Search results

  1. waktz

    Tetesi zinadai Israel yalipua Hospitali Gaza, 500 wafariki

    Hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu Inafaa Kusoma Bw. Netanyahu alisema: Miaka 70 tu iliyopita! Wayahudi walichukuliwa kwenda kuchinjwa kama kondoo. [emoji838] Miaka 60 iliyopita! [emoji838] hakuna nchi. Hakuna Jeshi. Nchi saba za Kiarabu zilitangaza vita dhidi ya dola hiyo...
  2. waktz

    Ushoga katika taifa la Israeli

    Mungu hayuko kama wanavyodhani hukumu ya Mungu sio ya Mwanadamu
  3. waktz

    Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa.

    Mkuu sijaelewa hivi hii ni vita ya KIDINI
  4. waktz

    Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa.

    Hivi hiii ni vita ya Kidini!?
  5. waktz

    Israel yaimarisha Ulinzi Msikitini Al Aqsa, Viongozi wa Dunia waelekea Israel kuzuia Vita isienee duniani kote!

    Kwani lazima ukaswali msikitini na unaona kabisa kuna vita swalia hata porini uko.kuna watu ni viburi sanaa
  6. waktz

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Kama watu walipitishwa Huku ...
  7. waktz

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Hivi unajua Taifa la Israel liliundwa mwaka Gani!? Na kabla ya hapo wa Israel walikua wapi!? Nakupa home work
  8. waktz

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Kwaiyo unadhani wa Israel 1970 ndo Hawa wa leo.Ogopa nchi iliozungukwa na maadui kila upande?
  9. waktz

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Hili ndo neno la Mungu sasa wewe bishana na Mungu
  10. waktz

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Neno La Mungu halijawai kubadilika hata kama Israel watashindwa itakua ni kwa Muda tu
  11. waktz

    Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

    [emoji3][emoji3][emoji3] muumini wa prophet malisa
  12. waktz

    Simba SC kwa aibu kubwa ninayoiona inakuja na kwa upuuzi wa Ndola jana, tuwape Yanga SC nafasi yetu AFL ili wakaliheshimishe Taifa

    Simba wana wachezaji wazuri kuliko yanga walichotuzidi yanga wachezaji wao wana fighting sprit. Wachezaji wa Simba hawajitumi wana usupastaa mwingi wengi hawana ndoto za kuchezea timu kubwa ndoto zoa zimefika Mwisho.
  13. waktz

    Tulipoyasema haya awamu ya 5, Tulionekana siyo Wazalendo. Kiko wapi sasa?

    Minilishangaa Mpaka NIDA walitoa gawio NIDA wanafanya biashara gani ya kuwaingizia pesa mpaka waotoe gawio!?
  14. waktz

    Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

    Ujuaji mwingi mpaka unajikuta una kufuru
  15. waktz

    Wydad Casablanca Fans Tukutane hapa

    Furaha ya masikini tajir akifilisika.
  16. waktz

    DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    Dar watu hawashibi, vijana wengi ni madarali, Mji umejaa Machawa kibao na Midananda, Dar ndo kuna uchawi kushinda ata Mikoani watu wanapigana Miba balaah.
  17. waktz

    Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa

    Ulinawa Mikono baada ya kuchamba!? Naona unaandika shit
Back
Top Bottom