Search results

  1. D

    Dodoma: Tundu Lissu agoma kutoka nje ya Mahakama akihofia Polisi, wamshauri atoke hakamatwi..

    Afadhali maana hawa jamaa ni mashetani kabisa
  2. D

    Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

    Tanzania kama tutaweka dini kama kigezo tuendako si kuzuri, mimi nafikiri uwezo wa mtu ndo kiwe kigezo cha kwanza, uadilifu, uwazi na upendo viwe vigezo vingine.
  3. D

    Edwin Mtei asikitishwa na alaani kitendo cha Tundu Lissu kumtukana Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere

    Hata mimi naona mzee wetu huyu amekurupuka. Ila kabla sijamlaumu sana nataka nijue tu kama maoni haya ameyatoa kama maoni binafsi na sio kwamba alikuwa anakusudia kuwakilisha chama. Kama alikusudia kutoa maoni yake kama yeye basi ana haki ya kufanya hivyo. lakini naomba viongozi wa chama...
  4. D

    Zanzibar haijawahi kuingiza shule katika 10 bora katika matokeo kidato cha 4 kwanini?

    Mimi sielewi sana lakini nadhani wanakuwa viwango vyao tofauti na vya huku bara. ila ni mawazo yangu tu. Halafu nina uhakika kabisa kuwa elimu ya juu si jambo la kimuungano ila secondary si elimu ya juu lakini sijawahi kusikia matokeo yao ebu nguja niangalie kwenye tovuti ya necta
  5. D

    Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

    Kweli kabisa tumekuwa jamii ya hovyo jamii yenye ubinafsi uliopindukia, jamii ambayo watu wanajijali wenyewe tu! kila kipande cha ardhi wanataka kiwe cha kwao, hata kama si cha kwao wanafikiri wana haki ya kuchukua kutoka kwa mtu yoyete, jamii ambayo imejitengenezea mifumo ya kuwadhulumu...
  6. D

    Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Kwa nijuavyo mimi chungu ni aina ya mchwa au siafu ambao hukusanya majani na mabaki ya vyakula kwenye mashimo yao, na Kivuno ni mbadala wa neno mavuno.
  7. D

    Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Kwa nijuavyo mimi chungu ni aina ya mchwa au siafu ambao hukusanya majani na mabaki ya vyakula kwenye mashimo yao, na Kivuno ni mbadala wa neno mavuno.
  8. D

    Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

    Hivyo viti sita vya udiwani vya TLP hapa Arusha umewapa wewe? Au unaota mchana?
  9. D

    Tundu Lissu, ndani ya Star TV katika Medani za Kisiasa na mstakabali wa Siasa za Upinzani

    Mtangazaji anamuuliza, mbona amekuwa mbishi sana kwa wapinzani wake? yeye anajibu kuwa siasa ni ubishi baina ya wanaoonewa na wanaoonea
  10. D

    Tundu Lissu, ndani ya Star TV katika Medani za Kisiasa na mstakabali wa Siasa za Upinzani

    Kipindi kimeshaanza na jamaa anaelezea wajihi wake na historia yake kidogo
  11. D

    CHADEMA yapaa vijijin (interior)

    Waambie na waitimu wenzio wote wawe na moyo kama wako
  12. D

    CHADEMA yapaa vijijin (interior)

    Umenena mkuu
  13. D

    CCM waingiza vifaa vya uenezi vya CHADEMA kutoka China

    Na wewe ulishaungana na wakombozi?
  14. D

    Mbowe: Tukio la mlipuko lina mambo mengi ndani yake

    Wewe tamko la Mbowe linakuwasha nini? ebu fuata mambo yako wewe mchumia tumbo mkubwa
  15. D

    Jicho Pevu: Kilicho nyuma ya pazia kwenye mlipuko wa bomu mkutano wa CHADEMA Arusha

    Kaka nashukuru kwa kunitia moyo, ngoja tuvute subira yatadhihirika tu.
  16. D

    Jicho Pevu: Kilicho nyuma ya pazia kwenye mlipuko wa bomu mkutano wa CHADEMA Arusha

    Kaka mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye mkutano na dogo mmoja alitobolewa mguuni na risasi na yeye alikuwa mbali kabisa na eneo ambako bomu lililipuka, kwa hiyo si mabomu tu waliturushia na risasi za moto pia hawa ni watu wa serikali. Sasa mimi napata taabu kuamini eti police hawahusiki
  17. D

    Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

    Ndugu Kagalala, sisi watanzania tunasema zaidi kuliko kutenda kila tukio likitokea utasiki enough is enough lakini hatuchukui hatua yoyote watu wanaotuua wapo mitaani wanadunda na hakuna hatua yoyote tunayochukua mimi nafikiri ifikie mahali tukisema enough is enough tumaanishe kweli
  18. D

    Majimbo ambayo CCM hawana chao 2015

    Wewe gamba nini? ivi Lema na mnyika ni ccm? au una lako jambo?
Back
Top Bottom