Ndani yake unakutana na newton's laws of motion, circular motion,projectile motion, fluid mechanics, gravitational..,
Kwa uchache nadhani kuna vingine nimesahau
Nami nilienda kwa mama ntilie kula ugali ile naagiza ugali nyama analeta ugali dagaa,anadai kakosa nyama siku hiyo saa nne tu asubuhi mabucha yote hakuna nyama
Hapo mawili, ng'ombe zilichinjwa chache ama wageni wengi sana sasa mjini
Kwa sasa moja kwa moja ukitaja neno mkeka utaeleweka unazungumzia kikaratasi(receipt) baada ya kubet, lakini vijana wengi wa sasa hasa dada zetu hawajui mkeka ni nini ama ukindu ama ukili.
Wakina dada na mama zetu huko nyuma hii ndio ilikuwa kitu cha kufanya wakati wa mapumziko, ila kwa sasa...
Anampongeza kwa lipi??
Hizo mita za umeme wa rea zinefungwa na wao wenyewe,zipo karibia kila nyumba huko ambako umeme wa rea umeshapita, kinachofanyika ni kusubiri mwenyewe nyumba atakapolipia malipo kidogo sana ndipo anaunganishiwa umeme uwake.
Hapo Ingekuwa waziri anampongeza huyo mama kwa...
Naona kwa sasa imeshakuwa rasmi vazi la suruali kuvaliwa na wanawake, si jambo la kushangaza tena kama ilivokuwa zamani.ningependa kujua bado kuna wazazi wanalishikia bango hili jambo.
Habari wakuu, si mnajua siku hizi ni mwendo wa masinki tu huku kitu unakiona kabla hujakisindikiza na maji..
Sasa unavoona maharage yakiwa mazima kabisa tatizo ni nini?
Najaribu kulinganisha namna ya uongeaji wake kati ya baraza la wafanyabiashara la mwaka jana na lile la juzi naona kuna tofauti sana, mwaka jana ilikuwa 'tone' kali sana ila mwaka huu unaona kuna ka unyenyekevu kidogo kameonekana.
Mkijitahidi katika jiji la Dar es salaam msikate umeme japo mwezi mmoja, msikate hata mara moja, nitawapa zawadi nono sana, ntahamasisha na wengine wote waungane nami.
Kwa hali inayoendelea, idea ya Maandamano imefanikiwa sana hata kama watu hawatajitokeza mabarabarani..
Serikali inapoambiwa kuna Maandamano lazima iulize kwa nn waandamane? Hivo inajua sababu za wananchi ila hawana majibu zaidi ya vitisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.