Search results

  1. K

    Matokeo ya Nagu yakibatilishwa, Dr. Slaa kugombea?

    hii ni injini mimi naiamini inaenda kuchukua jimbo ,kuhusu kutumikia chama tunao watu wengi wanaoweza kufanya kazi hiyo kama akina wilfred rwakatare wa bukoba mjini akina mpenda zoe wapo vijana wengi cha maana ni kuwapa tu direction msiogope sisi ni wapambanaji mi naamini huyu jamaa hawezi...
  2. K

    JK, Mrema Lyatonga na Mzee Yusufu wa Jahazi Mjengoni!

    huyo rais anajua kucheza ngoma tu kazi hajui
  3. K

    Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

    wewe mwanamke ni mpumbavu unaongea vitu visivo eleweka endelea kutanua mataja huko uk midume ifaidi umeshazieeka huna jipya chadema ni ya vijana na tutagoma milele ikikuuma sana kunywa sumu maana hata ukiishi huna faida yeyote
  4. K

    Elimu bure, matibabu bure kuanzia kilimanjaro 2010-2015

    chadema wamepata majimbo 3 mkoani kilimanjaro yaani moshi mjini,hai na Rombo.wamekosa jimbo la moshi vijijini,vunjo,same mashariki,same magharibi na mwanga.sasa nashindwa kukuelewa unavosema chadema imechukua majimbo mengi kilimanjaro wakati imechukua majimbo 3 kati ya name.Labda utueleze zaidi...
  5. K

    Mchungaji Rwakatare naye atoa tamko...

    huyo mama ni mcharuko hajui anachofanya ndio maana aliachika
  6. K

    Mchungaji Rwakatare naye atoa tamko...

    Huyo mama ni tapeli,hivo vitambaa anavyogawaga ni danganya toto tu.yuko kwenye list ya mafisadi wakubwa nchini,maanaalipewa msaada afungue shule asomeshe watoto yatima bure yeye ametongozwa na wana ccm amejiachia anaenda kusema mbele ya kanisa eti kikwete ni chaguo la mungu kweli huyo mama...
  7. K

    Kiongozi wa Kambi ya Upinzani safari hii....mmmh

    Acha mambo ya kipuuzi we dogo,kwa kujua zitto haileweki ndio unataka tumpe chama ili atuangushe.maana hata kwenye mgomo wa juzi bungeni aliogopa akabaki nje alafu leo unataka atuongoze ili akienda ccm chama kife,umepotoka dogo.ujue unachat na watu wenye elimu kuliko wewe hivo uwe na adabu
Back
Top Bottom