Search results

  1. Arsene Dom

    nisaidieni nini maana ya mazingira ya uwekezaji? labda tanzania ni tofauti na dunia?

    kila mara nazikia hili neno "mzingira mazuri kwa uwekezaji" kutoka midomoni mwa vio-ngozi "wetu" watanzania.. mimi kwa kuangalia jinsi mambo yanavyokwenda hili neno kwa "vio-ngozi" (viongozi) wa nchi hii ya wadanganyika (tz) linamaanisha kama nitakavyoainisha hapo chini 1. kufukuza wazawa kama...
  2. Arsene Dom

    Wabunge wa chadema wametuonyesha njia sahihi

    ningependa kuwapongeza wabunge wa CHADEMA kwa uzalendo walioonyesha katika kutetea haki na usawa katika nchi hii . najua kutakuwa na maneno mengi ya kuwakatisha tamaa but keep on doing right things at the right time. i give special credits to mr MBOWE for his successful actions what to do now...
Back
Top Bottom