Search results

  1. Lizarazu

    Debate: Kuajiriwa Vs Kujiajiri

    Awamu hii aliyejiajiri na aliyeajiriwa wote wanacheza mayenu kwenye sinia moja tu. Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  2. Lizarazu

    Hakuna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento (Pele)

    Umeelewa lakini nilichokiandika? Hata huyo refa mwenyewe anaongozwa na Sheria. Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  3. Lizarazu

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Kuoa single mother(mke wa mtu) kwanza ni tusi kubwa sana kwa mabinti waliojitunza hawajazalishwa bado, wanasubiri wanaume wa kujenga nao familia. Yaani unaacha wanawake fresh kabisa halafu unaenda kuoa mtu ambaye tayari ameshaingizwa labor na mwanaume mwenzio!??? Haloo no fedhea kubwa sana...
  4. Lizarazu

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Ñdio Nini Hiki ulichoandika??? BTW, acha kusambaza uzushi na chuki za kipuuzi. Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  5. Lizarazu

    Hakuna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento (Pele)

    Ni kweli kipindi Cha Pele game ilikuwa physical Sana... Na hapakuwepo na sheria za kuwalinda wachezaji Kama hii leo. Mfano tackling from behind ilikuwa inaruhusiwa na ilikuwa ni kawaida sana kufanyiwa tackling na wachezaji wawili kwa wakati mmoja, kuvunjwa mguu ilikuwa ni kugusa tu. Lakini pia...
  6. Lizarazu

    Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

    [emoji1787][emoji1787]Mterraz mwehu sana Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  7. Lizarazu

    Tanzania 'using Twitter's copyright policy to silence activists'

    Kuna ukweli kwenye hiyo speculation. Zitto ana uhusiano Sana na Kigogo Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  8. Lizarazu

    Tanzania 'using Twitter's copyright policy to silence activists'

    Kama ulinielewa vizuri niliposema Kama kigogo tu pekee anaweza kupata taarifa muhimu za mipango ya siri ya serikali, je kwa magaidi au watu wenye nia ovu na serikali itakuwaje!? Kwa ufupi hapo nilimaanisha serikali yetu hii na taifa zima kwa ujumla tuna weakness kubwa sana yaani tuko uchi na...
  9. Lizarazu

    Rais Magufuli nisikilize kwa makini, Sitaki upoteze muda bure

    One man show kind of government. Pengine haya yote alishashauliwa yakawekwa kwenye recycle bin
  10. Lizarazu

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Na wewe mangi unarusha tuhuma za ukabila kwa msukuma tena kwenye suala la ajira? Kuna mtu ambaye anajari watu wa kabila lake linapokuja suala la ajira nchii hii Kama mchaga????????? Kwanza tunapoongelea ukabila kwenye taifa hili, mchaga awe ni mtu wa mwisho kabisa kuwanyooshea wenzake vidole...
  11. Lizarazu

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Umeelezea vizuri mkuu lakini hawa majogori sidhani watakuelewa. Hawa majogori wanachojua wao wasukuma ni watu wa kuchunga ng'ombe tu, hawana shule na hakuna lolote wanalojua na wakipewa nyadhifa yoyote serikalini basi ni upendeleo na sio kwa sababu za kitaaluma. Lakini binafsi siwalumu sana...
  12. Lizarazu

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Wengi wa hao wanaowatuhumu wasukuma kwamba ni wakabila unakuta hawajawahi hata kuishi na wasukuma. Kwanza wanamtumia Magufuli Kama kielelezo Cha wasukuma wote, kitu ambacho ni upumbavu mtupu. Yes, Magufuli anaweza akawa ni mbabe,mkali na mkabila lakini aimaniishi kwamba hizo ni tabia za...
  13. Lizarazu

    Vijana poleni sana!

    Basi tupeane michongo sio kutupa pole ya kinafiki wakati na wewe ni wale wale mlioko kwenye payroll ya almashauri.
  14. Lizarazu

    Tanzania 'using Twitter's copyright policy to silence activists'

    Mbona inafahamika aliyepo nyuma ya hiyo account ya kigogo ni Zitto na crew yake sema serikali bado inatafuta uthibitisho usio na mashaka ichukue hatua rasimi. Sambamba na Hilo, kitendo cha serikali kusumbuliwa na huyo mtu mmoja tu kwa kipindi chote hicho tena kwanjia ya mtandao, kinaonesha tuna...
  15. Lizarazu

    Nakupenda sana mpenzi wangu Dayana ila unanikosea sana

    Yeah!! She's never yours, the only time she is yours is when she is around you, hence make sure you enjoy her to the fullest when she is yours before she transfer that temporary ownership to another dude. Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  16. Lizarazu

    Nakupenda sana mpenzi wangu Dayana ila unanikosea sana

    "SHE IS NEVER YOURS, IT IS JUST YOUR TURN" Ukiishi kwa kuamini hii falsafa utajiepusha na maumivu yasiokuwa ya lazima. Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  17. Lizarazu

    Wanaume wana mbinu, Wanawake wana mitego

    Basi sawa nimekuelewa. Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  18. Lizarazu

    Wanaume wana mbinu, Wanawake wana mitego

    Kwa hiyo wewe umetumia akili yako na ukagandua kwamba akina Petro walikuwa ni wapiga nyeto tu Sio?? Yaani akili zako zina usahihi zaidi kuliko maandiko[emoji44][emoji44][emoji44] Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  19. Lizarazu

    Jinsi ya kumvuta Mwanamke bila hata kutumia shilingi

    Special thread for SIMPS and MANGINAS. Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  20. Lizarazu

    Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

    Wanawake wanavutiwa na wanapenda kuzaa na mwanaume mwenye alpha elements. Na mara nyingi hao bad boys ndio wanazo hizo alpha elements. Mwanaume ukiwa mstaarabu sana wanawake wanakuona dhaifu na unaboa, na hawapendi kuzaa na mwanaume wanaemuona ni dhaifu. Sema mara nyingi hao wanaume...
Back
Top Bottom