Search results

  1. Polisi

    Msaada kuhusu Toyota Camry

    Wakuu, heri ya mwaka mpya Nipo ktk kutafuta gari ndogo ya kutembelea. luxury but fuel efficient na iliyo ngumu. Baada ya kusearch kwa muda na kupitia review ya gari mbalimbali kama mark II grande, brevis, progress, na corolla new model, nimekuja kuvutiwa na hii TOYOTA CAMRY kwa soecification...
  2. Polisi

    Msaada: D4 VVTIA Toyota engine

    Wakuu nimekuwa nikisoma kuwa engine za D4 si nzuri katika mazingira yetu. Sasa nimeona kuna gari zina D4 vtti. Naomba kujua kama hizi engine ni tofauti na D4 Asanteni
  3. Polisi

    Msaada: salon za kuchua kwa mashine Dar

    Wakuu wapi nitapata huduma hii kwa kuchua mwili kwa mashine? Nahitaji kuchua mgongo na miguu tu Asanteni
  4. Polisi

    Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?

    Naomba msaada wenu wakuu. Nimezishotilist hizi gari tatu ili ninunue mojawapo. Vigezo Uimara kuhimili safari za vijijini kuwaona wazee Confortability Upatikanaji wa spea Uchunguzi nilioufanya unaonesha kuwa kodi ya prado na grand escudo ni sawa ila ya kluger ipo chini kidogo. CIF ya grand...
  5. Polisi

    Refund through MasterCard credit card

    Hello Nimerudishiwa chenji na amazon kupitia MasterCard credit card yangu. Je zitaingia kwenye account yangu? Au niwape account # yangu?
  6. Polisi

    Banki. Available balance vs actual balance

    Nimeweka leo hela kwenye account ya CRDB kwa lengo la kuitransfer kwa mtu mwingine. Cha ajabu hiyo hela inaonekana kwenye available balance, actual balance ni 0. As a result kila nilitaka kufanya transaction inashindikana. Nimewapigia customer care wako busy, 3 hours now. Tatizo laweza kuwa nini...
  7. Polisi

    Wazee wenzangu: Huu wimbo umeimbwa na nani?

    Sina uhakika lakini haya ni baadhi ya maneno Wazazi, wazazi nakonda na................... Mnanilazimisha kuolewa na mimi bado ni mdogo... miaka kumi na.............. Chorus Samahani, samahani samahani baba na mama....... ................... Karibuni
  8. Polisi

    Hivi hawa TRA niwape evidence gani ili waridhike?

    Nimetumiwa parcel 3, kati ya hizo moja bei ya manunuzi iliandikwa $15 badala ya $150. Zile mbili bei ilikuwa sahihi na nimekadiriwa kodi. Eti hiyo moja wanasema tumecheat kwa hiyo nilipe ushuru $50 badala ya $10. Nimewapa evidence zote za manunuzi kuonesha bei ya parcel ni $150 na hivyo...
  9. Polisi

    Msaada jinsi ya kuwablock SBT Japan

    Nifanyeje ili niweze kuwablock kabisa hawa jamaa maana wamekuwa kero, kero, kero. Kosa nililofanya ni kuingia kwenye website yako na kuwapa email yangu tena ya kazini. Sasa imekuwa sheeda, nikimblock huyu napata email to mwingine, yaani! Naombeni nisipate email za hawa jamaa
  10. Polisi

    Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)

    Wakuu, niwe brief ili nanyi muwe brief na hatimaye nielewe, Ni njia gani salama ambayo supplier anitumie vitu vyangu nikiwa mkoa tofauti na Dar Es Salaam? Kuna njia nyingi suppliers wanazipendekeza, Kwa mfano, 1. DHL - Hii ni salama na inapatikana mikoani ila ni expensive sana. 2. FEDEX -...
  11. Polisi

    Dah! Hiki kikosi ilikuwa ni shiiida enzi hizo

    Wanaitwa TP FC Lindanda wana Kawekamo Pamba chini ya kocha Pius Nyamko (Marehemu) wakichagizwa na Mtangazaji mahili kabisa wa sport kuwahi kutokea kanda ya ziwa Dominic Chilambo (Marehemu) 1. Madata Lubigisa 2. David Mwakalebela 3. Deo Mkuki 4. James Washokera 5. George Masatu Magere (Captain)...
  12. Polisi

