Search results

  1. esitena tetena

    Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Hahahaaa! ati mamia kwa maelfu? hiyo ni mamoja kwa makumi[emoji81][emoji81][emoji81]
  2. esitena tetena

    Kesi ya kina Mbowe: Kibatala amuweka kwenye kona Mkuu wa Upelelezi

    ati hafuatilii vyombo vya habari. hata hotuba za magu na TBC?
  3. esitena tetena

    Akram Aziz akiri makosa yanayomkabili, alipa faini na kesi kuisha!

    hapana.serikali ilipigia magoti pesa.
  4. esitena tetena

    Mrema: Wanasiasa waliokutana Zanzibar ni Wanaharakati

    Mwenyekiti asiye na kiti.
  5. esitena tetena

    Bila Magufuli kushika utawala awamu hii ya 5 je nchi ingekuwaje kufikia mwisho wa mwaka huu na kipindi kama hiki?

    unaposema "sasa hivi wote tuko sawa" sijakuelewa. Matajiri bado ni matajiri na masikini bado ni masikini.
  6. esitena tetena

    Makampuni ya Waziri Mkuu yaliyokataliwa na Rais yalikuwa tayari kununua korosho kwa sh. 3,800/ kwa kilo

    Mkuu soma vizuri ripoti. hao wanunuzi walioorodheshwa ni wale ambao walitaja hizo bei zao wakati serikali ilipotoa deadline. kwa nini serikali ili- react masaa machache tu kabla ya muda?
  7. esitena tetena

    Makampuni ya Waziri Mkuu yaliyokataliwa na Rais yalikuwa tayari kununua korosho kwa sh. 3,800/ kwa kilo

    ili kujua kama in kutingisha kiberiti au la serikali ingesubiri ile deadline ili kupata hali halisi na sio kutabiri
  8. esitena tetena

    Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini yatenguliwa

    naona majina mengi ya kanda fulani hapo. ni mtazamo tu.
  9. esitena tetena

    Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    nilidhani ni wimbo wa taifa kumbe ni wimbo wa serikali!!
  10. esitena tetena

    Waziri Hasunga: Tumefungua mipaka kuuza mahindi nje ya nchi

    too late. Kenya wanalalamika mahindi yao ni mengi na bei zimeporomoka hivyo hawahitaji importation. na malawi nako hivyo hivyo. na hizo vurugu za Congo nani ata-risk kupeleka huko? kwa nini baada ya koroshonaizeshen isifanyike mahindinaizeshen? "NA PESA IPO.'
  11. esitena tetena

    Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

    ule utafiti was TWAWEZA ulibainisha aina ya watu, kiwango cha elimu, uchumi wa watu na maeneo ambayo CCM inapendwa. kwa hii thread nimeamini utafiti ule.
  12. esitena tetena

    Clouds Media Group watangaza kusitisha tamasha la Fiesta Dar

    kwani pale tanga Ruge na Makonda walivyopeana mikono ya "kusameheana" mbele ya mkuu wa nchi ulikuwa ni kiinimacho?
  13. esitena tetena

    Rasmi: Manji 'OUT' Yanga, Watano Wajitosa Kumrithi

    Katika mabadiliko ya Simba Mo atamiliki hisa 49% na wanachama 51%.
  14. esitena tetena

    Klabu ya Yanga yatakiwa kubadilisha jina lake

    Simba kuna timu ya netiboli.
  15. esitena tetena

    Rasmi: Manji 'OUT' Yanga, Watano Wajitosa Kumrithi

    Kwani lazima Manji awe kiongozi ndani ya Yanga ndipo aweze kufadhili klabu? Mbona sikuwahi kumsikua MO akigombea uongozi Simba lakini ameweza kuwa mwanahisa mkuu wa klabu? Sifa nyingine wajameni mmmh!!!
  16. esitena tetena

    Tanzania: Wanaharakati wa kulinda wanahabari (CPJ) wakamatwa na kuhojiwa, waachiwa!

    wastaafu wataachaje kumwogopa wakati wana makaburi yao ambayo jamaa kasema hatayafukua?
  17. esitena tetena

    Waziri Mahiga: Balozi wa EU nchini Tanzania hajafukuzwa, ameitwa

    sisi huwa tunatuma watu kwenda kwenye matibabu
Back
Top Bottom