Search results

  1. Mrs Eliud

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Hiyo ni mradi mzuri cha msingi fanya utafiti wapi utapata mbegu nzuri za nguruwe wanao kua haraka na kula kidogo wasiliana na tapifa
  2. Mrs Eliud

    John Magufuli aunda rasmi mtandao kuisaka ikulu

    Hata wajipangeje mwaka huu ccm out
  3. Mrs Eliud

    Kijana Anatafutwa (Amepotea)

    Mwenye picha hiyo hapo kwenye attachment ni kijana wa kwanza wa ndugu Cornel Mujungu anayefanyia kazi Kasulu. Kijana huyo ametoroka kwao katika mazingira ya kutatanisha tangu jana tarehe 29/08/2012 alipomuaga mdogo wake wa miaka kumi na moja kuwa anaenda Moshi, ambako hakujui tena hakuwa na pesa...
  4. Mrs Eliud

    Kijana Anatafutwa (Amepotea)

    Kijana Amepotea Atakaye bahatika kumuona Atujulishe kwa mawasiliano yafuatayo: 0759 013570 0754 401806 0782367288
  5. Mrs Eliud

    Kijana Anatafutwa (Amepotea)

    Kijana Amepotea Atakaye bahatika kumuona Atujulishe kwa mawasiliano yafuatayo: 0759 013570 0754 401806 0782367288
  6. Mrs Eliud

    Bila ya upinzani tanzania,yebo ingekuwa ndio mchomoko wetu

    Najaribu kuangalia hali tuliyonayo watanzania kwa muda wote huo tangu tupate uhuru (kujetegemea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni) naona hali ni mbaya kabisa laiti kabisa tusingekuwa na mfumo wa vyama vingi sidhani kama tungeweza kununua hata yebo. Ndugu zangu watanzania hususani wewe...
  7. Mrs Eliud

    Mchumba ananichanganya.

    Pole sana Kaka yangu, nikupe ushauri mmoja . Umemuchunguza toka mwaka 2008 mpaka leo utakuwa unamfahamu vizuri sana, jibu unalo mwenyewe ila tu ndoa ni kifungo. think again and again.
  8. Mrs Eliud

    Hi, am a new member!

    I am now in Jamii community family:whoo:
Back
Top Bottom