Search results

  1. Masaningala

    Mashabiki wa Mange Kimambi mmeshapata salamu za rambirambi toka kwake?

    Natamani kuwepo na chuo cha kuwaandaa wale wote wanaotamani kuwa Wakuu wa Nchi hapo mbeleni. Ni jambo tata sana mtu kusimikwa Ukuu lakini mhusika akiwa hana maandalizi ya kazi hiyo.
  2. Masaningala

    Inastaajabisha kulazimisha kupongezwa

    Stahili ya pongezi huwa na maana pale mtu anapovuka malengo kwa kutumia vigezo vilevile vilivyowekwa. Nje ya hapo pongezi zote ni hewa tupu.
  3. Masaningala

    Anaandika mgombea wa Chadema jimbo la Buyungu

    Elia, usikate tamaa, miaka yako inakuruhusu kuendelea mbele kwa ari kubwa na nguvu kubwa zaidi. Kama mbuge nje ya bunge endelea kuwatumikia wananchi wako na ushirikiane nao kwa karibu. 2020 ii karibu.
  4. Masaningala

    Ni raia gani akiumwa anakimbizwa nje? Kwanini mapacha wetu hatukuwapeleka India kwa matibabu?

    Mawazo yangu: Sasa hivi hospitali zetu zinakomalia kutokusalimu amri kuwa wameshindwa kutokana vitisho. Wanaogopa kupoteza kazi. Hasa ukizingatia mgonjwa mwenyewe anatoka kundi la "malofa" hupelekwi nje hata iweje.
  5. Masaningala

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura siku ya Jumamosi

    Mgombea A: "wewe ni kiongozi mstaarabu sana. Uliendesha kampeni za kistaarabu kweli maana sikukusikia ukinitukana hata mara moja. Isipokuwa wapambe wako ndio niliwasikia wakiporomosha kampeni za matusi. Au uliwatuma?" Jibu toka Mgombea B: Hapana. Halafu kimya. Ningekuwa mimi Mgombea B pia...
  6. Masaningala

    Spika Ndugai wachukulie hatua wabunge waliohojiwa na kituo cha Televisheni cha nchi jirani

    Dunia ya leo hakuna siri tena. Ukitaka magazeti unapata mitandaoni. Ukitaka yanayojiri bungeni unapata mtandaoni. Siri ni nini na iko wapi? Huenda siri iko usalama wa taifa na jeshi la wananchi kwa kiasi fulani. Waliyozungumza hao wabunge ni mambo ya wazi kabisa na sio ya siri.
  7. Masaningala

    Lubuva: Hatuna la kujifunza Kenya, wamefanya kutokana na taratibu zao

    Nilitegemea angesema, kajifunza haki ya matokeo kuhojiwa mahakamani panapotokea malalamiko yeyote ya wagombea urais kuepuka malalamiko ya wizi wa kura. Na pia, umuhimu wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi na mwisho pia viongozi wakuu wa mihimili ya serikali kutoteuliwa na mtu moja (Rais). Lakini eti...
  8. Masaningala

    CHADEMA na Lowassa kwa Ushindi huu wa Raila Odinga mtaweka wapi sura zenu?

    Uhuru aliungwa mkono pekee kama mgombea. Ndio maana mahakama ilimsafisha kuwa hana hatia katika kesi hii. Mwenye hatia ni IEBC kutokuendesha uchaguzi kwa kufuata katiba. IEBC wamelitia taifa la Kenya hasara na nadhani hata Uhuru mwenyewe atawawajibisha. Kumuunga mkono mgombea tarajia mawili...
  9. Masaningala

    Upinzani waruhusiwa kukagua mitambo ya tume ya uchaguzi Kenya

    Nimeona hata kesi ikiwa inaendelea, lakini wananchi hawakatazwi kujadiliana yanayoendelea mahakamani kupitia tv, radio n.k. tofauti na kwetu ambapo huruhusiwi kabisa kuzungumzia chochote kwa jambo lililoko mahakamani. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Masaningala

