Search results

  1. M

    Nini kifanyike watanzania tupate katiba bora

    Shida ya kwetu si kugomea uchaguz wala kuunda network ya wanamabadikiko. Ukitaka katiba mpya yenye tija, anza kwanza na haya. 1. Vua kwanza u CCM, CDM, CUF nk. Au achana na uchama. Weka u taifa mbele ndo utafikiria kuunda kizuri. Ukishutumu uccm unasahau u chadema upoje. Maana nako hakuna...
  2. M

    NEC kutokujiridhisha kwa pingamizi la Lowassa kuhusu matokeo

    Katiba inaweza jadiliwa na kutengenezwa lakin si ya kuwanufaisha wa tz bali wana siasa. Mfn katiba likiyokuwa inatengenezwa upinzan waliona inawanufaisha CCM. Lakin hata upinzan nao wanatengeneza za kuwanufaisha wao. Angalia ya CDM inanufaisha viongozi kwa uongoz usion na kikomo. Ambapo huwapi...
  3. M

    NEC kutokujiridhisha kwa pingamizi la Lowassa kuhusu matokeo

    Mtoa mada naona baado upo zama zileee. Mtu akifa basi mtanung'uka mwaka mzima huku mkiomboleza. Mnasahau kuwa hapa Dunian tunapita tu. Nasema hivya cos watu washaanza kusahau kama kulikuwa na uchaguzi. Ukishashindwa basi, subir mwaka mwingine. Ajipange upya kwa 2025. Kwa sasa watu wapo buzzy na...
  4. M

    CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa

    Acha kuwaza siasa fanya kazi. Viongozi wenyewe wa vyama hawayawazi hayo kwa sasa. Mbowe na akina kinana wanafikilia jinsi ya kupata pesa za ubunge ww unawaza jinsi gani wamechukua hawajachukua kanda ya ziwa. Kafanye kazi. Waza kazi ni mwaka wa hapa kazi tu.
  5. M

    Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Mwanadish umejarib kutoa maoni lakin nikurudishe nyuma. Kiuongozi huwezi fika na kubadili kila idara kwa ghafla. Hata kama kingeingia chama kingine ingechukua muda sana kubadili watendaji. Maana sio wote wabovu. Na kuna uwezekano wa ubovu wao ulisababishwa na mtendaji mkuu aliekuwepo. Watz pia...
  6. M

    Lowassa/Zitto Kabwe wapeleka kilio CCM

    Haya ndiyo maneno ya waswahili. Chenga tumewala japoj mmetufunga. Ni rahisi zaidi kujifariji kwa stail hiyo. Wala meya, luzuku etc. Lakin nani ana big cake? Ccm ina vyanzo vingapi vya hela? Pia angalia ni muunganiko wa vyama vingapi na mmepata nn. Angalau mngefika nusu basi. Lakin bado ni robo...
  7. M

    Rais Magufuli kateua Mwanasheria mkuu

    Kwa akili ya Mtz, huwazia mwenzaje mabaya tu. Na hawezi kumthamin mtu kwa uzuri hata kidogo. Huyo mwanasheria angekuwa ni mbabe napo mngesema. Anapelekeshwa na amina Lissu napo mnasema. Mbona Lissu hajapata nafasi kama hiyo. So huyo ana ubora wake. Mwache afanye kazi. Madhaifu aliyonayo si ya...
  8. M

    Mbowe: UKAWA na wapenda Mabadiliko, Hatutahudhuria Sherehe za Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli

    Wakati anaingia kwenye uchaguz hakujua kua hakuna mahakama ya kusikiliza kesi ya ataetangazwa kuwa rais? Alijua fika, na atakuwepo kwa nyumba au ofisin mwake akiangalia akiapishwa. Issue nyingine sio lazima uwepo physical lakin saikolojikal umeshiriki. Kitendo cha kujua kuwa kesho anaapushwa...
  9. M

    Matokeo ya majimboni ya wabunge yanaonyesha CCM wana idadi ndogo ya wabunge wa viti maalum

    Mleta mada bado anajichanganya. Nec haijui kitu kinaitwa ukawa. Fanya uchambuzi wako kwa chama kimoja kimoja ndo utajua jibu. Hakuna chama cha ukawa.
  10. M