    Nakumbuka kwa mbali saana, sina uhakika

    1. Kuna mchezaji Wa Yanga aliwahi kupiga kona mpira ukaenda wavuni na kuwa goli 2. Kuna mchezaji mmoja nadhani Wa Milambo alikuwa anaitwa 'scud'. Mwaka huo kama sikosei marekani walikuwa wanaishambulia Somalia kwa kutumia makombora ya scud 3. Kuna mchezaji Wa Yanga aliwahi...
  13. Polisi

    Wiki ya tatu sijapata confirmation digits ya Paypal, Nifanyeje?

    Process zote nimefanya. Nikaambiwa wamekata $1.99 nikicheki kwenye statement nitaona kuna makato toka paypal na digits 4. Leo wiki ya tatu sijaziona. Nimeshaomba statement bank mara tatu wapi, nikajaribu online statement wapi, ila nimeona makato ya shs 3,333 maelezo ni 'm.card purchase' ila...
  14. Polisi

    Msaada jinsi ya kutumia HTC iliyo lokiwa

    Ama kweli ndama wa maskini hazai, akizaa huzaa dume. Nilikuwa na shauku Sana anko wangu aliponijulisha kuwa ataniletea simu kali. Hamadi, siku wa siku nikaletewa HTC one m7. Kuweka laini naambiwa no service. Kucheck status naambiwa SIM card locked. Nusura nitoe machozi, shauku yote kwisha...
  15. Polisi

    Msaada: Lumia 900

    Ni used na unlocked toka usa. Inasumbua sana kwenye internet. Mpaka ni restart ndo inakamata na ikikaa muda inagoma hadi ni restart tena. Tatizo ni nini? Natumia mtandao wa airtel
  16. Polisi

    Msaada:Je nikanunue simu Kampala,Nairobi au Dar es Salaam?

    Wakuu, nategemea kuzungukia majiji ya afrika mashariki wiki ijayo yaani Kampala,Nairobi Na dar Es Salaam. 1.Nataka ninunue simu Kali ya kama $300. Je, nikanunue katika mji gani? Je, ni kweli Kenya na Uganda hakuna simu fake? 2. Nikiwa Nairobi ni hotel gani ya bei nafuu na salama ambayo naweza...
  17. Polisi

    Camera nzuri kwa ajili ya utafiti

    Wakuu nahitaji camera itakayonisaidia katika mambo ya utafiti wa wadudu. Hivyo naomba msaada wa camera ya kununua kwa vigezo vifuatavyo 1. Uwezo wa kuona vitu vidogo sana 2. Uwezo wa kuona vitu vya mbali sana. Angalau mita 200 kwa usahihi 3. Clearity ya image 4. Aina ya camera kati ya...
  18. Polisi

    Msaada: Samsung galaxy s, note na tab

    Wakuu, habari ya mchana Nimepitia thread mbalimbali humu katika kipindi hiki ambacho nataka kununua simu nzuri kwa ajili ya kunipa tafu katika mambo ya ofisi hasa ninapokuwa mbali na ofisi na wakati ambapo sihitaji kusafiri na laptop. Nimegundua kwamba simu nzuri ni za samsung ingawa mimi...
  19. Polisi

    Tally vs quickbook

    Naomba mwenye ufahamu mzuri katika hizi hizi accounting packages anishauri ipi ninunue. Kwa ajili ya matumizi ya Ngo ambayo inapata funds toka nje. Urahisi kutumia/kujifunza, wingi wa modules, bei rahisi, upatikanaji. Hivyo ni baadhi ya vigezo vya kuzingatia karibuni
  20. Polisi

    Je shahidi anaweza kwenda mahakamani na kesi ikaendelea bila mimi mshtaki kuwepo?

    Ni kesi ya madai Mimi ndo mshtaki wiki ijayo nilitakiwa kupeleka shahidi ila nimepata udhuru ila shahidi yupo tayari. Je anaweza kwenda peke yake? Msaada tafadhari
Back
Top Bottom