Search results

  1. B

    Matapeli wanaotumia jina la yesu

    Kuna matapeli ambao wanajifanya wahubiri wa Neno la Mungu wapo jijini Dar es Salaam. Jamaa hao wanne wanaoishi Mbagala Rangi 3, wanaongozwa na Anton Abel Magoya ambaye anafahamika kuwa ni muhubiri katika makanisa kadhaa ya Dsm, pia alisoma chuo cha IFM. Jamaa wakikutana na wewe wanajifanya...
  2. B

    Nisaidieni kuhusu hili la MWEZI

    Mwana JF, hivi huu mwezi tunaouona angani unauhusiano gani na miezi 12 ya kalenda?
  3. B

    Nyoka wanaopaa kufanyiwa uchunguzi Marekani

    Nyoka wanaoweza kupaa angani wanafanyiwa utafiti kujua wanapaa kwa nguvu ipi. Source: CNN 24/Nov/2010
  4. B

    Dar kupata mkuu wa mkoa mpya?

    Kuteuliwa kwa Mh. William Lukuvi kuwa waziri kunaiweka nafasi ya ukuu wa mkoa wazi. Sijui tutegemee nini kwa ajaye.
  5. B

    Msaada kwa mangi

    Habari wanajamvi, Miaka 6 nimefuatilia hati ya kiwanja changu wizarani bila mafanikio,nimetumia pesa nyingi,kipo Iringa
  6. B

    Hodi hodi jamvini!

    Habari wana JF! naomba nafasi jamvini na mimi niweze kutoa mchango wangu wa nguvu ya hoja. Nipokeeni.
Back
Top Bottom