Search results

  1. D2K

    Dodoso refu Vs fupi

    Habari za asubuh wana Jf,kiukweli hizi habari za sensa zimenichosha ila inanibidi tu niulize kutokana na kukosekana kwa ukweli wa mambo kutoka kwa hawa watu waliopewa dhamana ya kusimamia ili zoezi huku ngazi za chini. Huku kwetu bado ha2jaanza semina na ambayo hapo awali 2liambiwa 2ngeanza leo...
  2. D2K

    Ni Internship vs Volunteer

    Tanx kwa ushauri wenu ndugu,nitaufanyia kazi.
  3. D2K

    Ni Internship vs Volunteer

    Habari za asubuh wanaJF, ni mmoja kati ya wa2 wanaoathiriwa na ugonjwa wa ukosefu wa AJIRA hapa nchini hvyo nimekaa na kufikiria nikaona ni bora niombe ku2mikia ofic za watu hata kama ctalipwa ili mradi ujuz nilio nao ucje ukapotea,swali je natakiwa niandike barua ya INTERNSHIP au VOLUNTEERING?
  4. D2K

    TPA vipi?

    king2 labda mfumo wa tz ha2ufaham vema,ukwel ni kwmba tz sehemu nyngi kaz hutangazwa wkt tayar znawa2,kwa taarifa 2 kuna wa2 wa3 ambao wamemaliza udom dis yr kwa majina nawahfadhi wameshachukua hadi mikataba(contract) kwenda kusaini kwa kazi ambazo interview yke itafanyika kesho hpo TPA.
  5. D2K

    Division 111 ya 25 female

    Kaka ckushauri wala usimshauri ku-reseat huyo dada etu, coz kuna uwezekano mdogo sana wa kupata crdt as far as i know kuwa siku hizi hakuna ku-reseat somo moja wala ma2 ni lazima afanye yote so anaweza akapoteza kabisa hata hzo crdt mbili alizonazo.Labda anachotaka ni kwenda Advance tuu ili...
  6. D2K

    Usawa uko wapi...?????

    Jana 2 tulishuhudia Mwananchi wa kawaida aliyekuwa akidaiwa kodi ya pango na NHC akitolewa nje na nyumba kuvunjwa,leo 2naona wizara ikiwa inadaiwa 391mil. na shirika hilo wakitolewa nje vi2 vyao 2 tena pasipo usumbufu, usawa uko wp katka hili, kwann hawa nao wasivunjiwe..??? Nani alaumiwe...
  7. D2K

    Kutoka ITV: Mjadala kuhusu DOWANS; wachangiaji wataka maandamano nchi nzima

    Tanesco ikae kitako na dowans ipi hali ya kuwa hawajulikani.? HAKUNAGA .......
  8. D2K

    Kutoka ITV: Mjadala kuhusu DOWANS; wachangiaji wataka maandamano nchi nzima

    Frankly spkn i hate to be born in dis c ountry, b4 ha2jaamua kuandamana kwanza ningeomba 2ingie vijijini ili 2wajuze ndugu ze2 wa pande hzo athari zitakazotokana na kulipa madeni haya kwa maslah ya wa2 wachache,maana wengi wanasema 2andamane 2 wakati huko vijijini hawajui kinachoendelea Tz hii...
  9. D2K

    KURA ZA MAONI: CCM yazidi kupanda chati, CHADEMA ya pili

    2leteeni mambo ya msingi!
  10. D2K

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Hapo alimaanisha wale wanaojiita wasomi,ambao ni jamii moja na hao wa "DODOMA" na sidhani kuwa hilo tamko ni la hao wa dodoma ,bali ni wale wa "UDOM" maana hakuna asiyefahamu kuwa chuo chenyewe kimeanzishwa kisiasa!
Back
Top Bottom