Search results

  1. iddy eba

    Tunauza na kutengeneza masofa ya aina zote

    Wajivuni show room furniture ni mafundi hodari wa kutengeneza masofa ya aina zote kwa bei rahisi. njoo ujipatie sofa lako sasa. Tupo kawe ukwamani mkabala na masjid ukwamani. au wasiliana nasi kupitia 0620506206
  2. iddy eba

    Riwaya: Konstebo Nguzu

    RIWAYA: KONSTEBO NGUZU NA: George Iron Mosenya "Nimekosa magoli zaidi ya 9000 katika maisha yangu, nimepoteza mechi zaidi ya 300 katika maisha yangu, niliaminiwa mara 26 kuwa nitaipatia timu yangu ushindi lakini nikashindwa. Nilishindwa tena na tena na tena katika maisha yangu NDIO MAANA...
  3. iddy eba

    Tatizo la kutosikia vizuri na body balance

    Wakuu mimi ni kijana(19 years now) nina tatizo la kutosikia vizuri na body balance(nimesoma science kidogo naelewa masikio ndio yanayo control body balance) hili tatizo limenianza mda sana tangu nipo mdogo wa miaka kama 9 hivi sasa limekuwa kubwa kiasi kwamba nahitaji attention kubwa sana...
  4. iddy eba

    Je?, upendo ni nini?

    Watu wamekuwa wakijiuliza sana UPENDO maana yake nini. Je upendo ni nini? UPENDO ni basi la mkoani linalofanya Safari zake Dar es Salaam kwenda Iringa na Iringa kuja Dar es Salaam Kama una tafsiri nyingine bora kuliko hiyo, kama kawaida pambana na hali yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
  5. iddy eba

    25 Amazing Facts You’ll Want To Know

    01-Tiger shark babies cannibalize each other in utero. With up to twelve embryos in a shark mother’s belly, only one or two make it out alive. This is because the largest of the pack eats the others in a literal struggle for survival.
  6. iddy eba

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    KIDOKEZO Ni nani hasa anayewaua viongozi wa wapigania uhuru? Kwa nini viongozi hawa wameuawa wengi zaidi Kinshasa kuliko mahali pengine popote katika Afrika? Je, hatua gani zichukuliwe ili kupambana na kukomesha uhalifu huu usiokuwa na kifani?. Naam. Umoja wa Nchi Huru za Afrika umepata jibu la...
  7. iddy eba

    Naomba kujuzwa kuhusu diploma in marketing

    Wakuu nina mpango wa kutuma maombi nacte kusoma hiyo course.. Je ni course nzuri? Field zake ni kama zipi? Na zipi Changamoto zake? Chuo gani kizuri kusomea hiyo course? Naombeni mnisaidie wakuu
  8. iddy eba

    Hivi hii hali ni ya kawaida?

    Wakuu, kuna hali inanitokea sana mpaka najikuta najishangaa 2,labda mimi mtu wa ajabu au vp.. Yani naweza fanya jambo alafu nastuka kwamba nilishafanya hivyo ila sikumbuki mda gani ila nakuwa na uhakika kabisa kwamba nilishafanya tena vile vile bila kukosea step.. Mfano naweza pita njia flani...
  9. iddy eba

    Hivi ndege zetu zipo wapi

    Nilipata sikia kwamba katika awamu za mwanzo hizo(hope sikuwa nimezaliwa tiyari) shirika letu la ndege lilikuwa na ndege nyingi zikiwemo BOENG kadhaa, hivi hii ni kweli? Na kama ni kweli hizi ndege ziko wapi kwa sasa?
  10. iddy eba

    Leo nimepata jibu, kumbe alianza kuku bhana

    Wakuu, baada ya miaka mingi ya research juu ya swali ambalo nilipata kusikia watu wakibishana sana la "kuku na yai kipi cha kutokea?" Hatimae leo nimepata jibu, kumbe alianza kuku kwa kuumbwa kama alivyoanza binadamu na yai alilitaga kama binadamu anavyozaa Am i right?
  11. iddy eba

    Hivi ndege zetu zipo wapi?

