Search results

  1. esitena tetena

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Mwadhama Kadinali, Polycarp Pengo amesema kwamba kauli iliyotolewa hivi karibuni na Askofu wa Jimbo la Rulenge mkoani Kagera, Severine Niwemugizi kwamba Katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi ni maoni binafsi siyo msimamo wa Kanisa Katoliki nchini. Pengo alisisitiza hilo wakati akitoa...
  2. esitena tetena

    Magufuli: Nilipokuwa chuo kikuu nilikuwa nawachukia wanasiasa

    Rais Magufuli amesema yeye sio mwanasiasa na alikuwa anawachukia wanasiasa tokea akiwa chuo kikuu amesema hayo leo Dodoma akipokea taarifa ya uhakiki wa vyeti. My take: Mbona amekubali kuwa Mwenyekiti wa taifa wa CCM ambacho ni chama cha siasa?
  3. esitena tetena

    Angola yatangaza visa viwili vya ugonjwa wa zika.

    Serikali ya Angola imetangaza visa viwili vya ugonjwa hatari wa zika ambao umeingia nchini humo miezi miwili iliyopita. hayo yametangazwa na waziri wa afya wa nchi hiyo. chanzo: radio one saa 2 usiku huu.
  4. esitena tetena

    Nahitaji mkopo

    ninacho kipato (net guaranteed income) ya shs 250,000/- kwa mwezi zinazotokana na wapangaji wangu wa kibiashara kwenye nyumba, na wenye mikataba ya kudumu. nahitaji mkopo wa shs milioi 20 wa muda mrefu. naomba jibu humu au inbox.
  5. esitena tetena

    gharama za kipimn cha MRI hapo Muhimbili

    wadau,naomba kujuzwa gharama za kipimo cha MRI katika hospitali ya taifa Muhimbili. nataka kumpeleka shangazi yangu aliyepewa rufaa toka wilayani.
  6. esitena tetena

    REDET wako wapi?

    Wadau, hii taasisi (au NGO) ya REDET miaka ya nyuma kidogo ilikuwa mstari wa mbele kutuhabarisha kuhusu hali ya demokrasia hapa nchini. Hata kipindi cha uchaguzi walikuwa wakitoa updates za mara kwa mara hadi mchanganuo wote. Ni muda mrefu umepita hatupati taarifa kutoka kwao, je wapo? Na kama...
  7. esitena tetena

    Mke anampenda mama zaidi yangu

    nimeoa mke na tunaishi jirani na mama mzazi.nimegundua kuwa:- 1.mke wangu hana mapenzi ya dhati na mimi, bali alikubali tu kwa kuwa nilimpa ujauzito kabla ya kumuoa. ananiletea kiburi na nikimkaripia ananiambia nimrudishe kwao. ninapopeleka mashtaka kwa mama anamkingia kifua maana wanapendana...
  8. esitena tetena

    Urais na uanachama wa chama tawala

    wadau naomba kufahamishwa: ikitokea rais aliye madarakani akafanya mambo kinyume na miongozo ya chama chake na vikao vya juu vya kichama vikamfukuza uanachama, je urais wake utakoma?katiba yetu inasemaje juu ya hili?
  9. esitena tetena

    CCM, UKAWA kufa kupona

    Tokea mfumo wa vyama vingi uanze Tanzania, ni wazi hakuna uchaguzi ulio na ushindani kama wa mwaka huu, hasa kati ya CCM na UKAWA. Kwa jinsi kampeni zilivyo na mwamko mkubwa wa wananchi ulivyo, kila upande umekuwa ukitumia nguvu nyingi katika uhamasishaji, kujinadi, sera, kukashifiana na rafu...
Back
Top Bottom