Search results

  1. BIN BOR

    Tahadhari ya usalama Kilimanjaro Bus

    Kilimanjaro Express; huu sio mkanda wa suruali
  2. BIN BOR

    Rais Samia hana exposure

    Rais Samia anadai na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hakuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika. Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na mkutano mkubwa wenye malengo ya 2024. Huyu Mzanzibari hajui siasa za dunia.
  3. BIN BOR

    Aliyehoji uraia wa Askofu Niwemugizi kuzikwa na Askofu Niwemugizi

    Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?" Sasa kabla Baba Askofu hajaanza ibada ya mazishi, mrudishieni kwanza pasi yake ya kusafiria. Soma hapa: 1) Askofu...
  4. BIN BOR

    Tovuti ya CHADEMA bado inatangaza Lissu kuteuliwa kuwa mgombea

    Nimeambatanisha screenshot 2. Moja ni tovuti ya chadema na ya pili ni tovuti ya republicans wa Marekani. Japo siungi mkono GOP ninataka CHADEMA kuona aibu hii ya kuwa nyuma sana kutoa mrejesho kwa watu wenye mapenzi na chama.
  5. BIN BOR

    TANESCO Bagamoyo imulikwe - ni hujuma au magendo?

    Kuna tabia imezuka kwa muda sasa, ikifika saa moja au mbili usiku wanakata umeme. Hakuna mvua au radi (ambavyo huwa visingizio vyao) au maelezo yoyote yanayotolewa na kisha baada ya lisaa hivi ndipo wanarudisha. Wiki imetokea hivi kila siku. Wakazi wa huku tunajiuliza kuna nini? Zamani za...
  6. BIN BOR

    Aliye karibu na Mkombozi Benki anisaidie kuwapa taarifa

    MCB, benki ya kanisa langu pendwa Katoliki, lakini kitendo mnachonifanyia sasa ni cha kihuni kabisa. Mlisema nikiwa mahali ambapo hakuna tawi la Mkombozi naweza kuweka hela kupitia TPB. Pesa imewekwa Alhamisi, haikuonekana kwenye akaunti. Ijumaa nikafunga safari toka Bagamoyo hadi St Joseph...
  7. BIN BOR

    Sakata la Wakurugenzi na Makatibu Tawala kusimamia uchaguzi

    Tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa nimeona kwenye picha katibu tawala (DSM) akisimamia zoezi za kuapisha wasimamizi wa kila wilaya. Je, wataripoti kwake? Kama ndiyo, hukumu ya ile kesi iliishia wapi?
  8. BIN BOR

    Hivi yule Waziri aliyesema kodi ya nyumba tutalipa mwezi hadi mwezi alitumbuliwa au bado yupo?

    Nilijawa furaha kumsikia Mzee Lukuvi akisema watanzania watalipa kodi ya nyumba kwa mwezi na sio mwaka au miezi sita kama ilivyo sasa. Nimejenga nyumba ya kuishi lakini sehemu ya biashara nimekodi na nikilipa mtaji wote unakwenda. Ahadi hii ya Lukuvi itatimia lini na sisi tulipe kama London au...
  9. BIN BOR

    Wimbi la bia za TBL zilizoisha muda wake

    Nilijichanganya maeneo ya Kigogo kufuata ile nyama hatari maeneo ya Sambusa, nakuta wana promosheni castle kubwa bia 3 sh 5,000/- tu. Kuangalia kumbe zime-expire wiki tatu kabla. Nikasafiri Ifakara, nikaagiza castle lager kubwa; kuonja ladha haieleweki utadhani kahawa iliyoungua; kuangalia...
  10. BIN BOR

    Fursa kwa Waandishi na Wachoraji

    To All Publishers, Writers and Illustrators RE: INVITATION TO THE CHILDREN’S BOOK PROJECT FOR TANZANIA (CBP) CONFERENCE The Board of the Children’s Book Project wishes to invite you to the conference organized by the Children’s Book Project scheduled to take place on 17th – 18th March, 2016...
  11. BIN BOR

    AHADI HEWA

    1. Mabasi ya mwendokasi (BRT), yalizinduliwa siku chache kabla ya uchaguzi 2015. WAPI? Wanadai kuhangaika na nauli wakati ukweli ni kuwa vituo havijakamilika kujengwa, mfano Morocco na Ubungo bado ni mapagala. Mikoa mingine mnaonaje, maana huko nako kunahitaji usafiri bora. 2. Tutawajali...
  12. BIN BOR

    Mwalimu wangu kasema Magufuli bure kabisa

    Nimekutana na mwalimu wangu, mtu mzee kiasi kwani kanifundisha sekondari. Kasema oho, unaona Magufuli anayofanya? Nikamuuliza anafanya nini, akanijibu kazuia safari za nje, kakamata wezi bandari, katimua TRA, nk. Nikasema BURE KABISA. Mwalimu akanishangaa, akaniuliza we ya Magufuli huyaoni...
  13. BIN BOR

    Akiba Commercial Bank na Manager asiyetumia akili

    Ninaishi mtaa wa Eagle, mjini Bagamoyo. Tarehe 11 Agosti 2015, majira ya saa kumi nilikuwa katika harakati zangu maeneo ya Buguruni kisha nikawa na uhitaji wa fedha. Kwa vile benki ninapoweka akiba yangu ni mshirika wa Umoja Switch, nilikwenda kwenye tawi la Akiba Commercial Bank ili nitoe pesa...
  14. BIN BOR

    Hadithi

    hadithi
  15. BIN BOR

    Kumbe walipewa ruhusa kutofuata sheria, deadline imeisha kabla ya kazi kukamilika.....

    "kuanzia leo watu wote lazima wafuate sheria hukuakisisitiza kuhusu jambo hilo amesema 'mambo ya kutofuata sheria, mambo ya kudhani kuna wengine wako juu ya sheria yamepitwa na wakati kuanzia leo" Kova
  16. BIN BOR

    Unaona nini?

  17. BIN BOR

    Manyang'au

    Kuna tetesi baadhi ya manyang'au yametoa hifadhi kwa mabinti waathirika wa mabomu na wanawala uroda. Wanaharakati wa haki za watoto fuatilieni hilo.
  18. BIN BOR

    The country formerly known as Tanzania

    Tutatanganyika tu! Ipo siku.
  19. BIN BOR

    Makinda vs Sitta

    Usiweke neno, weka tu % ya kila mmoja wao.
  20. BIN BOR

    Yaliyomkuta mlokole porini

    utani: Yaliyomkuta mlokole porini Mlokole mmoja alikuwa anafukuzwa na simba porini. Alipojua kuwa hataweza kumwacha simba akamwomba Mungu ili simba yule naye aokoke. Aliamini simba mlokole hatoweza kumla. "Baba naomba simba huyu aokoke!" Basi akadondoka chini akasikilizia. Kwa kuwa alikuwa na...
Back
Top Bottom