Search results

  1. Boloyoung

    Popcorn machine ya umeme inauzwa

    Popcorn machine ya umeme inauzwa imetumika kidogo iko na hali nzuri Location : Kunduchi Bei 1 80,000 0655 854563
  2. Boloyoung

    Mtu aliyeua chui kwa mikono yake

    Mtu alieua chui kwa mikono yake anasema, “Nilikiona kifo machoni. Nilisimama huku nikiwa nimekunja ngumi nikiwa tayari kupigana mithili ya bondia. Nilijiambia kwamba mmoja katiyetu lazima afe." Haya ni maneno ya kishujaa ya Ndumiso Mona ambaye alipambana na chui anayedaiwa kutoroka kutoka...
  3. Boloyoung

    INAUZWA Popcorn machine ya umeme inauzwa

    Ipo na hali nzuri sana Ilitumika kidogo sana ikawa imekaa ndani Bei 220,000 Location- Kunduchi
  4. Boloyoung

    INAUZWA Popcorn machine inauzwa

    Electrical popcorn machine inauzwa, Ipo katika hali nzuri sana ilitumika kidogo ikawa imekaa tu ndani Bei 200,000/= (haipungui) Location: kunduchi mtongani Call 0762 854563
  5. Boloyoung

    Niulize chochote kuhusu popcorn machine

    Zipo za aina 2 ya gas na ya umeme
  6. Boloyoung

    Askari hadi kwenye mkaa

  7. Boloyoung

    Nauliza swali dogo tu

    Mwanamke mzuri ni Tabia na Mwanaume mzuri je???
  8. Boloyoung

    Nini kimemuua chura?

    Ukimweka chura kwenye maji na ukaanza kuyachemsha maji, kadri joto la maji linavyozidi mwili wa chura utakuwa unajibadili joto lake pia kuendana na lile la maji. Chura ataendelea kuongeza joto la mwili wake kadri maji yanavyozidi kuchemka. Maji yatakapochemka sana ( yakifikia boiling point)...
  9. Boloyoung

    MAMBO 10 MAGUMU YA KUFAHAMU KUHUSU WANAWAKE...

    1. Mwanamke ni kama shule, kamwe hauwezi hitimu. 2. Mwanamke anahitaji matunzo na kujaliwa usipofanya hivyo unakaribisha wengine kufanya hayo. 3. Cheti chako cha ndoa yako na yeye sio "leseni ya udereva" ni kibali cha kujifunza. 4. Inachukua muda kidogo mwanamke kukuamini, ni vigumu kumbadili...
  10. Boloyoung

    Big up kwa madaktari 258 furahieni matunda ya ujasiri wenu

    Kwa mujibu wa wataalam wa saikolojia ya mafanikio adui mkubwa wa mafanikio ya binadamu huwa ni hofu na woga wa kuthubutu unaoigubika akili yake. Hili limethibitika katika ujasiri wa madaktari wazalendo ambao pamoja na kujazwa hofu walijitoa kwenda kufanya kazi nchini Kenya bila kujali lolote...
  11. Boloyoung

    Wahenga

    Wahenga walisemaga eti ukimcheka mtu unakuwa kama yeye sasa ngoja mie leo nicheke "Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] BAKHRESA hahahahahaha[emoji14] [emoji13] hapo ndo utajua kwanini WAHA wakitaka kuvuka barabara huvua viatu na kuvishika mikononi.
  12. Boloyoung

    The world of technology

    Vip tukaiga na sisi ili tupunguze gharama za sensa na takwimu mbalimbali kama kujua idadi ya vifo, magonjwa mbalimbali yanayowakumba watu bila kwenda hospitali, kupiga kura bila kwenda kituoni, kupata taarifa za afya bila kwenda hospitali nk Maelfu ya raia wa Sweden wameanza kuwekewa microchip...
  13. Boloyoung

    Check milestone za maisha, uko wapi kwa sasa na umetimiza kulingana na umri ulionao?

    20 - 25 = iwe kama ni kielimu hujafikia malengo yako, sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya, pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako. 25 - 30 = Hakikisha uwe na angalau SHUGHULI RASMI kama umeajiriwa au umejiajiri kama Medical rep supervisor au shughuli...
  14. Boloyoung

    Neno moja kwake mtu huyu!

  15. Boloyoung

    Mimi sicheleweshi wewe je???

    Ivi ikitokea umetongozwa na demu utakubali hapo hapo au na wewe utasema ngoja nikafikirie?
  16. Boloyoung

    Maisha ni safari

    Lori lipo safarini
  17. Boloyoung

    Waache waoaneeeeeeee!

  18. Boloyoung

    Ni nchi gani duniani zinaongozwa na profesa?

    Kuongoza nchi si kitu cha mchezo akili nyingi inahitajika ili kuweka mambo sawa. Profesa ni mtu mwenye akili nyingi kwaiyo kigezo kikiwa raisi wa nchi lazima awe profesa labda matatizo mengi yanaweza kupungua au kwisha kabisa.
  19. Boloyoung

    Kijana akitumikia viboko 70 baada ya kutohudhuria msiba wa ndugu yake

    Ukoo wa Urio Meru kijana akitumikia viboko 70 vya makalio baada ya kutohudhuria msiba wa ndugu yake akaenda kufanya kazi yake ya bodaboda. Tengeru, Arusha
Back
Top Bottom