Search results

  1. R

    Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

    Wakunyumba Lukoi inainekana pamoja na kukaa ulaya naona mawazo yako bado ni mgando sana, ila si tatizo naaona bado unajisafisha baada ya kujidai CDM damu ukaona mambo yako kibiashara hayaendi ikakubidi Urudi sasa unataka wajue kuwa umerudi kweli ndiyo maana kila kukicha huachi kupost juu ya CDM...
  2. R

    Mbunge Joseph Mbilinyi (SUGU) ataka TRA wamtoze kodi RICK ROSS show ya leo...

    Hata office ikiajiri mtaalama mshauri (Consultant) kutoka nje lazima akatwe KODI kwani ndiyo utaratibu huo ndiyo maana wengi huwa wanafuatilia Kiasi cha Kodi hiku ndiyo wanaweka Bei zao ili wasipate hasara. Kiseheria ROSS anatakiwa kulipa KODI kwa KIPATO alichopata kwenye nchi yetu ni jambo la...
  3. R

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Tembeleeni hapa mtapata kila kitu juu ya maandamano ya CDM kule mbeya Nguvu ya shitambara imeonekana CDM wamepata wafuasi kiduchuuuu thats why muheshimiwa regia haweki picha anaona haya Mbeya Yetu
  4. R

    Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

    Bila ubishi mbowe sasa ameshafikia mwisho wa uwezo wa kuongoza chadema anatakiwa apishe wengine tusipoangalia sasa hivi chama kitadorola kama ilivyotokea kwa NCCR. Anaendesha chama kiajabu ajabu, Umeona mnyika kashamuhama sasa yupo upande wa zitto, bado mdee. Lema mropokaji tu hana lolote na...
  5. R

    Ushindi wa Kupita bila Kupingwa Ludewa wapingwa mahakamani

    Safi sana mtitu usimuachie huyo. Ila kuwa macho kwani jamaa anajua kucheza na rushwa huyo atawahonga watu kibao kama alivyohonga Ludewa kwa kuwanunulia pombe na na kumuhujumu prof. Mwalyosi hadi akaonekana hafai wakati alijitahidi sana kutuletea maendeleo. Alinunu kadi za CCM akawapa...
Back
Top Bottom