Search results

  1. wamisako

    Rev. Dr Muhoza: Maaskofu na Mapadre wa katoliki wana wajibu wa kukemea maovu ila hawaruhusiwi kuwa wanasiasa

    Akiwa katika kipindi cha Clouds 360 cha clouds Tv leo siku ya ijumaa kuu Padri toka parokia ya sinza Dar es salaam asema kua hakuna kosa kwa mchungaji,Mapadri na maasikofu kusifia mazuri na pia kukemea maovu anayofanyika au kufanywa na watu mabalimblia kwa ni wajibu wao , kazi yao sio tu...
  2. wamisako

    Jinsi ya kurudisha picha ulizofuta kwenye simu ya android.

    Msaada jamani kwa anaejua.
  3. wamisako

    Pitia hapa kuona picha ya siku

    #PovuRuksa #FukuaMakaburi
  4. wamisako

    Picha ya siku

    #PovuRuksa #FukuaMakaburi
  5. wamisako

    Neno la leo

    SIRA 9:17-18 Kazi ya mtu mwenye juhudi itapata sifa;kiongozi wa watu sharti awe hodari katika maneno yakem Mtu aropokaye ni kitishio mjini kwake;mtu mwenye maneno ya hovyo huchukiwa.
  6. wamisako

    Tupashane habari, ratiba za mechi na matokeo daraja la kwanza 2017/2018

    Ndugu wapenda michezo imekua shida kubwa kupata updates za matokea na kila kinachoendelea ligi daraja la kwanza. Najua wengi wanapenda kujua vitimbwi vya ligi hii ambayo huwa imejawa vituko na udambwi mwingi Huu utakua uzi maalum kila mmoja alipo kutupasha habari na matokeo ya ligi daraja la...
  7. wamisako

    Uzi maalumu wa kutakia Happy Birthday

    Ili kuepukana na kuweka nyuzi mbali mbali za kutaka watu wakutakie heri ya kuzaliwa, sasa huu ndo utakua uzi maalum kwa atakae penda kutakiwa heri ya kuzaliwa ataweka tarehe yake ya kuzaliwa siku yake ya kuzaliwa itakapofika. Naanza na mimi leo ni siku yangu ya kuzaliwa 4/10
  8. wamisako

    Mjadala: Hivi ni kweli Mh. Nape alishindwa kuwaelezea wananchi wake umuhimu wa Bomberdia (ATCL)

    Kutokana na tweet ya mheshimiwa mbunge wa mtama,Maswali ya kujiuliza: 1.Mbunge hajui umuhimu Bomberdia au shirika la ndege Tanzania (ATCL) 2.Pindi zina nunuliwa Mh. Alikua waziri alishindwaje kupinga au kujiondoa uwaziri kutokana na kutokukubaliana na ununuzi wa Bomberdia 3.Ni sahihi Mh.ku...
  9. wamisako

    Ilichokifanya mahakama kuu ya Kenya ni sawa na alichokifanya Jecha Zanzibar

    Mahakama kuu Kenya imefuta uchaguzi uliofanyika baada ya kugundua kulikua na dosari ,hivo hivo hata Zanzibar Jecha alifuta uchaguzi baada ya kugundua kua kulikua na dosari ,tatizo ni kwamba nabii hakubariki kwao. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. wamisako

    Rais Magufuli aipongeza TCU kwa kuzuia udahili wa wanafunzi katika vyuo 19

    Leo wakati rais anarudi kutoka kwenye ziara za Mikoani, Amesimama Tegeta na Kuzungumza na Wananchi. Haya ni baadhi maneno aloongea; “Kwenye madini tumeibiwa sana, nchi yetu ni kati ya nchi zinazoongoza kwa kuibiwa, tumeibiwa kwa miaka 18, sasa imetosha” Rais Magufuli. Kwa sababu ni mara yangu...
  11. wamisako

    First 11 ya Simba Fc Next season 2017/2018.

    Hii inaweza kuwa kikosi nora kuwah tokea endapo watawanasa wachezaji kama inavotajwa na mitandao mbalimbali. Utakumbuka kile kikosi cha akina Kaseja, Pawasa,Costa ,Christopha alex "masawe", Seleman Matola. Sasa ni wazi kua endapo simba itakua na kikosi ka hicho ni wazi kua msimu ujao itakua...
  12. wamisako

    Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Leo mchana huu kumetokea tetemeko dogo mkoani Mwanza, Tetemeko liameanza sa 6:56-6:57 limedumu kwa sekunde zisizozidi 40. Watu wengi wameonekana kukimbilia mahala ambapo wanaweza kujistiri. ---------------Update-------------
  13. wamisako

    Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

    SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu...
  14. wamisako

    Watu ambao haipiti saa wanaongewa sana midomoni mwa watu

    1. Bashite 2.Malinzi 3.kim 4.trump 5... Ongeza wako ambae na ww hupitishi siku unamwongea.
  15. wamisako

    Picha

  16. wamisako

    Hamorapa live FNL EATV

    Tupia jicho ujionee kwenye kipazia chako Hamonaizi amwoneshe kidole cha kati boss wa hamorapa, Hamonize alikua na interview EATV kipindi cha FNL alipo mkuta hamorapa EATV ameamua kusepa.
  17. wamisako

    Why always makonda wakati kuna wenger, Mugabe na Museveni.

    Helou wanajamvi kumekua na shinikizo kubwa la kutaka mh makonda ajihudhuru na ana mwaka mmoja tu tangu awe RC Sasa me najiuliza kuna watu wamefanya wameongoza mda mrefu na wanatenda ndivyo sivyo kama 1.Robert Mugabe 2. Arsene Wenge 3. Museveni Mbona hawa wamevumiliwa na miaka mingi hawataki...
  18. wamisako

    Video: Naona CCM wameanza kulipiza visasi

    Kwa video hii ni dhahiri kua chama cha mapinduzi wameamua kuanza kulipiza visasi baada ya watu waliopigania kuenguliwa kwa Waziri mstaafu Edward Lowassa lakini CCM wakumbuke kua visasi hivi vitawafanya watu kukosa uhuru wa kumchagua mtu wamtakae kipindi cha kura za maoni kwa kuhofia tu...
  19. wamisako

    Video: Askofu Gwajima atuma pepo kwa 'anayesumbua Dar es Salaam', pepo lakataa na kusema haingiliki

    Ndg. Askofu Gwajima wakati akimwombea mama mmoja alisikika akisema pepo toka aende kwa mkuu wa Dar es salaam , mama huyo alisikika akisema mbona haingiliki. Hii ina tafsiri gani wana JF
Back
Top Bottom