    Upinzani waruhusiwa kukagua mitambo ya tume ya uchaguzi Kenya

    Nimeona hata kesi ikiwa inaendelea, lakini wananchi hawakatazwi kujadiliana yanayoendelea mahakamani kupitia tv, radio n.k. tofauti na kwetu ambapo huruhusiwi kabisa kuzungumzia chochote kwa jambo lililoko mahakamani. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Masaningala

    Profesa Kabudi: Kikwete na Mkapa haifai kuwataja kwenye kashfa sababu tunatunza heshima yao

    Yeyote mwenye akili ajiungapo na wajinga hugeuka kuwa mjinga tokea mawazo, maneno na matendo pia.
  12. Masaningala

    Hata yale makontena tuliyozuia bandarini tutawalipa ACACIA tu, huu ni ukweli mchungu ila ni ukweli

    Yeye kasema: Pamoja na kuwa mkataba unaruhusu yale yote mnayofanya .........nataka kujiongezea umaarufu .... ninyi tulieni nikimaliza nendeni mahakamani mtalipwa fidia na gharama za kesi.... halafu katika fidia ongezeni dau langu. Wao: Hilo nalo ni jambo. Sisi tunatulia na tutajiandaa kwenda...
  13. Masaningala

    Waziri Mwakyembe amebadili gia angani?

    Namshangaa sana huyu mzee mwenzangu. Kulikoni? Hajajifunza matokeo ya kukurupuka kutoa maagizo na maamuzi bila uchambuzi yakinifu katika ubongo!!!!!!!
  14. Masaningala

    Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Ndio maana kila wizara akipelekwa hadumu anabadilishwa. Nashangaa sijui mwenyewe hajitambui!!!!! Hata hivyo nadhani isingekuwa kuiepusha serikali ya awamu ya nne isianguke (kama alivyodai mwenyewe katika ripoti ya Richmond), muda huu angekuwepo kijijini akishiriki kuumia uchungu wa hali ya maisha.
  15. Masaningala

    Tetesi: Ajali Lucky Vincent School: Uzembe, Tamaa, Ubadhirifu na Kutokujali Usalama wa Wanafunzi

    Kuna hili la matumizi ya simu dereva anapoendesha gari. Madereva wengi sana hufanya kazi hizi mbili kwa wakati moja. Kama sio hitilafu ya gari, basi nadhani alikuwa anaongea na simu au anaangalia sms wakati akiendesha. Nitaunga mkono iwapo faini kubwa itatozwa kwa dereva yeyote atakaepatikana...
  16. Masaningala

    Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Bunge limkatae Rais kama hawezi kujiuzulu na uchaguzi uitishwe sasa maana ameshindwa kuiongoza nchi. Basi.
  17. Masaningala

    Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Bunge linaweza kumwondoa madarakani Rais

    Kushindwa kazi ni pamoja na kuvunja katiba.
  18. Masaningala

    Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Hi itakuwaje endapo 25% ya mawaziri, 25% ya wakuu wa mikoa na wilaya, 10% ya Makatibu wakuu, 10% ya Wakurugenzi wa halmashauri na wote walioimba "tuna imani na Lowassa" ndani ya CCM wakajiuzuru ndani ya mwezi moja kuanzia sasa. Hali italeta watu kujitambua kuwa uongozi sio wa mtu moja kwa...
  19. Masaningala

    Rais John Magufuli: Nikisema Ukweli, Watanzania Wenye Uchungu Mtalia!!!

    Hisia zangu zinanilazimisha kuamini kuwa hii ilikuwa mpango mahususi wa kufuta headline ya kutumbuliwa kwa Nape na madudu ya Makonda kuvamia Clouds studio. Haya yaliyoonyeshwa kugunduliwa na Rais, yalishagundulika mapema ndio maana hakuagiza waliohusika wachukuliwe hatua.
Back
Top Bottom