    Ushauri wangu kwa Mzee Samuel Sitta

    Mleta mada umeiandika vizuri kweli. Laki mbona miezi michache iliyopita haukuandika hivi kuhisu mgombe urais aliekuwa mzee kuliko wote na ndo alieleta sera za mabadiliko? Au kuna vyeo vitakavyo vijana na vipo vya wazee?😁
  11. M

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Mambo ya kibongo Bwana. Unawezaje kuipima nchi iliyo na furaha? Watz ni waelewa sana wameshajua kuwa wapo ktk kipindi cha hapa kazi tu. Ndo maana wapo bizzzzy na kazi tu. Wewe endelea kuzunguka uliangalia waliokuwa wakidhan watakaa nyumbani wakisubiri utajirisho. Amka, zinduka fanya kazi. Ndio...
  12. M

    Lubuva: Kinachosomwa na tume ndicho kilichopo majimboni

    Kwani CHIIIZI kaenda wapi? Si anajua mbinu zote lakin naona meli inazama tu.
  13. M

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Ndoto zangu zina ukweli fulan. Kama CDM itashinda, haitaitambua kitu Ukawa. Kwa jinsi nionavyo mpaka sasa CDm kama ipo peke yake tu. Vyama vingine vimewekwa kuongeza kura. Na historia hujirudia, kipindi kile bungen Mbowe aliwakataa wenzake wa upinzani. Vipi leo kwa kitu ambacho hakipo ki sheria...
  14. M

    Rwanda ni salama na Raia wanalindwa na kuna amani kuliko Tanzania

    Pia ikajifunze kwa nchi kama USA. Kila mtaa kuna askari wa doria na helikopta zapita juu lakin uhalifu upo kila siku na wahalifu hawashikwi. Vipi kwa nchi kama yetu. Tembea zaidi ujue zaidi badala ya kulalama.
  15. M

    Wazoefu wa Dar naomba location ya kata ya Ndugumbi

    Nenda magomen Mwembechai. Ulizia kanisa la wasabato. Ukuta wa kanisa unatazamana na ofisi za Kata.
  16. M

    Hivi watu watakao ipigia kura CCM ni akina nani? Tuache ushabiki pembeni tuzungumze ukweli

    Bora CCM na magonjwa yao tushayazoea kuliko Gonjwa jipya litakaloletwa na ukawa. Upinzani bado haujajipanga. Ccm mbele kwa mbele!
  17. M

    Wanaotumia Facebook ya bure Tigo

    Tutahamia Halotel
  18. M

    CCM waja na timu bajaji: Kampeni ya mtu kwa mtu ushindi 90% Tsunami

    Jaman zote hizi ni mbinu za kampen tu. CDM walikuwa na operation Sangara etc napo hela ilitumika. Na huu ni muda wa kampen chopa ngap zipo angani. Kwa nn wasitumie gar za kawaida sana kama wanajali. Kukod chopa si mchezo. Basi waachen na CCM watumie njia ya miguu, bajaji, nyumba kwa nyumba shuka...
  19. M

    Tamko: Madaktari, Wauguzi, Famasia waunga mkono Vuguvugu la Mabadiliko

    Unajua dhana yavkupiga kura ni ya mtu binafsi. Tuanaweza danganyana lakin siku ya kura kila mtu anampigia ampendaye. So hata ukisema wameungana ni kama unanidanganya maenyewe. Kwan kura zitapigwa kwa pamoja. Kila mtu ataenda kwa muda wake na kumchagua ampendaye. So usije lia siku ya siku kuwa...
  20. M

    Nimerudi kutoka South Africa, Haya hapa nimejifunza

    Rafiki napoongea ni wavivu ninajua ninasema nn. Tupo wavivu sana ktk kutenda kazi na ndi maana hata hali ya ujasiliamal kwetu unakuwa mgumu. Pia hatujajifunza elimu ya maendeleo ya kesho. Mfano. Wa boda boda na dala dal. Wanapata pesa lakin hawafanyi maendeleo chanzaidi ni starehe wakijua na...
Back
Top Bottom