Ma RPC wamegeuka kua wana CCM. nchi hiii inashangaza sana tunakoelekea kubaya Zaidi.
Ni aibu sana kwa police kujihusisha na siasa badala ya jukumu lao la kulinda raia na mali zao.
wanajenga chuki ambayo itakuja kuzaa uhasama mkubwa sana.
ni mawingu yaliakisi mwanga wa jua wakati likizama hakuna cha ziada hapo.kwa wenzetu magharibi wana kitu wanaita nothern light huonekana wakati wa majira ya baridi wakati huo jua huchomoza magharibi na kuzama magharibi kwa muda wa saa nne tu.
Mtoto anapodhani mali za babake ni zake siku atakapogundua katika wosia hajahusishwa hugeuka kama kirusi cha corona kinamshambulia yoyote: one day polepole atajigundua Anayofanya sasa ni upotovu ktk maisha yake:
Sent from my iPhone using JamiiForums
TBC katika
Matangazo yenu mnajinadi kuweka mitambo Namanga na Rombo. Nimebahatika kufika Rombo mwishon mwa mwaka jana sijayasikia matangazo yenu. Nimefika tarakea nkaisikia kwa mbali TBC FM na taifa kusogea hadi Tarafa ya usseri usikivu unakomea hapo. Nkajiuliza tambo zote za nini? Iweje radio...
Nliambiwa ni fedha za world bank na serikali inachangia kidogo
Mkakati wa kuzijenga umeanza tangu awamu ya JK
Awamu hii inabidi wafanye maboresho makubwa zaidi na waboreshe maslahi ya wafanyakazi wao ikiwemo
Kuwapandishia madaraja na mishahara ili waepuke rushwa.
Uboreshaji wa mahakama
Uendane...
You need deliverance my brother. La kukosoa likosolewe. SGR yetu imefika zaidi ya moro kuna haja gan kutumia picha za kenya? Nahisi hujawahi kuvuka
Mpaka wa [emoji1241]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.