nanunua mahindi ya bisi (popcorn) kwa wapemba mwaka wa 6 sasa zamani hali ilikuwa tofauti lakini saiv ukinunua 2kg karibia robo inapungua hawa wapemba ni wakristo? Huu mchezo wanafanya wafanyabiashara wote
Mtu alieua chui kwa mikono yake anasema, “Nilikiona kifo machoni. Nilisimama huku nikiwa nimekunja ngumi nikiwa tayari kupigana mithili ya bondia. Nilijiambia kwamba mmoja katiyetu lazima afe."
Haya ni maneno ya kishujaa ya Ndumiso Mona ambaye alipambana na chui anayedaiwa kutoroka kutoka...
Electrical popcorn machine inauzwa,
Ipo katika hali nzuri sana ilitumika kidogo ikawa imekaa tu ndani
Bei 200,000/= (haipungui)
Location: kunduchi mtongani
Call 0762 854563
Zote ya gas na ya umeme zina ufanisi sawa kutoa bisi nzuri inategemea na upishi wako hasa zile za sukari maana ndo zina mbwe mbwe sana!
Sasa katika uchaguzi wako itategemea na mazingira yako ipi utaona inakufaa ya gas au ya umeme
Gharama za uendeshaji
Machine ya gas ina gharama ndogo za...
Pia popcorn machine ya umeme inawezekana ikabadilishwa ikawa ya gas kwahiyo Kama unayo ya umeme na unahitaji ya gas huna haja ya kununua ingine hiyo hiyo inabadilishwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.