Search results

  1. MKATA KIU

    Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

    Mc pilipili alishushwa na ma mc vijana wapya sokoni.. wamekuja vijana wabunifu zaidi yake wakamtoa sokoni .. ndio hao kina Gara B. uchungaji kaingia juzi juzi tu baada ya kuona u mc hapati wateja wa kutosha
  2. MKATA KIU

    Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

    MC pilipili hayupo sawa toka alivyopata msiba wa mama yake. kufiwa na mama siku ya harusi. tena kwa ajali ya boda boda kumempa msongo mkali sana wa mawazo mc pilipili
  3. MKATA KIU

    Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

    mama yake alifariki siku ya harusi ya mdogo wake mc pili pili
  4. MKATA KIU

    Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    wachungaji hao hao wanapinga ukisema sadaka yako ama fungu la kumi lako unapeleka kwa yatima ama wajane. unatengwa na kanisa kwamba sio mtoaji wa sadaka, na unajaziwa madeni kanisani kupitia jumuia
  5. MKATA KIU

    Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  6. MKATA KIU

    Kikristo, uchawi haupo

    unashindwa kunielewa, mimi siamini biblia na hakuna sehemu nimeweka mstari wa biblia. mimi naongela imani ya uchawi na imani juu ya ukristo jinsi zinavyo relate. na nimekueleza maisha ya ulaya kipindi cha medieval age, nikakueleza canon laws zilitoka wapi na jinsi hizo laws zilivyokuwa...
  7. MKATA KIU

    Kikristo, uchawi haupo

    ukristo baada ya kuanzishwa ulienea sana ulaya kipindi cha mediaval age ( middle age) kipindi hiki ( canon laws) ama sheria zilizokuwa zinatumika kuendesha taifa ( state laws) ni sheria za kikristo ama sheria za kanisa. kitu kilichoandikwa kwenye biblia ndio kilikuwa kinafatwa. uchawi hapo...
  8. MKATA KIU

    Kikristo, uchawi haupo

    mbona uhahamisha mada, hapa hatuongelei majini hapa tunaongelea uchawi, yaani imani juu ya uchawi, jiulize je bibilia ama kanisani Uchawi ama wachawi hawazungumziwi kwenye ibada ama maombi ? mfano mimi ni Atheist siamini dini yoyote, na wala siamini uwepo wa Mungu, naanzia wapi kuamini...
  9. MKATA KIU

    Kikristo, uchawi haupo

    UKRISTO UMECHANGIA SANA IMANI ZA USHIRIKINA NA UCHAWI KUENEA DUNIANI BILA IMANI JUU YA UKRISTO KUWEPO NA IMANI JUU YA UCHAWI ISINGEKUWEPO madhehebu ya dini ndiyo yanachochea kuziamini imani hizo za uchawi na ushirikina watu ambao hawaamini dini wala uwepo wa Mungu Atheist huwa pia hawaamini...
  10. MKATA KIU

    Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Huo ndio ukweli. Wanaochelewesha maendeleo ni watu wanaokaa mijini. Ila wanamiliki viwanja nje ya mji na hawajengi Hiyo siri alinipa afisa ardhi mzoefu aliyewahi hudumia manispaa zote za Dar es Salaam Kwa sasa ni afisa ardhi temeke anaitwa ............. Aliniambia ukitaka sehemu inayokuwa...
  11. MKATA KIU

    Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Mimi mfanyabiashara sitaki kufukia hela. Nitakapoona mkandarasi yupo site wa kujenga lami ya Banana mpaka Msongola. Ndipo nami nitaenda site kuanza ujenzi. Najua ndani ya miaka mitatu lami imekamilika nami bar yangu imekamilika.. naanza waletea kina misso missondo wawarushe watoto wa Kivule.
  12. MKATA KIU

    Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Mimi mwaka 2022 nilitaka nunua kiwanja Kigamboni kwa ajili ya kujenga bar mbeleni. Afisa ardhi ndio akanipa siri. Kwamba Kigamboni inachelewa kukua sababu viwanja vingi ni vya matajiri ambao hawana shida ya kujenga leo. Akaniambia kama nataka kiwanja cha kujenga bar nenda miji mipya inayojaa...
  13. MKATA KIU

    Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Kuna Kivule na Msongola pia.. pameendelea sana na bado lami haijafika. Ikitokea pakapigwa lami patapanda value sana.
  14. MKATA KIU

    Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Ukitaka ukae sehemu ambayo inakuwa haraka. Nenda sehemu ambapo watu wa kipato cha kati na maskini wanajenga. Kigamboni viwanja vingi na maeneo vinamilikiwa na watu matajiri ambao hawana shida ya nyumba za kuishi. Unakuta mtu ana nyumba Mbezi beach ila amenunua kiwanja Kigamboni. Huyo mtu...
  15. MKATA KIU

    Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Kigamboni imekwamishwa na matajiri
  16. MKATA KIU

    Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

    Hakuna. Ila kuna imani zimetoa ruhusa ya kumkabili mke asiyefanya jukumu lake kuu la ndoa. Na kuna imani ambayo inamlinda hata kama akigoma kutoa huduma ya ndoa bado haachiki
  17. MKATA KIU

    Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

    Hoja kama hizi ndipo wanapata ushindi
  18. MKATA KIU

    Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

    Shida kubwa ni kifungo Mke nyapu hakupi. Na ruhusa ya kuwa na mchepuko hakupi. Yaani anakaba kote kote
  19. MKATA KIU

    Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

    Kama wazazi wako wana akili. Ndoa unaifunga mapema sana
Back
Top Bottom