Search results

  1. anti-fisadi

    Membe anatakiwa kuchukuliwa hatua kwa ufisadi huu alioufanya

    Kalewa dozi huyu,muache mfa maji. Ngoja ahame kweli ndio kiama chao kije
  2. anti-fisadi

    Membe anatakiwa kuchukuliwa hatua kwa ufisadi huu alioufanya

    Pumba tupu huyu aliyeanzisha thread hii
  3. anti-fisadi

    Rais Magufuli, Nani amempa kibali mkurugenzi huyu wa Nokia - Vodacom? Nani yupo nyuma yake?

    Hii ni aibu kwa taifa letu wenyewe kunyanyaswa watakavyo,badae watucheke. I hope serikali itaifanyia kazi hili, hao wachache wala hongo watawajibishwa
  4. anti-fisadi

    Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/964540-kuepusha-shari-ushauri-wa-bure-kwa-mbowe-tume-ya-taifa-na-ccm-kuhusiana-na-kuaminiwa-kwa-matokeo.html huyu MMM kaweka ushauri ulio sawa na fair
  5. anti-fisadi

    Kuepusha Shari: Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Tume ya Taifa na CCM Kuhusiana na Kuaminiwa kwa Matokeo

    MMM katika hili tupo pamoja,tungeomba NEC waweke wazi palipo na lawama na vilevile Ukawa waweke wazi matokeo walio na utata nayo ili iamulike mapema na kwa amani #tanzaniakwanza
  6. anti-fisadi

    Kuepusha Shari: Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Tume ya Taifa na CCM Kuhusiana na Kuaminiwa kwa Matokeo

    MMM katika hili tupo pamoja,tungeomba NEC waweke wazi palipo na lawama na vilevile Ukawa waweke wazi matokeo walio na utata nayo ili iamulike mapema na kwa amani #tanzaniakwanza
  7. anti-fisadi

    Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    kimevurugikaje na ukawa wamesema wana vituo vingi zaidi? ndio maana wanayo matokeo mengine ambayo ni tofauti na hayo waliyonayo NEC, hebu tuwasikilize kwanza au haki ya kusikilizwa haipo tena?? wategemee tume ambayo hawana imani nayo. Na wasiwasi na hichi kiwewe
  8. anti-fisadi

    Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    aisee Mbowe akomae,tumechoka kuburuzwa buruzwa na kuhubiri amani ambayo amani yenyewe ni kukubaliana na chama tawala na serikali yake. haki iko wapi kama uhuru wa kujadili matokeo haupo?? tuache ushabiki wa kisiasa, hoja za Mbowe zijibiwe na NEC ili wananchi wapate imani na hili swala
  9. anti-fisadi

    Fursa zipi zipatikanazo kwa wajasiriamali pindi kiwanda cha cement kifunguliwapo?

    habarini wadau, Pengine katika kujiongezea upeo, kwa wale wenye exposure zaidi. Ningependa kujua fursa zipatikanapo kwa wajasiriamali wadogo kwa wakubwa, maana nchini kumekuwa na viwanda vingi vya cement vinafunguliwa katika mikoa tofauti
  10. anti-fisadi

    Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Huo ni upuuzi, hata mimi nishaliona hili haiwezekani ni fitna za wazi.wasubiri kimbunga kiwapitie
  11. anti-fisadi

    Ninalaani vikali udhaifu wa Kiti cha Spika na aibu ya Taifa letu

    Spika na naibu wake wanafaa kuchapwa viboko
  12. anti-fisadi

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    huyu mtu alikuwa anajua camera ilipo..watanzania tusifanywe wajinga hapa!! fake bongo movie
  13. anti-fisadi

    Uhuru Kenyatta atashinda kwa 50.42% na Raila 45.15%...na ameshinda kwa 50.03%

    hawa wakenya ni bora wafanye sensa tu,wakijua kabila lenye idadi kubwa lichague raisi..huku ni kupotezeana muda tu...
  14. anti-fisadi

    Wachina wamiminika nchini, kulikoni? Immigration wanatoa vibali kiholela?

    Baba Junjo, tena inashangaza hawa wachina wapo mpaka balozi zetu; nenda uingereza pale ubalozi wa tanzania passport yako itachekiwa na mchina, mchina kabisaa!! nashindwa kuelewa nchi yetu inaelekea wapi?
  15. anti-fisadi

    Wachina wamiminika nchini, kulikoni? Immigration wanatoa vibali kiholela?

    takribani wiki sasa imekuwa ikionekana ndege zikishuka na wachina lukuki na airport kujaa kama vile tupo beijing!! kulikoni jamani?? ndege aina ya boeng imejaa wachina zaidi ya mia mbili kama wanavoonekana pichani hapo ni vipi? je wamekuja kwa visa ipi? utalii? kazi? Hivi sasa sie kupata vibali...
  16. anti-fisadi

    Vodacom tz kwafukuta..

    nimesikitika sana kuona jinsi hii mada ilivyochangiwa! wengine wametokea kuwachafua baadhi ya wafanyakazi wa voda/nsn tofauti na mada ilivoelekeza, hii inaonyesha ni jinsi gani watanzania hatupendani kwa hali yoyote. Nilitegemea kama huyo mwenye mada tofauti angeianzisha kimpango wake kukidhi...
Back
Top Bottom