Search results

  1. nchasi

    Bei ya printer aina ya Hiti p750l

    Heshima kwenu wana JF Kama kuna mtu anaifahamu bei ya printer na zinakopatikana hasa Hiti P750L naomba kujuzwa kwa PM naomba msaada wandugu
  2. nchasi

    Somo la Fizikia laelekea kukosa walimu

    Ndugu wana JF habari za majukumu ya kulijenga Taifa letu! Katika utafiti wangu mdogo kwenye shule kadhaa za kata nimejionea mwenyewe na kugundua kuwa mbali na uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi na mahesabu (BIOLOGY, CHEMISTRY, PHYSICS & B/MATHS). Lakini uhaba wa walimu wa hili somo la Physics...
  3. nchasi

    Vipaumbele vya CCM vinaleta matumaini kwa watanzania wa karne hii

    Wandugu naombeni full text ya vipaumbele vya ccm ili nipate kulinganisha na vya ukawa. Natanguliza samahani maana heading haienfani na content.
  4. nchasi

    Wimbo wa mukaanga sumu kumnadi lowassa

    Wandugu nitapataje wimbo wa huyu jamaa kumnadi raisi mtarajiwaaa? Mwenye link tafadhali sana naomba msaada
  5. nchasi

    Inawahusu walimu wote Sekondari na Msingi Tanzania, tafadhali soma ni muhimu sana

    Ndugu walimu wote Tanzania! Hongereni kwa kazi ya ujenzi wa taifa hususani katika kukuza vijana kitaaluma na maadili bora. Aidha niwape pongezi kwa uvumilivu wenu maana mmechagua kazi yenye changamoto nyingi sana mfano mazingira duni, maslahi kidogo yaliyoambatana na makato lukuki nk. Ndugu...
  6. nchasi

    Mnyonyaji mkubwa wa walimu ni cwt

    Ndugu walimu wote tanzania! Hongereni kwa kazi ya ujenzi wa taifa hususani katika kukuza vijana kitaaluma na maadili bora. Aidha niwape pongezi kwa uvumilivu wenu maana mmechagua kazi yenye changamoto nyingi sana mfano mazingira duni, maslahi kidogo yaliyoambatana na makato lukuki nk. Ndugu...
  7. nchasi

    Hivi shibuda yuko upande gani kuhusu escrow?

    Wanabodi tujiulize wote kuhusu mh. Shibuda naona ukimya umetanda kwa huyu mheshimiwa yuko "a" au "b" nasema hivyo kulingana na misimamo ya huyu mheshimiwa sana. Kama yupo ebu atuambie maoni yake juu ya escrow!
  8. nchasi

    Walimu tafadhali soma na usipuuze

    Usipopigania haki yako mwenyewe hakuna ambaye atahangaika na wewe. Ndugu walimu wenzangu hasa vijana maana wazee hawawezi kutuunga mkono wengi wao age yao ni 50 na kuendelea tgts zao ni e. Tukutane bungeni hapo tarehe 29 walimu wote vijana na cwt wadhamini magari ya usafiri kutoka wilayani...
  9. nchasi

    St. John's university wasaini boom mbele ya maafande

    Wanachuo wa St.JOHN's Dodoma wamesaini hela ya boom mbele ya maafande baada ya kushinikiza kwa mgomo. Kumbe mgomo una matokeo chanya wakati mwingine.
  10. nchasi

    Kampeni ya kuzuia harakati za uchimbaji wa madini ya uranium wilaya ya bahi.

    Ndugu wananchi, hasa wa Wilaya BAHI ninawasihi kwamba tusije tukathubutu kuridhia uchimbaji wa madini hatari sana ya Urani kwani madhara yake huathiri vizazi vingi sana. Kuna watafiti wengi sana kutoka mataifa mbalimbali ambayo yamepewa baraka na serikali yetu kwa kuwashawishi watu wa BAHI...
  11. nchasi

    ZITO KABWE NDANI YA ST JOHN'S UNIVERSITY G7. (karibuni)

    Peples power. Watu wote ambao wamejitambua, kesho tarehe 25.06.2011. Tutakuwa na kikao cha watu wote kutoka ukanda wa Kikuyu. Wanaohitaji kadi za CDM wote mnakaribishwa na mgeni rasimi ni MP Wetu wa ukweli Mh. ZITO KABWE. Karibuni sana ni majira ya saa 9 mchana mahali ni G7
  12. nchasi

    Wabunge wanaolipa uhai Bunge la Jamhuri ya Tanzania

    Jamani wanaja JF nawaomba/kuwasisihi tuwe wawazi, bila kuwa na itikadi, upendeleo wala ushabiki na ushushushu. Wabunge wa chama gani wanafanya maelfu ya watu kupenda kusikiliza/hata kuangalia bunge letu?. CHADEMA, CCM, CUF, NCCR, UDP, CCJ au chama gani.? Mimi bila kupendelea kama wasingekuwepo...
  13. nchasi

    Napiga hodi kwa wana Jamii Forum.

    Najiona kama ni mtu niliyekumbuka shuka wakati ni asb.kumekucha. Ni Mr TANO ATHANAS NCHASI. Kutoka Dodoma St. JOHN'S UNIVERSITY. Nawaomba wanaharakati tujuane jamani ili na mimi niwe active member. Ambaye atakuwa interested hata kwa contact ni { 0776934915 }. Ndani ya JF tufanye mambo kuleta...
Back
Top Bottom