Search results

  1. chichiboy1

    Nahitaji mchapaji wa vitabu

    Habari za majukumu wakuu, Kwa wale wenye ufahamu/uzoefu wa uchapishaji, naomba kufahamu mchapaji mzuri wa vitabu hapa Dar. Kuna kazi kubwa ya kufanya. Asante.
  2. chichiboy1

    Mwanamke Mashuhuri Afutwa Katika Historia na Wajinga

    Uuzaaji wa siroli (syrup) ulikuwa heshima kwa zawadi na vipaji vya mwanamke huyu. Sasa vizazi vijavyo hawatamtambua mwanamke huyu mzuri aliyekuwepo. Ni aibu. Dunia ilimfahamu kama "Bibi Jemima," lakini jina lake halisi lilikuwa Nancy Green na alikuwa kielelezo cha mafanikio ya kweli ya...
  3. chichiboy1

    Marekebisho ya visimbuzi vya Azam

    Kisimbuzi cha Azam kinajizima na kuwaka kinapotaka, ni wakala gani maeneo ya Chamazi anayerekebisha hizi vitu manake nilienda kwenye duka la wakala nilipokinunua (nilinunua mwezi September) fundi wao akasema nitoe elfu 25 abadili LNB na HDMI cable? Naona matangazo yanasema marekebisho ni bure...
  4. chichiboy1

    INAUZWA Heat press machine na epson printer laki nane tu!

    Hii ni offer kubwa kwa sababu nina uhitaji wa haraka wa pesa. Heat press machine iko full na vifaa vyake vya kuprint caps,mugs,plates (5in1) vipya. Na Epson L3110 imetumika kidogo sana ni kama mpya. Vyote jumla ni Tshs. 800,000/= tu! Tuwasiliane 0693153565
  5. chichiboy1

    Epson L810 printer for sale

    Nauza printer mpya Epson L810, inaprint picha, CD, ,business card za pvc n.k. Bei ni shilingi laki saba na nusu (750, 000). Bei ya shop ni mpaka mil.1. Nicheki 0713767579
  6. chichiboy1

    Anza biashara ya kuprint T-Shirts na vitu vingine kwa Tshs. 1, 700, 000 tu!

    Habari za majukumu wanajamvi. Kama uko interested na biashara ya kuprint t-shirts, kofia, vikombe, sahani n.k, njoo nikuuzie Heat press machine ambayo ni 4in1 pamoja na printer EPSON L810 kwa TSHS. 1, 700, 000/= (milioni moja na laki saba). Pamoja na vitu hivi, nitakupatia baking paper.
  7. chichiboy1

    Ni hatua zipi za kufuata ili kupata simu iliyoibiwa/kupotea?

    Habari za Jumamosi ya leo waungwana, Tafadhali, kwa mwenye kufahamu hatua za kufuata ikiwa unataka kuipata simu iliyopotea kwa kutumia IMEI# naomba anifahamishe. Hii ni baada ya kutoa taarifa Polisi.
  8. chichiboy1

    Uchaguzi 2020 Ni sahihi bajeti ya kampeni CCM kuelekezwa kwenye huduma za Afya ya Jamii

    Ni dhahiri kwamba kampeni za uchaguzi mkuu huambatana na gharama kubwa sana. Vyama vya siasa vimekuwa vikitumia gharama kubwa kuandaa mikutano, fulana, kofia, vipeperushi, takrima za hapa na pale n.k. Kufuatia janga la Covid19, ambalo linaonekana kuendelea kuwepo katika jamii, napendekeza, kwa...
  9. chichiboy1

    Je, inawezekana Kupata miwani ya macho kwa kutumia bima

    Habari za majukumu Wakuu? Napenda kuchukukua fursa hii kuuliza kama kuna kituo cha afya hapa Dar ambacho wanatoa miwani kwa kutumia bima baada ya kuwa umepimwa.
  10. chichiboy1

    External Hard Disk haisomi naomba msaada

    Habari wakuu, Nina external hard disk aina ya trascend 3TB ambayo imedondoka na kupasuka cover ya nje ambapo hata hivyo baada ya kudondoka imeendelea kusoma lakini baada ya muda imegoma haisomi kwenye devices ninazotumia japo inawaka taa inayoonyesha kuwa inapokea moto. Naomba kujua kama...
  11. chichiboy1

    MKOPO WA SAMANI KWA WATUMISHI

    Habari za kutwa wana forum. Kwa yeyote anayefahamu kampuni/duka linaloruhusu mkopo wa samani za nyumbani kwa watumishi wa umma naomba anifahamishe. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. chichiboy1

    House4Rent Inahitajika maeneo ya mtoni/mbagala/charambe

    Kama nilivyoeleza hapo juu, INAHITAJIKA nyumba ya kupanga. Kodi isizidi milioni moja (1,000,000) kwa miezi sita. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. chichiboy1

    House4Rent INAHITAJIKA MAENEO YA MTONI, MBAGALA, AU CHAMAZI MWANZONI

    Kama inavyosomeka hapo juu, inahitajika nyumba ya kupanga maeneo hayo niliyoyataja au karibu yake. Kodi isizidi milioni moja kwa miezi 6. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. chichiboy1

    Peaceful transfer of power is a foundation of freedom

    Quoted... "It is easy to place the blame for hardships on the shoulders of humanity’s leaders if they are not the leaders that you chose. In the minds of their opposition, a leader turns into an enemy; their mistakes turn into premeditated attacks; their human flaws turn into irreparable...
  15. chichiboy1

    Nauza kiwanja Toamgoma

    Kipo Toangoma mtaa wa Masaki ,sio mbali na stand kuu ya Toangoma na ni karibu na shule ya sekondari, ukubwa wa eneo ni futi 60 kwa 70. Hakina hati na bei yake ni tshs million Saba (7,000,000/=)..Nicheki pm kwa mawasiliano zaidi. N.B. Tunaweza kufanya exchange na Toyota ambayo ni Hatchback..
  16. chichiboy1

    TVS King used inajitajika

    Nahitaji pikipiki ya magurudumu matatu aina ya TVS King iliyotumika.
  17. chichiboy1

    Kwa nini tunavaa condom?

    Wanajamvi, Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
  18. chichiboy1

    Toyota Noah inauzwa

    Haihitaji dalali bei miln 13
  19. chichiboy1

    Naomba ufafanuzi: Fedha bandia ina thamani?

    Fedha bandia ina thamani?
  20. chichiboy1

    Land Rover Defender inauzwa Mil.15

    Piga #0713250276
Back
Top Bottom