Search results

  1. mfarisayo

    Tundu Lissu kaishiwa kabisa hoja hadi anasikitisha

    Jana katika kampeni za Ukawa huko Shinyanga Tundu Lisu alisema tumchague Lowasa kwa kuwa ni mtu mvumilivu maana ametuhumiwa sana kuhusu ufisadi na kukejeliwa vya kutosha lakini hajawahi kujibu amekaa kimya tu. Hivi kiongozi mkubwa anapotuhumiwa kila kona ya nchi hasa kuhusu ufisadi na amekaa...
  2. mfarisayo

    Nahitaji vitabu na material ya kujifunzia elimu ya muziki

    Ninapenda sana kujifunza mambo ya Muziki hivyo naomba msaada wa kupata Vitabu na material ya muziki hasa ya kiswahili kwani ya kiingereza ninayo mengi
  3. mfarisayo

    Uefa champions night sept 17 2013

    Nani kuanza vizuri kwenye mechi za kwanza? TUESDAY, SEPTEMBER 17, 2013 Time Home Away Stage Tickets Venue 18:45 GMT Manchester United v Bayer Leverkusen Group A Entradas Old Trafford 18:45 GMT Real Sociedad v Shakhtar Donetsk Group A Entradas Anoeta 18:45 GMT FC Copenhagen v...
  4. mfarisayo

    Msaada: Nimepoteza access kwenye facebook homepage yangu

    Wakuu nimepata tatizo kwenye facebook acount yangu, toka jana nashindwa kulog in, kila nikiingiza user name na password inastuck hapohapo lakini baada ya kuhangaika kwa sasa naweza kulog in ila nina access kwenye timeline yangu tu siwezi kuaccess chochote kwenye homepage wala kuaccess groups...
  5. mfarisayo

    TTCL washusha bei ya Internet

    Kwa sasa TTCL wameshusha bei ya bundle za internet TARIFF AND PACKAGES: MPYA Package Type Package Volume Price Per package In - Bundle Out of Bundle Activation Code Daily (24 hours) 50MB...
  6. mfarisayo

    Uhamisho wa watumishi wa serikali za mitaa - desemba 2012

    Kwa wale waliokuwa wanahangaika kuhusu uhamisho kazi kwenu
  7. mfarisayo

    Chanjo saratani ya kizazi kuanza kutolewa nchini

    Chanjo hii itatolewa kwa Mabinti wa kuanzia umri wa miaka tisa hadi 12, ambao hawajaanza kufanya ngono ndio watakaopewa chanjo hiyo, inayotarajiwa kupunguza tatizo hilo kwa asilimia 75. Kwa habari zaidi soma hapa Chanjo saratani ya kizazi kuanza kutolewa nchini - Kitaifa - mwananchi.co.tz MY...
  8. mfarisayo

    Kinana na Nape Tumechoka Porojo Zenu Kwa Sasa Tunahitaji Utekelezaji

    Inasikitisha sana kuona Secretariat ya CCM kuendelea kutumia fedha za walala hoi kuzunguka nchi nzima kutangaza propaganda/mikakati na mipango ya chama isiyotekelezwa miaka nenda rudi. Kwa sasa watanzania hawahitaji kuambiwa nini kitafanywa, Watanzania wanahitaji kuona nini kimefanywa hivyo...
  9. mfarisayo

    Msiba wa halima mchuka hauna nafasi tbc

    inasikitisha sana kwa nini TBC hawajaona umuhimu wa kutangaza taarifa msiba wa halima mchuka badala yake wameanza na habari nyingine tu
  10. mfarisayo

    Duh!!! Is this from china or natural?

    Kuna utility kweli hapa????
  11. mfarisayo

    Duh!!! Is this from china or natural?

    Kuna utility kweli hapa? wajemeni!!!!
  12. mfarisayo

    Makamba Vs Tambwe Hiza nani mkali wa Pumba?

    Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijaribu kuwafuatilia viongozi hawa wa CCM, Yusuph Makamba (Katibu) na Tambwe Hiza wa Kitengo cha Umbea. Nilichogundua ni kwamba wote wanafanana sana kwa kiasi kikubwa kwani wote ni:- 1. Wote ni wanafiki wakubwa 2. Wote hawana point ni waropokaji tu a.k.a Hamnazo...
Back
Top Bottom