Search results

  1. Diehard

    AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

    Vipi ulikuwa bado hujaja mjini
  2. Diehard

    AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

    Baraka Mpenja, Mwamba wa Umalila Fahari ya Itete, Huyu ni Simba lialia na kuna kipindi alisimamishwa kutangaza mpira na Azam baada ya kutangaza goli la Kagera Sugar walilowafunga Simba kinyonge kama vile hajafurahishwa watu walilalamika kwamba alionyesha mapenzi ya dhahiri rejea goli hilo siku...
  3. Diehard

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa DABBA35 tujilipue
  4. Diehard

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tujilipue usiku wa leo 1DA38C0 betpawa
  5. Diehard

    Kwanini wachezaji wasiingie mikataba binafsi ya udhamini?

    Kanuni ya kimangungo na kishamba timu zinawadhamini wa kit Say Adidas lakini mchezaji anaruhusiwa kuingia mkataba wa Kiatu na Nike/puma/New Balance
  6. Diehard

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii maana yake timu uliyoichagua itashinda na kama itatoka draw unarudishiwa pesa yako
  7. Diehard

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni kampuni ipi hii kiongozi
  8. Diehard

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nikitaka kuona hili treni nafanyaje mkuu
  9. Diehard

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi nikitaka kuziona nafanyaje
  10. Diehard

    Fei Toto aliomba kuvunja mkataba baada ya kuchoka manyanyaso

    Hukuna mutual agreement kama pande mbili hazikai meza moja. Nadhani mwajiri kamwambia wakae mezani ila Fei na mawakili wake wamekataa
  11. Diehard

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa game ya Liver weka mzigo mkubwa over 1.5 Man City au nenda specials Weka over FT 1.5 and Man City kushinda Ni game yenye goli zaidi ya Tatu bila presha Over 2.5
  12. Diehard

    Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

    Kaka Kama mtaweza mtuwekee kwa pamoja mtiririko wa previous updates katika Update za siku hiyo (Sasa naona mnatuwekea ya Jana yake) itatusaidua hata kwa baadae kufanya marejeo kwa urahisi. Ni wazo tu Kiongozi.
Back
Top Bottom