    Nilipata sikia kwamba katika awamu za mwanzo hizo(hope sikuwa nimezaliwa tiyari) shirika letu la ndege lilikuwa na ndege nyingi zikiwemo BOENG kadhaa, hivi hii ni kweli? Na kama ni kweli hizi ndege ziko wapi kwa sasa?
  12. iddy eba

    GOZI LA NG'OMBE : Ozil; Sindano ya nguo kwenye ubao

    By Nicasius Agwanda Katika ubongo wa mpenda soka yeyote, katika fikra za binadamu anayeufahamu mchezo huu na kwenye macho ya mtu anayesisimka kila anapotazama soka ambayo ndio inayoongoza kwa kupendwa duniani, kuna viungo wachache duniani wabunifu wanaomzidi Mesut Ozil. Ndio, Ozil huyu mwenye...
  13. iddy eba

    Tatizo ni

    Kum-wish rafki yako cku ya birthday yake sio tatizo, tatizo ni pale unapomwambia "uishi miaka buku" au "uishi miaka miaka mingi kama no za vocha" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] as if we ndo mtoa roho alaf ndo umempa ofa ya miaka mengne ya kuishi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
  14. iddy eba

    Certificate or diploma in marketing at mzumbe University

    Wakuu naomba kuuliza, je mzumbe University Wanadahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza certificate au diploma in marketing?
  15. iddy eba

    Mgeni mzoefu

    Wakuu, samahanini sana Mimi mgeni but mzoefu kidogo nimejiunga mwaka 2015.. Naomba sapoti yenu
  16. iddy eba

    Riwaya: HOFU

    RIWAYA: HOFU MTUNZI: George Iron Mosenya SIMU: 0655 727325 MWAKA WA KUANDIKWA: 2013 "Tunayaweza yote ambayo akili zetu zinafikiri, lakini kamwe hatutaweza kuyatekeleza vyema kwa kuziamini akili zetu pekee..... Yupo aliyetupa akili hizi. Kila tunapopiga hatua kulianza jambo tumsihi atujaze nguvu...
  17. iddy eba

    Riwaya: ANGAMIZO

    RIWAYA.............ANGAMIZO MWANDISHI.....HALFANI A. SUDY SIMU..................0757 633010 SEHEMU YA KWANZA ... Ilikuwa jumatatu tulivu sana katika mitaa ya Arusha nchini Tanzania. Siku iliyoanza kwa manyunyu ya mvua na radi kidogo katika Jiji la Arusha. Kutokana na manyunyu hayo ya mvua, hali...
  18. iddy eba

    Msaada: Nimemaliza kidato cha 4 mwaka 2015, naweza kupata chuo kwa sasa?

    Mimi ni kijana wa 18yrs now, Nimemaliza kidato cha 4 2015 na nikafanikiwa kufaulu ila sikuchaguliwa kijiunga kidato cha tano.. Kwahiyo nikapanga ntaapply chuo lakini wazazi hawakuwa na pesa kwakweli., wamekuja pata now na wanambia nitafute chuo kwani wananihurumia kukaa nyumbani ambapo nipo...
  19. iddy eba

    Novel pendwa za fasihi

    Naomba huu uzi uweze kutukutanisha sie wapenda kusoma novel za fasihi haswa zile za English.. Kuna novel nmezikumbuka ila sijui wapi kwa kuzipata kwa kweli.. Kitu kama IT IS POSSIBLE? ya Ole kulet I WILL MARRY WHEN I WANT ya ngungi wa thiong'o... Kuna yeyote mwenye navyo hivi Kama pia...
  20. iddy eba

    Msaada- collage suggestion

    Wakuu naomben msaada wenu juu ya vyuo gan naweza kwenda baada ya mipango yangu ya kwenda advance kutoielewa, nimemalza 4 last year with DIV 3 of 24 bt ckubalance comb
Back
Top Bottom