Search results

  1. K

    Dr. Slaa, anzisha chama kipya cha siasa (Advice to Dr. Slaa in public)

    Slaa apumzike tu, atafute mafuta ya karunguyeyee ajipake
  2. K

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Nyie Rwanda mmekaribishwa juzi tu kwenye jumuiya ya Africa mashariki mnajifanya mtatutenga .pyuuu embu tulia uko ujenge nchi yako. Tunaakili timamu hatufanyiwi maamuzi na MTU yeyote yule
  3. K

    Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Hata kama ni kudeki, tunadeki kwa raha zetu hatugombwi. Tumempenda wenyewe. Kwani mlivyomdekia Obama barabara apite mlinyweshwa viroba. Tulieni nyieeee tufanye yetu
  4. K

    Kwanini habari za Mgombea Urais wa CHADEMA zinaonekana kuwagusa makundi ya watu wengi?

    Wewe kikwajuni one, usilazimishe mawazo yako yawe ya watu wote. That's wat we do. Hutaki fwataaaaaaa... , kila mtu anaangalia kile kinachomvutia machoni pake.
  5. K

    Kwanini habari za Mgombea Urais wa CHADEMA zinaonekana kuwagusa makundi ya watu wengi?

    Mimi pia hufanya hivyo hasa nikiwa na mambo mengi. Namsubiria lowasa akimaliza basii
  6. K

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Juzi tu slaa amethibitisha kuwa magufuli alihonga nyumba ya serikali kwa girlfrnd wake
  7. K

    Hongera mama Anna-ACT

    Ccmout
  8. K

    PICHA: Mara Yamkabidhi Lowassa Hati ya Ushujaa Uliotukuka

    Luv u lowassa my prezidaa
  9. K

    Picha: Mama Regina Lowassa akiwa Same na Moshi Mjini

    First lady yupo vizurii ...
  10. K

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Fiesta jmn imeanza. Wamejiandaa kweli kwa arusha. Wasanii ni wengi Leo. Hatariiii
  11. K

    Kwanini tusiamimi kuwa CHADEMA inaweza kuuza nchi?

    Jingalo umemsikiliza kweli mgombea urais ccm . gesi wamewaazima wachina kwa miaka saba. Pata picha ndani ya miaka saba tutabak na kitu
  12. K

    Magufuli suala la elimu Lowassa kasema bure hatutaki mikopo

    Huyo magufuli anatudanganya tu elimu bure wakati gesi wamewapa wachina kwa miaka saba. Bora lowassa aingie madarakani avunje huo mkataba. Watoto wetu wasome bureee
  13. K

    Kwanini tusiamimi kuwa CHADEMA inaweza kuuza nchi?

    Hahah , kwani ukawa ndo imeuza gesi kwa wachina kwa miaka saba.!!
  14. K

    Naona hawa jamaa wana chama chao ndani ya UKAWA

    Sijaona cha anasa walichofanya. Mbona kawaida
  15. K

    Picha: Mama Lowassa leo akiwa Rudughai Tambalale

    Safi sana our First lady. Mabadiliko lazima
  16. K

    Rais Mtarajiwa akiiwakilisha nchi nje ya Tanzania

    Hahah... Hapa kizungu tu.
  17. K

    Umakini: CHADEMA Urais mawakala watanunuliwa?

    Upo sawa kabisa Zanzibarian. Ni vyema wajipange kwa hili
Back
Top Bottom