Search results

  1. MwanaIFM

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    mkuu msaada na mimi kuna shida huu mfumo kama wanaweza kunisaidia. PM yako umefunga
  2. MwanaIFM

    Gari inauzwa

    Pamoja mkuu. Naona watu wengi wanadhani wote ni madalali wakati ukweli ni kwamba kuna watu wana shida na pia wenye uhitaji. Uwe na heri ya mwaka mpya
  3. MwanaIFM

    Gari inauzwa

    Ni kweli mkuu hizo ni gari za kazi haswa kama ni mtu wa kazi. Nimekua naitumia kwa safari za Iringa Kilosa na haijawahi kunisumbua. Nina shida tu imenikuta inabidi niagane nayo nikaimarishe kilimo
  4. MwanaIFM

    Gari inauzwa

    Hivi Munawar aliwakosea nini wakuu. Naomba usiharibu uzi wangu. Nna shida nataka kuitoa hiyo gari Shukran
  5. MwanaIFM

    Gari inauzwa

    Toyota Hilux Surf for sale. Milion 8. Good condition. Iko Iringa. Maongezi yanaruhusiwa. Call or watsapp 0622261026
  6. MwanaIFM

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Asante mkuu. Kwa sasa ntaanza na sembe na Dona. Ila business plan yangu ya kukuza nataka niwe natengeneza dona sembe na muhogo ndani ya 3years.Kuna masoko flani nafukuzia nchini India ya muhogo. Tuombeane
  7. MwanaIFM

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Ndio kuitumia kwa muundo niliwekwa Mimi unafanya one thing at a time lakini kumbuka mota ya kusaga ni kubwa kuliko ile ya kukoboa Bei hizo ziko juu sana lakini haswa tumia za Sido kwa vinu mota ndo uingoe Dukani sijajua unataka gharama za mashine yenye nini na nini. Kuna umeme hapo? 3Phase...
  8. MwanaIFM

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Pitia I a pia katika uzi wangu huu. Utajifunza mawili matatu. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/971196-nataka-kuanzisha-kiwanda-cha-kusaga-nafaka.html#post14608392
  9. MwanaIFM

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Get angry get insipired. Kuwa mvumilivu,na cha muhimu kuliko vyote penda unachofanya. Mimi nimeipenda hii kazi tayari na hata ukiniambia nikaajiriwe BOT ntatosa. Sema kuna changamoto nyingi na ndio nataka tuelezane changamoto kwa wazoefu. Sema hawaji na mimi sijioni km mzoefu bado. Nataka...
  10. MwanaIFM

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Asante sana mkuu. Ndo hivo matatizo yanakukomaza sio kukaa kulia lia. Unapambana. Asante sana Ila nashangaa thread za huku hamna wachangiaji
  11. MwanaIFM

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Asante mkuu tunakaza hivo hivo. Miaka 3 baada ya kumaliza chuo na degree mkononi ukiendelea kusubiri ajira utaumbuka mtaani
  12. MwanaIFM

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Hamna uzoefu katika maisha. Na hamna uzoefu kwenye biashara pia na siku utakayojiona we ndio mzoefu ujue ndio siku utakayoanguka. Nimeiweka hapa hii ili niendelee kujifunza zaidi haswa katika masoko na pia mbinu mpya. Hapa wanapita watu mbalimbali mkuu. Natumai umenielewa. Mwenye kutaka...
  13. MwanaIFM

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Mkuu mashine ya kusaga na kukoboa sijaagiza kutoka nje. Hii niliinunua kutoka kwa mstaafu mmoja wa Relwe(TRC) mwaka 2010 nikiwa chuo. Nilinunua kinu cha kukoboa na kinu cha kusaga na mota moja niliyoifunga katikati kwa vinu vyote. Mota yangu ni ya 20hp nilinunua kwa sh.700,000.Hivyo vitu vingine...
  14. MwanaIFM

    Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Sasa hivi zamu ya Zanzibar manaake yule jamaa hata mkisema zamu ya walemavu anaweza akajitengua mguu aje kilema siku ya uchaguzi. Ni bora akapumzika tu
  15. MwanaIFM

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Mimi ni mlimaji wa mahindi na pia ninategemea kuwa mzalishaji wa kati wa bidhaa za mahindi. Niko Dodoma na nnazifahamu ABC za biashara ya mahindi hapa.Tuwasiliane
  16. MwanaIFM

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Habari za jioni wakuu Ninaombeni mawazo yenu. Niko kwenye mchakato wa kuanzisha kiwanda rasmi cha kusaga na kufungangasha unga wa nafaka mbalimbali. Nina mashine ya kusaga mahindi mkoani Dodoma na nilikua nafunga na kuuza unga kienyeji vijijini. Sasa nimeamua kuifanya iwe rasmi kabisa na Mungu...
  17. MwanaIFM

    Mapenzi Ya Kikauzu!!

    Tafuta chanzo mkuu! Kama hakua hvyo kabla then ujue something is cooking chini kwa chini
  18. MwanaIFM

    Nyerere's grandson fight for Africa's image abroad

    damn it!!!!why is there always a negative approach to something productive???the sick comments on this topic are all just because the guy is nyereres grandson...well i think that the guys have a dream and atleast someone gives a fu** about this country and there doing something unlike others...
Back
Top Bottom