Search results

  1. V

    Kwa walio oa

    A Punjabi lawyer working in UK wrote to his wife in India . Dear Sunita Darling, I can't send you my salary this month because the global market crisis has affected my Company's performance, so I am sending 100 kisses. You are my sweetheart, please understand and adjust...
  2. V

    Anna Tibaijuka utaweza utapeli wa viwanja wizara yako? Anza na katibu wa sasa

    Nakumbuka wakati antangaza baraza lake la kwanza alisema uwaziri hausomewi-Namshangaa anakula matapishi yake mwenyewe eti kwa kumteua msomi kuongoza wizara ambayo hata malaika ukimpa kwa mfumo huu hawezi kuperform.
  3. V

    Matokeo ya Nagu yakibatilishwa, Dr. Slaa kugombea?

    Nakuunga mkono,Kumbuka kuna watu wakati Dr.Slaa ametangaza nia walisema bado mchango wake unahitajika bungeni.Naamini Dr.anaweza kuwatumikia watanzania katika namna mbali mbali na si dhambi hata kidogo kuwa mbunge na kufanya mengine yote ambayo tunaamini pia anaweza fanya.
  4. V

    Pata Sheria mbalimbali za Tanzania bure hapa!

    Asante sana Gagagigikoko, sheria tunazo vipi kuhusu kanuni zake? tunaomba utusaidie ili tupate kuzifahamu barabara.
  5. V

    Jamani Dr. Bilal kushika tu madaraka na kuvunja katiba!

    Kina, kuwa muwazi kwa kujibu maswali yafuatayo: Dini ipi hiyo inayokwapua rasilimali na nchi? na ni watu wa dini gani ambao wananufaika na "katiba ya sasa"?Ni watu wa dini ipi ambao wapo mstari wa mbele kupigania upatikanaji wa katiba mpya?
  6. V

    Hodi hodi jamvini

    Umejuaje wakati wewe si mhaya?
  7. V

    Hodi hodi jamvini

    TUKUTUKU, Mbona Katavi anakaribisha wageni hadi chumabani hii ni mila na desturi ya kabila gani?
  8. V

    Hodi hodi jamvini

    Athali za mila na desturi siyo lazima ziwe za kabila tu,hii ni desturi ya jamvini.
  9. V

    Mungu Mbariki Raisi Kikwete!

    Sala isije ikawa kama dua la kuku..............................
  10. V

    Hodi hodi jamvini

    Nashukuru kwa ukaribisho wako.Tuko pamoja.Vibuchu is just my screen name.
  11. V

    Hodi hodi jamvini

    Napenda kuchukua fursa hii kujitambulisha rasmi jamvini. Ni matumaini yangu mtanipokea kwa mioyo mikunjufu.Asanteni sana.
Back
Top Bottom