Search results

  1. PeterLugomo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ixbet wanetoa depositing kwa tigo pesa tyfanyaje kudeposit
  2. PeterLugomo

    Kuna mwenye idea na course zitolewazo na OSHA

    Na ww unasubiri maelezo enh
  3. PeterLugomo

    Kuna mwenye idea na course zitolewazo na OSHA

    Kuna mwenye idea na course zitolewazo na osha, nafasi ya ajira baada ya hizo course, maeneo gan ya kufanyia kazi. Tafadhali naomba msaada
  4. PeterLugomo

    Wakili: Simba hawana haki ya kupata chochote

    Ni kaka yangu yes.
  5. PeterLugomo

    Wakili: Simba hawana haki ya kupata chochote

    Wakili msomi Geofrey Lugomo
  6. PeterLugomo

    Kuna mnaoifahamu kozi ya OSHA?

    Wadau wanauliza kama kuna mtu anaufaham na osha na zile course zake na nafasi ya upatikanaji wa ajira baada ya kusoma zile course.
  7. PeterLugomo

    Chromebook

    Habarini wakuu.. Naomba msaada wa kujua uwezo n storage hizi computer za chromebook. Kuna moja hapa nnayo ni ya acer na imekuja na lugha tofaut nmeshindwa kubadili lugha ila nmetafuta system management imesema available ni 1.9 gb.. hii saaa inafaa kwa storage kwel au mm ndio sijui. Msaada kwa...
  8. PeterLugomo

    Msaada juu ya kilimo cha tumbaku Chunya, mtaji na nianze na shamba la ukubwa gani?

    Mabani hayo nimeambiwa mwaka huu nimechelewa.. najipanga mwakani
  9. PeterLugomo

    Msaada juu ya kilimo cha tumbaku Chunya, mtaji na nianze na shamba la ukubwa gani?

    Asante sana kaka nimepata mwanzo. Masoko ni kuuzia makampuni tu au na serikali inanuua.
  10. PeterLugomo

    Msaada juu ya kilimo cha tumbaku Chunya, mtaji na nianze na shamba la ukubwa gani?

    Habari wakulima, mimi naomba kupata mawazo chanya juu ya kilimo cha tumbaku hasa kwa mkoa wa mbeya wilayani chunya maana nimeelekezwa huko kilimo kinakubali. Kwa wazoefu na hili zao naomba uzoefu wenu. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
  11. PeterLugomo

    Mnaionaje hii masters

    Wakuu hii masters ya monitoring and evaluation kwenye market ya ajira mnaionaje.
  12. PeterLugomo

    Naomba mwenye uzoefu na vifaa vya saluni ya kiume

    Naombeni kujua kwa wenye uzoefu wa biashara hii ya saloon ya kiume kuanzia mtaji wa kawaida na mpaka vifaa na maingizo ya pesa.
  13. PeterLugomo

    Maadhimisho ya kifo cha Hayati Mkapa itakua siku ya mapumziko?

    Ile 14 October na ww ulipumzika enh
  14. PeterLugomo

    Maadhimisho ya kifo cha Hayati Mkapa itakua siku ya mapumziko?

    Wakuu naomba kujua kama mamlaka husika zimetangaza kuwa siku aliyofariki mpendwa wetu Raisi wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa kama ni siku ya mapumziko tukiadhimisha kifo chake na kukumbuka mchango wake uliotukuka katika taifa hili.
  15. PeterLugomo

    Naomba kujuzwa course ipi ni nzuri kusoma kwa Masters kati ya Monitoring and Evaluation na Project Management kwa Open University

    Niimemaliza degree ya elimu natamani kujiendeleza kielimu ili niweze pia kuhama carrier hizo course tajwa ndion kipaumbele changu. Naomba msaada wa ipi ni sahihi kuisoma au kama kuna nyingne mnayoweza kunisaidia ili niisome.
Back
Top Bottom