Search results

  1. K

    Kampuni za Simu zaipongeza serikali kufikiria upya uamuzi tozo za miamala ya simu

    Watoa huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu iliyotokana na sheria mpya ya fedha kwa mwaka 2021/22, huku wakisisitiza kuwa uamuzi huo utaongeza chachu katika uwekezaji ndani ya sekita hiyo. Hayo yalibainishwa jijini Dar...
  2. K

    Kampuni za Simu zaipongeza Serikali kufikiria upya uamuzi tozo za miamala ya simu

    Watoa huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa Serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu iliyotokana na sheria mpya ya fedha kwa mwaka 2021/22, huku wakisisitiza kuwa uamuzi huo utaongeza chachu katika uwekezaji ndani ya sekita hiyo. Hayo yalibainishwa jijini...
  3. K

    Yuko wapi mtangazaji maarufu RAINFRID MASAKO yule wa ITV

    MARA YA MWISHO ALIKUWA DIRA TV KAMA BOSS
  4. K

    Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

    HILI JAMBO NI KWELI KABISA, KUNA MOJA IPO MAENEO YA MLIMANI CITY WALIMFANYIA HIVYO MDOGO WANGU ALIKUWA AMETOKA KIJIJINI NIKAENDA PALE NIKATAKA KUMTOA MTU ROHO, SHUKURANI KWA KIONGOZI WAKE AMBAYE ALIRUDISHA HELA NA KUOMBA MSAMAHA LA SIVYO LEO NINGEKUWA GEREZANI KIFUNGO CHA MAISHA AU KUSUBIRI...
  5. K

    Wameru kusema wao si Wachaga inashangaza sana!

    kwanza nimshukuru mleta uzi huu kwa kutambua uwepo wa wameru nasi tunapenda makiki pia, niseme tu mimi ni kaaya kutoka ndoombo jirani na akheri au nkuarua au sing'si unapandia hapa tengeru chini ya mlima meru ndiyo kwetu aisee, mbunge wangu joshua nasari wa mulala kule usa-river, sisi ni wameru...
  6. K

    Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    ACHA CHUKI BINAFSI WEWE
  7. K

    Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    SHIGONGO ANATAFUTA KIKI? BE SERIOUS BANA
  8. K

    Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    ni kweli hiyo ndiyo hoja ya msingi, watu wajifunze kujenga hoja waache kukurupuka
  9. K

    Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    hivi mkuu umefuatilia kinachosemwa? mtu akikupa ushauri wa huko uendako ili ujipange kuna tatizo? nyumbu ni nyumbu tu au ulitaka ampe ushauri au amsifie akishakufa?
  10. K

    Shigongo amuonya Diamond, amlaumu kutoza pesa nyingi shows za ndani...

    ukisoma maelezo ya shigongo between the lines utagundua ana hoja ni kiasi cha wahusika kuchukua tahadhari tu...OVA
  11. K

    St Mary's school nunueni magari ya wanafunzi

    Wakuu mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hizi shule ni miongoni mwa shule zenye usafiri bora kabisa ukilinganisha na hizo nyingine mtu unamuomba mungu tu mtoto aende na arudi salama
  12. K

    Kutoka Mahakamani: Scorpion afutiwa shtaka unyang'anyi wa kutumia silaha na kujeruhi

    Ufafanuzi please mimi sijaelewa msaada kwa wenye uelewa tafadhali.
  13. K

    Maajabu: Kanumba mpya huyoo!

    let's give him a chance. tuendelee kujenga utamaduni wa kuinuana with no payment
  14. K

    Mazishi ya Global Publishers...

    Mkuu current data zinaonyesha the sun linachapa nakala milioni 5 kila siku na saa 4 magazeti yamesha coz wana subscriber maalum ambao hawakosi kulisoma sawa na gazeti kama ijumaa, ijumaa wikienda, risasi, amani na uwazi kuna watu hata hawajui habari iliyoandikwa lakini wanamtuma mtu akalinunue...
  15. K

    Inauma sana lakini Lakuvunda halina ubani

    pole mkuu...hawa wadogo zetu hawasikii kabisa...RIP Uncle
  16. K

    Nataka kuoa mrembo wa KIMERU

    aisee kwansikurumbusa kwaasha denyi...mpaka siikyi...eka mbeee
  17. K

    Nani Mkali wa Rumba? Kati ya Ferre Gola na Fally Ipupa

    Fere gola noma sana hebu acha vita imana sikuliza 100 kilo...wee acha kabisaaa
  18. K

    SHow ya Wema sepetu. EATV

    Meeen tumpe muda. It's too earl kusema vibaya
Back
Top Bottom