Search results

  1. makondekoujiji

    INAUZWA Nauza Bajaji yangu bado ipo vizuri mno

    Habari,lengo ni kununua gari. Nauza bajaji yangu aina ya TVS king. Haina tatizo lolote. Ipo Dar Chamazi. Kwa mawasiliano njoo PM Bei milioni sita.(6,000,000)
  2. makondekoujiji

    Kipi kati ya Biashara ya Uber au Bajaji?

    Wakuu habari, Nilileta uzi hapa kuomba ushauri wa nini nifanye pindi nitakaporeje tz.Nashukuru mlinishauri shauri mbalimbali. Ila katka shauri zote nimeona nichukue hizi mbili kati ya Bajaji au Uber halafu niendeshe mwenyewe So ni biashara ipi itanifaa ili niweze kumudu maisha ya hapo tz...
  3. makondekoujiji

    2018 mpaka 2022 Maisha ya kibishi nchini Afrika Kusini(Capetown) sasa narejea nyumbani. Ushauri tafadhali

    Habar za miaka ndugu zangu, Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu... Ni takriban miaka mitatu(3) toka nilipofanya maamuzi magumu kiupande wangu kwa kuamua kuiacha nchi yangu mama Tanzania na kuja huku South Africa kutafuta maisha. Hakiuwa kazi rahisi aisee ila kutokana na ugumu wa...
  4. makondekoujiji

    Nauza subwoofer, sofa na kitanda

    Habar, Kama kichwa cha habari hapo juu. Sofa la watu wawili 70,000. Kitanda 5×6 120,000. Subwoofer seapiano old mord 100,000. Nipo Tabat Dar. Note:picha yakitanda nitaiweka baadae nikurud home.0629981738
  5. makondekoujiji

    Nauza kabati la chipsi,meza yake,jiko la mkaa na vifaa vingine karibu.

    Nipo tabata kimanga, Bei vyote kwa jumla nipe 150'000 tu.0629981738 sms zitajibiwa Karibu.
  6. makondekoujiji

    Nauza Mbao za mti huu.

    Habari, Nina mbao 12(4 by 2) za mti wa mtiki ambazo nilipewa na bosi wangu ambae huwa ana export mbao hizi. Zina urefu wa futi 8 . Bei ubao mmoja 25000. Karibuni.
  7. makondekoujiji

    Mafunzo ya Don Bosco

    Habari wakuu , Juzi kwenye tamasha la xxl Dodoma nilisikia serikali inampango wa kusomesha watz 820 ktk fani mbalimbali. Nilipoulizia mchakato ukoje nikaambiwa tayari tangazo limesha toka na mwisho wakutuma maombi ilikuwa ni 30 march.Pia waliochaguliwa watapigiwa cm Leo tarehe 10.April. Sasa...
  8. makondekoujiji

    Msaada: Muwasho na maumivu sehemu za siri

    Habari wakuu, Naomba msaada waharaka, ninampenzi wangu ambae kwamara ya kwanza nimesex nae ilikuwa ni juzi ijumaa,jumamosi akaanza kuhisi muwasho sehemu za siri haswa anapokwenda haja ndogo. Jana na Leo anadai anahisi maumivu yaani kama kuna michubuko. Naomba msaada atumie Dawa gani ili arudi...
Back
Top Bottom