Search results

  1. V

    Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Ndugu zangu kuna maisha baada ya maisha haya, na kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Asilimia kubwa ya Watanzania ni wacha Mungu, ndio maana naomba sana tujibu swali hili kutoka kwenye vina vya mioyo yetu. CCM ina watu wanaomcha Mungu na wengine ni Maaskofu Wachungaji...
  2. V

    Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

    Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea CCM inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya...
  3. V

    Uchaguzi 2020 Wajumbe wamezidi kuyeyuka na propaganda za maji taka

    Ndugu zangu, hakika chama chetu kikongwe kimejaa propaganda za maji taka, makada walijitokeza na propaganda kuwa Lissu hawezi kurudi Tanzania,Lissu aliwathibitishia watanzania kuwa angerudi tu, wakabadili gia kuwa akirudi atakamatwa airport, Jamaa akarudi tena kwa kishindo wakashindwa kumkamata...
  4. V

    Uchaguzi 2020 Kwa kauli hizi za Dkt. Magufuli, Je atakuwa tayari kuachia madaraka kama atashindwa Uchaguzi?

    Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo. Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na...
  5. V

    Wajinga wanamwita kibaraka wa mabeberu. Wenye Wazalendo na wapenda Haki wanamwita mtetezi na kiongozi shupavu

    Ni vigumu kuelewa ukweli pale akili zinapokuwa zimefungwa kwenye nguvu ya itikadi. Moja ya kazi kubwa ya itakadi ni kupofusha ufahamu wa mwanadamu. Yesu alipokuja kuwakomboa wanadamu kutoka kwenye utumwa wa Shetani, mafarisayo, Masadukayo na miongozi wa dini walimtungia hila nyingi na kumpa...
  6. V

    Je, wengine wakiweka sauti za watu maarufu mtandaoni hawatadhuriwa?

    Ningependa kuanza kwa kusema haki uinua taifa, na dhambi ni aibu kwa watu wote. Kudukua sauti za watu imeonekana ni jamba la kawaida kwa sababu ulilenga kuwamaliza watu fulani kisiasa na kuhalalisha ushindi kwa kundi fulani. Sasa swali langu ni je hivi imehalalishwa kudukua sauti za watu na...
  7. V

    CCM msipokuwa makini mtajimaliza wenyewe

    Nakumbuka maneno ya baba yangu, aliyopenda kutushauri kwa kutumia mithali hii...ya ndege aliyekuwa akiimba wimbo.....siharibiwi najiharibu mwenyewe. Ndege huyu alikuwa anakaa kwenye tawi la mti na anaanza kuimba wimbo huo huku akijinyonyoa manyoa yake na alipomaliza wimbo alijikuta hana manyoa...
  8. V

    Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa maana kila mtu atavuna alichopanda

    Katika maandiko matakatifu kitabu cha Wagalatia 6:7 7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa maana kila mtu ata vuna kile alichopanda. Maneno hayo ni mepesi kuyasoma, ila ni magumu kuyaelewa na kuyaishi. Biblia ni neno la Mungu, na maneno ya Mungu ni amina na kweli lazima yatimie tu...
  9. V

    Kutetea kibovu hakusaidii kiwe kizuri

    Kwanza ninaamini watu wengi wanaotetea serikali ya awamu ya tano wanajichumia dhambi kwa Mwenyezi Mungu, maana mambo mengi yametendwa kwa misingi ya uovu kama kuwanyima watu wengine haki zao. Kuwalazimisha kukubaliana na kisicho halali kwa kutumia nguvu za dola. Uchaguzi wote wa marudio hakuna...
  10. V

    CAG lazima aondolewe, mbinu imeshasukwa

    Ndugu zangu hasa kaka zangu ambao mmekuwa mkishiriki mijadala mbalimbali hapa JF, napenda kuwahakikishia kwa mara nyingine tena kuwa CAG ameshasukiwa mbinu ya kumwondoa madarakani. Mara nyingi nimekuwa nikitoa taarifa au kuandika baadhi ya post na hakika mambo yamekuwa yakitokea kama nilivyo...
  11. V

    Wassira: Sababu kubwa ya kutoweka kwa amani ni ukosefu wa haki

    Kwenye kongamano la Amani ya Tanzania, mzee Wasira amejibu swali la sababu kubwa ya kutoweka kwa amani Tanzania. Mzee Wasira amesema kwamba sababu kubwa ya kutoweka kwa amani nchini ni Kukosekana kwa Haki nchini. Amesisitiza kuwa hakuna uwezekano wa kuwepo kwa amani kama hakuna Haki nchini...
  12. V

