Search results

  1. B

    Kwa hili wanandoa wa Jf "mpone" kwa Jina la Yesu Kristo

    Hivi mchungaji unaposema unachati kwenye jf nyakati unapokuwa job kiwandani unataka kutueleza kwamba muda wa kazi ndio unachati? Sasa kuna tofauti gani wale wanado ambao muda wa kulala wao wanachati?
  2. B

    Je, gari yenye spidi 240 inapitwa na ya spidi 180?

    Hata wewe ni wale wale! Mleta mada hajaeleweka maana gari inaweza kuwa na speed 240 lakini ikapitwa na yenye speed 120 kwa vile hii ya speed 240 inakimbia say 90km/h na huyu wa speed 120 anakimbia 100km/h unategemea nini hapo? Lazima anaetembea 100km/h ampite anaetembea 90km/h
  3. B

    Nini kimemsibu Anne Kilango?

    Mkuu unashangaa. Siasa za bongo Ukiwa point A hufai kabisa wewe ni mchafu najisi (unfit for human consumption) lakini ukihamia point B wewe uko msafi halali kabisa! Jamaa alisema hawa jamaa nawajua vizuri sana ni wezi wa kura lakini msihofu nyinyi lindeni kura za wabunge lakini zangu (urais)...
  4. B

    Nusrat Hanje: Viongozi wa CHADEMA hamjamtendea haki huyu dada, amedhurumiwa na hii si sawa

    After all kwani ni lazima afanye siasa? Atafutage na shughuli nyingine ya kufanya
  5. B

    Kuna faida gani kuwatengea wanawake "Viti maalum" 110 vya ubunge?

    Ushabiki wa vyama nimekoma aisee! Watu waliumizana kwenye kampeni na wengine walikufa kwa kukanyagana huko Morogoro lakini wengine wachache wanapenya kiulaini! Really politics ni mchezo mchafu
  6. B

    Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    Hivi akitaka kusema: "NASEMA SITAWAANGUSHA " in English atasemaje? Maana jana jipya
  7. B

    Mke wangu muda wote ni kulala

    Umesema kila kitu (majukumu) amemwachia beki 3? Ana mwonekano gani huyo mdada? Kama yuko vuzuri mwache shemeji aendelee kulala
  8. B

    Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

    Nadhani kwa wapiga mbizi. Aibu!
  9. B

    Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Kiinglishi bana! Teh teh! Hivi liquidator ni mnunuzi au mfilisi? Tusaidieni wasomi
  10. B

    Barua ya wazi kwa mheshimiwa Freeman Aikael mbowe

    Kwani unaposema hukubali kuiacha familia yako yatima unaona una msaada wowote kwao?(familia yako) Tangu lini kulakulala akawa na msaada kwa wengine zaidi ya mzigo! Koroboi!
  11. B

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Huyu mtoa mada sijampata kabisaa! Analalamikia nini? Maana kichwa cha habari anasema tujadiliane lakini mwisho wa siku anacomment mwenyewe! Shule bana!
  12. B

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Hivi Balali alienda kikazi US au alienda kivyake byake?
  13. B

    Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

    Wapi mama Janeth
  14. B

    Sikutegemea Wasira hataonekana

    Msisahau alishakuwa pia mbunge wa NCCR enzi za Mrema
  15. B

    Ni bora ufanye mapinduzi kuliko kupata mwanamke ambaye yupo single!!

    Sikubaliani mtoa hoja kwa sababu mkumbuke idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume itawezekana vipi wanawake wote wawe na wanaume? Uwezekano wa kumkuta single upo!
  16. B

    Wakazi wa Kibamba kufanya maamuzi magumu

    Wakuu kwa hilo umetokota. Mimi ni ccm damu lakini kwa hilo la maji tusimuhukumu mnyika maana hata akiingia mkangala tusitegemee maajabu kwenye maji. Mnyika alifanya juhudi zake. Tumuhukumu kwa kutotembelea wapiga kura wake kwa kipindi chote cha 5yrs
Back
Top Bottom