Search results

  1. K

    Kafulila: CHADEMA hawana lolote, Dola iwashughulikie, Kikwete usiwape kichwa!

    Kafulila hana jipya isipokuwa omba omba kwa watawala yeye kama mbunge kupitia chama cha upenzani asingepaswa kuunga mkono hutuba ya Rais hasa kipengele kinacholenga kudhoofisha vyama vya upinzani na kupotosha ukweli kuhusu dhana nzima ya wapinzani kuelimisha jamii kwa njia ya maandamano
  2. K

    Elections 2010 Wengi hawajui Nguvu ya Maaskofu

    waache akina makamba walewe madaraka kama wamesahau kuwa mtu akilewa huwa nafanya mambo ya aibu bila kujali ni nani anamwangalia kwakuwa watajikuta wakivua nguo zao hadharani wakidhani ni umaarufu eti hawaogopi kitu kama mlevi anavyojisikia fahali kuurinate hadharani
  3. K

    Elections 2010 Meya wa Jiji la Mwanza kutoka Chadema?

    Vipi kuhusu moshi,arusha,kigoma na msoma kuna mwenye takwimu ya uwiano wa madiwani?
  4. K

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Hapo hakuna hoja nikuendelea kujitapa tu kwa mawaziri wapya wasiojua waanzie wapi katika kutatua matatizo yanayozikabili wizara zao wajifunze kwa john pombe magufuli jinsi anavyojipanga katika kufanya kazi zake kwa ufanisi. Kama kombani anania ya dhati basi kwa mjibu wa wadhifa wake anao...
  5. K

    Jina hili lina linanikera sana

    hata bukoba pale miembeni, pia arusha ukiacha hapo mianzini ambapo wameanza kuita bata mzinga ipo bar ya songambele pale sakina hata mwanza mitaa ya kilumba mkuu zipo nyingi
  6. K

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Ndugu Zitto nikupongeze kwa kujitokeza kuelezea msimamo wako pamoja na kutuahidi utiifu wa maamzi ya vikao vya Chama hapo umenena. Napenda nikueleze tu kuwa ukiona threads nyingi kwenye JF zikiandikwa kinyume chako hapo ujue kuwa umekengeuka au umeenda kinyume na matarajio ya watu waliowengi...
  7. K

    Why Did Nyerere Support Biafra?

    Rafiki inaonekana wewe Zotto ni Model wako ktk jamii au siasa lakini ngoja nimi walahu nitie neno ktk utetezi wako huo.YAMKINI ZITTO KASOMA MAHALA Hilo halina shida ila kumbuka kuwa mtu anaposoma kitu na kukielewa huwa anafanya upembuzi na kisha kuamua kukitumia kuelezea hisia zake hasa...
  8. K

    CHADEMA walikuwa CCM-B kabla ya CUF.

    MKUU nadhani bado hujaelewa malalamiko ya wananchi kuhusu CUF tatizo siyo Mwafaka wa Zanzibar Tatizo ni viongozi wa CUF kujikomba kwa CCM kiasi kwamba wamesahau kuwa mjibu wa chama cha Ushindani ni kuiondoa serikali iliyoko madarakani kwa mikakati thaditi.Mfano ni juzi tu ndugu yetu Hamadi...
  9. K

    Itakuwaje CHADEMA bila Dr. Slaa?

    you don't know! There are a lot of people i would like to agree with this equation not otherwise cmd=members.that means people and cmd pontential leaders will pass but cmd and members will remain.
  10. K

    Kutoka Ikulu: Baraza la Mawaziri kutangazwa J'tano (kesho)

    Kaka hapo unakosea watu hubadirika Sitta sasa ktk CCM ndiye tunamwona wadilifu na anafuata nyayo za baba wa Taifa hivyo ni bora tuombe mungu tetesi hizi ziwe za kweli kwakuwa Sitta anauwezo wa kujenga hoja ya kubadili katiba na mambo mengi yaliyopitwa na wakati kurekebishwa ila sidhani kama CCM...
  11. K

    Elections 2010 MPs (Rita Mlaki & Anna Abdalah) spit fire on claims by Tango

    Hivi hii mimama haina hata aibu toka lini CCm ikawa na NGO, Na uzee wote wanaogopa kwend a majimbo!! griiii!
  12. K

    Kutoka Bungeni kwa wabunge wa CHADEMA kwaleta hisia tofauti Newyork

    Watu wanaosema kuwa CHADEMA imejimaliza hawaelewi hali ya kisiasa na mwamko ulioko katika nchi yetu hivyo CCEM watakosea sana kupima kuja kwa mto kwa kutumia kijiti haya ni mafuriko hivyo naomba heshima mtindo mmoja kwa salamu za Wabunge wa Chadema pale Bungeni siku ya JK hotuba :target:
Back
Top Bottom