    CCM wanaichukia CHADEMA kuliko wanavyo mchukia Shetani

    Wana JF itoshe kuandika mistari michache iliyobeba ukweli wa mambo yalivyo huko nchini kwetu. Ukifatilia kauli na matendo ya viongozi waandamizi wa serikali ya ccm na wale wa chama, utagundua kuwa ccm wanaichukia Chadema kuliko wanavyo mchukia Shetani. Mfano mdogo ni tendo baya alilofanyiwa...
  13. V

    Je, mali za CUF Zanzibar zitahamishiwa ACT Wazalendo?

    Kwanza nionyeshe masikitiko yangu kwa baba yangu Ibrahim H.Lipumba jinsi anavyotumiwa kudhohofisha upinzani, ila nimshauri mapema kuwa asipokuwa makini hao wanaomtumia watamtupa kama toilet paper. Najua nguvu kubwa ya Cuf ilikuwa Zanzibar, na hakuna hata mmoja anayeweza kupinga hilo. Naamini...
  14. V

    Ni Ipi tofauti kati ya Mabeberu na Wahisanii?

    Nimekuwa nikitafakari sana kiasi cha kushindwa kuwatofautisha hao watu wanaoitwa Mabeberu na Wahisani. Ila kwa tafakari yangu ndogo nimehisi kuwa Mabeberu na Wahisani ni watu wale wale ila wanapata majina hayo kutokana na nini wanachokifanya. Watu hao wakitoa misaada na kuisifia serikali...
  15. V

    Huu ndio muundo mpya wa upinzani mkubwa Tanzania, CUF kufutika Zanzibar

    Kuna mstari katika maandiko matakatifu usemao,,all things work together for good. mambo yote utenda kazi pamoja kwa uzuri. CCM kufadhili Cuf Lipuamba wamekosea sana, maana wameunganisha wapinzani na kuwa chama kikubwa mno chenye uwezo wa kuchukuwa dola. Kwanza niwahakikishie Cuf Lipumba ccm B...
  16. V

    Je, ni kweli upinzani hauna nguvu nchini au ni kukosekana kwa uwanja sawa wa kisiasa?

    Ndugu zangu Watanzania naoba tutumie jukukwaa hili la Jamii forum kujadili mambo kwa undani na uhalisia, kuliko kujifunga kwenye kelele na ushabiki tu wa siasa zisizokuwa na sayansi ndani yake. Tafadhali fuatana nami katika kujibu haya maswali ili yaweze kutuongoza kwenye mjadala wetu. Tumekuwa...
  17. V

    Njama mbaya dhidi ya watu wasio na hatia ugeuka na kuwa kilio kwa wanaozipanga na neema kwa waliokusudiwa mabaya

    Ndugu zangu wanaopenda kufatilia mambo mbalimbali yanayoendelea duniani na hasa wale wanaofatilia maandiko matakatifu ya vitabu vitakatifu watakubaliana na mimi kuwa njama mbaya dhidi ya watu wasio na hatia ugeuka kuwa kilio kwa wanaozipanga na neema kwa waliokusudiwa mabaya. Nitatoa mifano...
  18. V

    Je, huu ndio mtindo mpya wa utendaji kazi wa awamu ya kutumia vyombo vya habari hata kwa vitu visivyo na ulazima?

    Nimependa tu kueleweshwa kwa kina maana nimekuwa nikijiuliza sipati majibu. Imekuwa ni kawaida kila kiongozi katika awamu hii ya tano kutumia vyombo vya habari kila kuitwapo leo. Matamko yote ya kutumbua watu na matukio mbalimbali viongozi hawa wamejisogeza kwenye kamera za waandishi wa habari...
  19. V

    Tetesi: Kibarua cha CAG kuota nyasi

    Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote. Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao...
  20. V

    Nitajitahidi kueleza kwa upana tofauti ya misukumo ya hisia(emotional desire) na uzalendo

    Nitajitahidi kueleza kwa upana tofauti ya misukumo ya hisia(emotional desire) na uzalendo. Mtu yeyote anayesukumwa na nguvu za hisia hufanya makosa mengi, tena makubwa, kutokana na misukumo hiyo. Kwenye saikolojia tunajifunza kuwa, nguvu ya hisia umsababishia mtu afanye maamuzi haraka bila...
Back
Top Bottom