Search results

  1. N

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Ni maradhi tuu na yanaitwa schizophrenic paranoia. Kama ni kweli hao alshabab ni "al-qaeda affiliates" basi hawawezi kukodiwa na mtu yoyote, serikali yoyote kwa ajili ya kupata pesa. Alqueda hawana historia ya kufanya mashambulizi ili kupata pesa kwa hiyo madai yanayotolewa kwamba al-shabab...
  2. N

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Ni maradhi tuu yanaitwa schizophrenic paranoia.
  3. N

    Wasomi wa kitanzania tunajivunia nini?

    Umesahau 7.Utumwa wa kiakili 8. Ujinga 9. Kuzungumza kiswahili kilichochanganyika na vijineno vya kiingereza (tumeshadiscus lakini bado anaonekana haelewi, ken yu imejin?... kwenye meeting iliyopita waliniendorse mimi niwe chairman wao). This is the cheapest way used by "beducated" fools to...
  4. N

    'Tahrir square' ya Dar ni wapi??

    I think you should make your tahrir square right there at the stronghold of chadema (Kilimanjaro/arusha), because in dsm it won't work. Ironically, a legitimate president who has been re-elected by the majority of our citizens is put in the same box as those non elected arab leaders who have...
  5. N

    Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

    Another goat on the loose, where is the owner? Requesting birth certificate for the folk born in the Tanzania if 1950s is absurd, asking for those born in 1920s is nothing short of outlandish. Less than 2% if any of those in the 1950s were issued with birth certificates. Hivi ni nani...
  6. N

    Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

    Enyi "great thinker who cannot think" hivi ni nani aliyewaloga na kuwafanya mdhanie kwamba Jumbe na Mwinyi wamezaliwa Zanzibar? Jumbe na Mwinyi wote ni wazaramo, tena ni wazaramo waliozaliwa katikati ya uzaramo. That is your answer.
  7. N

    Wito wa mapinduzi ya kizalendo Tanzania "Nationalism revolution" tarehe 19/02/2011

    Yataanzia Arusha na yataishia hukohuko Arusha. Dar ina wenyewe.
  8. N

    Ni ujinga na upumbavu uliokidhiri kuendelea kung'ang'ania CCM

    siwapendi CCM lakini ni ujinga zaidi kushabikia chama cha kidini.
  9. N

    vipi kuhusu zitto

    kwani zitto si tayari alishabadili dini? sasa bado afanye nini tena?
  10. N

    Nina mashaka na maamuzi ya wa Misri

    Alaa kumbe mlipokuwa mnashabikia mambo ya misri mlikuwa mtategemea christian brotherhood ichukue nchi? Kaanzisheni chama cha kikiristu kama chadema kule misri labda mambo yetu yatakuwa mazuri
  11. N

    Ni Ndoto Kwa Waafrika Weusi Kujikomboa!!

    Umeongea upuuzi mtupu hapo. Sababu zinazofanya mwafrika kuwa nimezitaja katika ile thread ya jana/juzi 10/11 feb 2011; ambayo kuna mtu aliweka waraka wa mapadri na wachungaji. Na ndiyo maana ile thread imeondolewa haraka sana baada ya mimi kuziandika sababu zinazomfanya mwafrika kuwa hivi alivyo.
  12. N

    Chadema anzisheni kitengo cha propaganda

    Kwani hii JF unavyofikiria wewe ni nini? au ulitakaa iitwe jamii ya propaganda ya chadema?
  13. N

    Maggid ana nini na CDM?

    Yaani wewe ni chadema hasa. Maana kila neno kati ya hayo yenye rangi nyekundu hapo juu yanaashiria u-chadema uliokomaa. Isipokuwa tuu ukumbuke kwamba maggid amesoma kuliko mbowe, na mbowe siyo muhehe.
  14. N

    Hivi Kweli JK anjua anawaongoza watu gani?

    Anawaongoza watanzania wote akiwemo willbloody slaa freeman mboye.
  15. N

    Kila ninayeongea nae anamlaumu kikwete. Hao asilimia 61 waliompigia kura wapo wapi?

    Asilimia 61 ni wale usioongea nao kwa sababu hawaamini kuwa mwana kondoo ni muumba.
  16. N

    Ibrahim Mussa Ndiye Mkurugenzi Mpya wa Utalii Tanzania

    Mbona aliyeuanzisha huu udini kashakufa zaidi ya miaka 10 iliyopita? afe mara ngapi tena? cha kumuombea tuu ni kwamba aendelee kuoza motoni
  17. N

    CUF Waandamana Kuipinga DOWANS

    Humu hatuungi mkono waislamu kamwe. Waislamu hawajasoma na sisi tumesoma kwa hivo wao hatuwezi kushirikiana nao.
  18. N

    Hili la wazanzibari kuchoma baa limekaaje?

    Wakati kama huu ndipo huwa natamani ningekuwa mzanzibari. Saafi sana wazanzibari endeleeni na moyo huo huo.
  19. N

    Cdm mnangoja nini?

    tunamngojea kilaza naye ajipige kibiriti kama huyo mwehu aliyejimaliza
Back
Top Bottom