simu yenye nguvu za kuweza kuzuia chombo hicho cha dola ndani ya nchi hii...sasa hapo ule usemi wa ; 'wana macho lakini hawaoni, wanamasikio lakini hawasikii' umekuwa dhahiri. Kazi kwenu wana CUF wenzangu, na huo mdundiko wenu.
wewe nawe unaiaibisha hiyo nembo yetu ya taifa hapo kwenye 'avatar' yako, weka avatar inayofanana na hiyo kitu ndani ya ubongo wako. Na wewe mleta hoja toa hoja za maana achana na umbea, shit!
we bwana ni hatari. Umejuaje mission zetu. Mimi ndiye nliongoza hiyo mission. Na nilimtia kovu kwenye makalio. Kama mtu anabisha amwambie amwonyeshe makalio yake ataona kovu
hata imani haitaki mtu anayekiri udhaifu. Kumbuka Mungu aliumba mtu kwa mfano wake, kujiona duni ni kumkufuru Muumba. Lakini ndiyo basi tena, prof. wetu ndiyo kisha pigishwa magoti na "posho" ndiyo maana anaongea kama siye huku vijiweni. AMAKWELI MANENO UUMBA, mzee wetu hastahili kabisa 😢
wakati mwingine ni hekima kukaa kimya, kuliko kupayuka na kuonyesha kiwango cha upumbavu (siyo ujinga) ulioujaza moyo wako. Ushauri wangu kwako, achana na majibizano ya Lissu na Kabudi uelewa wako ni mdogo sana hasa kuhusu katiba. Tumia muda wako kusoma ilani ya CCM inaweza kukusaidia kupata...
Hili nimeliona ni: CDM vs CCM + vibaraka ( CUF & NCCR). Kafulila and Rashidi 'are you serious with destiny of this nation? CDM YOU WILL NEVER WALK ALONE in your fights I am with you.
Mambo mazito ya kitaifa yaongee kwenye PRESS CONFERENCE, unanipata mkuu, achana na vijukwaa vya wazee wa SISIEM huko ongelea masuala ya propaganda za chama chako, siyo masuala nyeti kama DOWANS, MIGOMO YA WANAFUNZI, MISHAHARA... au mzee unaogopa challenges toka kwa waandishi? Huoni wenzako.
Sasa ndg yangu umeanza kutubore,maana inaonesha mna personal conflict na boss wako,sasa hizo issue zenu kutuletea kwenye hii BLOG cc hazituhusu,wewe zungumza issue za kijamii zinazotugusa watu wote bila ya kujali ni kutoka katika Org hipi.
Nimeguswa sana na mtazamo chanya wa proffesor Safari (ktk pindi la this week in perspective) kuhusu tendo la wabunge wa chadema ku-walk out bungeni. Mwanazuoni huyo ameonyesha ku support ushujaa huo wa wabunge wa CDM kwa kutazama dhumuni na si tendo peke yake. Huyu ni tofauti na wengi wasio...
hakuna cha kushangaza hata makaburi yanapakwa rangi na kupandwa maua pamoja na kuwa ndani imehifadhiwa mifupa ya mfu. Kwa upande wa simba wa vita ni kweli anastahili tuzo hiyo.
Mmh!...I doubt if mr. president is real serious. jina kama Hawa Ghasia kuendelea kuwepo kwenye wizara inayosimamia maliasili muhimu kama wafanyakazi ni udhaifu mkubwa kwa aliyemweka hapo. uhusiano wa serikali na wafanyakazi bado ni tete, anahitajika mtu serious na siyo Ghasia ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.