Search results

  1. Polisi

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Wazazi nakonda na mawazo..........mnanilazimisha kuolewaaaa na mimi bado ni mdogo miaka.......... Kibwagizo: Samahani samahani, samahani baba na mama....... Jina la wimbo silijui wala mtunzi. Wadau nisaidieni ili mtaalam auweke hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Polisi

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Nauza pocophone f1 yangu. Nimetumia miezi 6 tu. Niliagiza China. Nataka nibadili ninunue redmi note. Bei 600,000 nakupa na mi band 3 yake, cover aina mbili (soft ba hard) na glass protector 3. Simu hii ni kiboko kwenye internet. Njoo inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Polisi

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Nikifululiza kunywa bia lazima nipate malaria, tatizo nini Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Polisi

    Nahitaji used phone 250,000tsh

    Huawei y7 prime. Niongezee 50,000 tu uwe 300, 000
  5. Polisi

    Video: Rais aliyechaguliwa na Wananchi hahitaji Ulinzi mkali wa kutisha

    Mkuu angalia vizuri hiyo picha. Kuna kundi la watu kama 10 hivi kwenye huo msafara, unadhani ni kina Hao. Angalia kwenye paa za nyumba, unaona Nini. Angali waliposimama kupeana jezi, unaona Nini pembeni. Lile kundi la waendesha baiskeli liko wapi.
  6. Polisi

    Jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu

    Kuna apps ulidownload 'contains ads'. Uninstall hizo apps na mchezo utakuwa umeisha
  7. Polisi

    Mifuko ya Hifadhi za jamii ipo sahihi kuondoa fao la kujitoa

    Nimequote hii sentensi yote lakini concern yangu ni maneno haya: `BAADA YA KUWA NJE YA AJIRA` Kwa mfano kijana anaajiriwa akiwa Na miaka 25. Anafanya Kazi miaka mitano mkataba wake unaisha akiwa na miaka 30. Kutokana na tatizo la ajira anatafuta ajira anakosa hadi miaka 55/60 inafika anapewa...
  8. Polisi

    Je unaijua dose sahihi ya dawa mseto (AL)?

    Kuna dk kaniambia leo, nimeshangaa. Ndo nimeingia google kupata ukweli
  9. Polisi

    Jenista Mhagama na gharama za kuhamia Dodoma

    Ungeivunja kabisa
  10. Polisi

    Msaada wa kuweka akaunti mbili za WhatsApp kwenye simu moja

    Mimi natumia disa app. Download toka play store
  11. Polisi

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Ndiyo, ni juzi tu tarehe 2/7 nikapewa artequine. Leo namalizia dozi. DALILI: Mwili kuchoka, miguu (kwenye nyayo) na kifua kuwaka moto. Hakuna kichwa kuuma, wala baridi wala joto kupanda. Magonjwa mengine kama typhoid huwa natibiwa kama kawaida na kupona hata miaka. UTI, naitibu kwa kunywa maji...
  12. Polisi

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Malaria, malaria, malaria. Nakumbuka tangu nikiwa secondary hadi sasa nina miaka 43 nikijitahidi sana mwezi. Kila aina ya dozi nimetumia kasoro quinine ya vidonge. Kila aina ya precaution nimechukua. Maji nakunywa mengi, chakula nakula mno. Bia ilibidi niache Nipe tiba dk kuna wakati huwa...
  13. Polisi

    Roho ya paka Italy ilistahili kushinda 5 - 0

    Timu zenye professionals wanaochezea EPL, hamna kitu kabisa. Anza na England yenyewe, njoo Beigium, Hispania nayo imeanza kuharibika, Brazil ndo hovyo kabisa. France kidogo ndo wana nafuu labda kwa kuwa ni wenyeji
  14. Polisi

    Nna laki na themanini naitaji used window phone

    Lumia 1020 in 40 mpx. Lumia 925 na 930 zina 20 mpx.
  15. Polisi

    Michepuko yang'ang'aniana

    Nifah tafadhali
  16. Polisi

    Michepuko yang'ang'aniana

    Hahaha. Kazi na dawa
  17. Polisi

    Nna laki na themanini naitaji used window phone

    Hakuna negotiation mkuu. Hiyo bei nimeropoka tu. Wahi kabla sijabadili mawazo. Lumia 925 na 930 ndo best lumia kwa sasa zikiwa na kamera bora kabisa ya 20 Google lumia 925 utaona
  18. Polisi

    Nna laki na themanini naitaji used window phone

    Ongeza 20,000 nikuachie Lumia 925
Back
Top Bottom