Mimi nakubaliana na wewe. Nimejenga majengo ya shule ina madarasa matatu eneo la mbezi Luisi, wanaokuja kukodi wananilalia. Hata faida siioni. Sasa hivi nimewatimua naikarabati natafuta wapangaji wengine. Safari hii Nataka niweke na matangazo
Umeingia site yenyewe ukaona ninayoyaulizia au umejibu tu kwa kutazama link!!? Inavyoonyesha sio site ya ubalozi na ingekuwa vizuri kama utajibu ukiwa unajua unajibu nini
Chinese Embassy in Dar es Salaam, Tanzania wanatoa schoolaships kwa vijana wanaotaka kwenda kusoma china. Kuna mtu yeyote anajua chochote kuhusu hawa jamaa. Ni wa kweli au ndio utapeli?
Hivi kuna tatizo gani wiki ya 3 maji hayatoki? Dawasa mnafanya kazi gani? Mnyika upo au umetutosa hadi magonjwa yalipuke!!!!? Kwa kweli inasikitisha sana.
Sasa huyu Ndugai ujanja wote akikutana na Kikwete anakuwa hoi!! Yaani picha zote mkono kaweka tumboni utafikiri mtoto wa shule, yaaani hadi anaboa, kama ni heshima; heshima gani hiyo khaaaaaaaaa!
Je mwenye kisiwa hicho mnamjua? Wapo watu walizaliwa pale na kukulia pale hadi wakoloni walipowafukuza. Kwa nini serikali yetu isifikirie kuwatambua!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.