Search results

  1. mawaridi

    Kuna tatizo kwenye mtandao wa Instagram?

    Wakuu Naona kama kuna tatizo kwenye mtandao wa Instagram Je, na nyie mnakumbana na tatizo hilo?
  2. mawaridi

    Hashpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa makosa ya utakatishaji fedha

    Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela huko Marekani Hashpuppi alikuwa anatuhumiwa kufanya utapeli unaofikia jumla ya dola millioni 24 za Marekani kwa njia ya mtandao Hashpuppi anatajwa kuwa mmoja wa matapeli wakubwa zaidi wa mtandaoni...
  3. mawaridi

    Kocha wa Yanga, Prof Nabi asaini mkataba mpya Yanga

    Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) usiku huu imetangaza kumsainisha mkataba mpya Kocha wao Nasredeen Nabi Prof Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili utakaomuweka Yanga mpaka mwaka 2024 Nabi kusaini mkataba huo mpya anamaliza uvumi uliokuwa unaenea kuwa...
  4. mawaridi

    TANZIA Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump afariki dunia nchini Marekani

    Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump amefariki dunia nyumbani kwake huko New York City Ivana alikuwa ni mke wa kwanza wa Donald Trump, amefariki akiwa na umri wa miaka 73 Marehemu alizaa watoto watatu na Donald Trump, watoto hao ni Donald Jr, Ivanka na Eric Taarifa za kifo chake...
  5. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Hiyo sababu kubwa unayoizungumzia, naomba unionyeshe link / chanzo cha habari kilichosema kuwa Boris kajiuzulu kwa sababu hiyo unayoisema Hata TV za UK zilizosema sababu ni hiyo, nitajie moja wapo Au Asante
  6. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Unajua kuwa Boris alikuwa anapigiwa ya kura ya kutokuwa na imani naye iliyokuwa inawasilishwa na wabunge wa chama chake? unajua sababu ilikuwa ni nini? Jana tuu alipogoma kujiuzulu, kuna barua iliwasilishwa wampigie kura tena ambayo hata kwa uchawi asingetoboa
  7. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Watu wanataka wasikie kuwa katolewa kwa sababu ya Ukraine, sijui habari hizo wanazitoa wapi
  8. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Mkuu hayo maandamano yalikuwa tarehe ngapi? Hao waandamanaji walisema wanataka Boris ajiuzulu? halafu waliendelea vipi baada ya siku hiyo?
  9. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Chifu tunazungumzia sababu zilizofanya wananchi, wabunge na mawaziri wa UK kumbadilikia Boris, haihusiani na maandamano wala mkutano wa G7
  10. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Machache: Kumteua mtu aliyekuwa na scandal ya mapenzi, alikataa kuwa hakuwa anajua, alipobanwa akakubali alikuwa anajua jambo hilo Wakati nchi nzima ipo kwenye lockdown na restrictions kibao {huruhusiwi hata kumtembelea mgonjwa hospital} yeye na washikaji zake wakawa wanakutana wanafanya party...
  11. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    DeepPond Okay niambie London ipi juzi ilikuwa na maandamano yaliyosababisha Boris kujiuzulu
  12. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Unaweza hata kutumia Google ili ujue sababu za Boris kujiuzulu
  13. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Wewe mwenye uwezo wa kuona mbali tuambie sababu
  14. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Front Runner wa kuchukua nafasi hiyo ni Waziri wa Ulinzi
  15. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Hajaondolewa kwa sababu ya vita, kaondolewa kwa sababu ya makosa yake binafsi na ya kiuongozi
  16. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea. Boris Johnson amesema kuwa inamuuma kupoteza kazi bora kabisa katika Dunia Boris Johnson...
  17. mawaridi

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

    Jangwani wanasema heri ukutane na Mayele kuliko ukutane na Kambole
  18. mawaridi

    Mtikisiko wa Usajili: Yanga yasema Jiji kutikisika leo

    Mtikisiko sio huo subiri kidogo, utaona jinsi nchi itakavyozizima
  19. mawaridi

    Mtikisiko wa Usajili: Yanga yasema Jiji kutikisika leo

    Kwani Wananchi Leo wamtangaza nani? Naona kama kweli watu wanapatwa na kiwewe
Back
Top Bottom