom