Search results

  1. Bitoz

    Watu 10 maarufu waliozaliwa na vidole vya ziada

    Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano Ila wapo wanaozaliwa na vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi Sasa tuangalie watu 10 maarufu waliozaliwa na vidole zaidi ya 10 NB wapo ambao walizaliwa navyo zaidi ya 10 lakini...
  2. Bitoz

    Bitoz is back !!!!

    Habari zenu wakuu ? Kitambo sana sikuwepo jukwaani kutokana na sababu iliyokuwa nje ya uwezo wangu. Hivyo wale washikaji zangu mliokuwa mkinitafuta au huwa na hofu juu ya kutoonekana kwangu niwaambie tu mimi ni mzima kabisa na sikupatwa na baya lolote. Ahsanteni
  3. Bitoz

    Wajue viongozi kumi walioonja madaraka kwa kipindi cha muda mfupi

    John F Kennedy JFK anafahamika kama miongoni mwa marais wa Marekani waliokaa madarakani muda mchache zaidi Sasa leo tunawajadili viongozi waliokaa madarakani(walioyatumikia madaraka) kwa muda mchache zaidi Kati yao hakuna aliyefikisha hata kawiki kaamoja akiyatumikia hayo madaraka...
  4. Bitoz

    Wajue watu kumi waliobahatika kuishi miaka mingi duniani

    Kwa Tanzania juzijuzi kuna babu katangazwa kuwa ana miaka 120 ila tatizo hakuna vielelezo ndo tatizo la Watanzania na Afrika kwa ujumla kutotunza kumbukumbu mfano hata aliyebuni nembo ya Taifa eti hajulikani ni aibu....... Najua vijijini kuna vikongwe kibao vimejaa tele ila havina vyeti vya...
  5. Bitoz

    Watu kumi warefu zaidi kuwahi kuwepo duniani

    Hapa Tanzania Hasheem Thabeet ni maarufu kutokana na urefu wake aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu Pia kuna jamaa fulani mwaka juzi alikuwa gumzo baada ya urefu wake kumzidi kabisa Hashim kiasi cha kushindwa kupatiwa matibabu ya mifupa pale Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI}. Na ndiye anaaminika...
  6. Bitoz

    Yajue magonjwa kumi hatari zaidi duniani

    Kuna usemi kwamba afya ni uhai pia mtaji wa maskini ni nguv zake ikimaainisha afya njema huchangia mtu kuwa na maendeleo maana ukiwa na afya mgogoro basi utapoteza muda na pesa nyingi kujiuguza Basi leo nawaletea magonjwa 10 hatari zaidi duniani kwa kupeleka watu wengi makaburini NB: Mimi siyo...
  7. Bitoz

    Wajue matapeli kumi mahiri waliowahi kuisumbua dunia

    Umewahi kuombwa assist na msela fulani hivi aitwaye Rainyundo ? kama tayari kausha tu aisee .......... Jamaa alikuwa na marafiki wengi humu JF Ila ujanjujanja umemponza na huo ndo umekuwa kama mwisho wa ID yake Tapeli ni tapeli tu haijaishi iwe alidanganya,alikopa,alitoa tiba feki, n.k ...
  8. Bitoz

    Matukio kumi ya kihalifu yaliyoitikisa dunia

    Wakuu kama mnavyojua wahalifu ni sehemu ya jamii hata hapa jukwaani wamejaa tele Sasa nataka kuelezea kwa ufupi tu matukio na wahalifu waliowahi kufanikisha wizi mkubwa kwa weledi uliotukuka pasipo kutumia nguvu kubwa ...
  9. Bitoz

    Wajue mapacha kumi maarufu zaidi duniani

    Kuna aina mbili za mapacha ambazo ni mapacha walioungana na mapacha wa kawaida Pia unaweza kusema mapema wanaofanana na mapacha wasiofanana Sasa mimi nalenga kuwazungumzia mapacha wa kawaida ambao waliweza kufanya mambo mazuri au mabaya na kujipatia umaarufu mkubwa duniani Kwa Afrika nadhani...
  10. Bitoz

    Watu kumi mashuhuri waliozaliwa na vidole vya ziada

    Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano Ila wapo wanaozaliwa na jumla ya vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi Sasa tuangalie watu 10 maarufu duniani waliozaliwa na vidole zaidi ya kumi miguuni au mikononi...
  11. Bitoz

    Maziwa kumi maarufu duniani yenye maji ya rangi ya waridi{Pink lakes)

    Umewahi kwenda ziwani kisha ukakutana na maji yakiwa na rangi ya pink kama vile yamemwagiwa rangi ya Sadolin? Najua wengi kwenu ni jambo geni hata kwangu pia nilipoona picha kwa mara ya keanza nilifikiri ni photoshop na fix tu za mtandataoni Yapo ambayo maji yake yana rangi ya kudumu huku...
  12. Bitoz

    Nchi kumi duniani zenye idadi kubwa ya watu wenye UKIMWI

    Wapo watu wanaoamini hakuna ugonjwa uitwao Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) hawa wamejikita kinadharia zaidi Wapo pia wanaodai ugonjwa huu unatibika ila Wazungu hawataki kutengeneza dawa ya kuutokomeza kabisa ili tu kupunguza kizazi cha Waafrika....hii nayo ni nadharia tu Zamani mtu akiwa na...
  13. Bitoz

    Majanga kumi ya asili yaliyowahi kuitikisa dunia

    Mwanamuziki Snura Mushi amewhi kutamba na wimbo wake maarufu wa Majanga kisha akapotea kimuziki hii ina maana kwamba msjanga huja tu ghafla na kuwatetemesha wanadamu kisha hupotea ila kamwe msjanga hayaishi Pia waseahili husema Adui mwombee njaa kinachoendelea pale mitaa ya Twiga na Jangwani...
  14. Bitoz

    Watu tisa waliozaliwa na viungo vya ziada na kuishangaza dunia

    Mungu huwa hakosei kuumba ? Mimi sijui na lengo langu siyo kumkosoa Mungu wala kumuhoji bali kuzungumzia kuhusu binadamu waliozaliwa na viungo vya ziada na kuishangaza dunia Kawaida mtu ana meno 32,miguu miwili,pua moja,mikono miwili,moyo mmoja n.k ila hawa watu viungo vyao vimepitiliza idadi...
  15. Bitoz

    Nchi kumi vinara wa uchawi na ushirikina duniani

    Uchawi upo au haupo ? Umeshawahi kurogwa ? Umewahi kwenda kwa sangoma kurekebisha mambo ? Najibu kaa nayo tu moyoni mwako maana hayanihusu na sio kusudio langu la kuanzidha mada Binafsi siamini katika uchawi na ushirikina.....kama kweli watu wanajua kuroga basi wapige tunguli huu uzi maandishi...
  16. Bitoz

    Ijue minara kumi ya kuvutia mirefu zaidi duniani

    Kwa nchi za Kiafrika suala la kujenga minara kama utambulisho wa jiji na kivutio cha utalii au kurushia matangazo ya redio na televisheni halipewi kipaumbele . Pia inaonekana kama matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi Dikteta Mobutu Sese Seko alwahi kuanzisha ujenzi wa mnara huko nchini...
  17. Bitoz

    Walemavu wa macho 10 waliofanya mambo makubwa

    Waswahili husema ulemavu mbaya ni wa akili wakiwa na maana kwamba ukiwa chizi/taahira hutoweza kufanya jambo lolote la maana maisjani japo viungo vyako vitakuwa vinafanya kazi Sasa tuwaangalie walemavu wa macho walioweza kufanya mambo makubwa na kudhihirisha kwamba kuwa mlemavu sio mwisho wa...
  18. Bitoz

    Bitoz: Namaliza mwaka vizuri !!!

    Wakuu nafikiri mpo poa Naona zimebaki siku chache tumalize mwaka Dhumuni la uzi huu ni kutaka kuwashukuru wote walionipa sapoti hapa JF kuanzia January to December,kwangu huu ni mwaka super tofauti na 2015(mwaka niliojiunga) Shukrani za pekee ziwaendee Jimena na Bailly5/Th Name ....hawa ndo...
  19. Bitoz

    Hali tete! Jambo Garden Mabibo yafilisika

    Wakuu, Mida mida wakati natoka kwenye mihangaiko yangu nikaamua nipitie Jambo Garden ili nipate moja moto moja baridi.. Sasa kufika pale nikakuta kweupeee ndo kunajengwa fremu sehemu ya pembeni.. Hapa tulizoea kuburudika pamoja na kutazama mpira. Ikumbukwe Jambo Garden ilikuwa ni sehemu ya...
Back
Top Bottom